Jinsi ya kutoa uchawi laana(vijicho) kwenye mwili

Mkuu naona umeamau kufundisha uchawi wazi wazi sasa
 
Mimi nilienda kwa mganga kuagua akasema nimelogwa,basi akanipeleka sehemu kwenda kuyachapa mwenyewe anasema ni kamchape tulivitoa vitu vingi alivyovishika anasema kuwa hivi vitu ndivyo vinavyokusumbua vilikuwa 12.akavichana kwavile vilikuwa vimefungwa fungwa mfano wa vidoli,na ndani yake kuna nyembe,nywele,kipande cha mfupa wa binadamu (kwa maelekezo yake)ngozi ya mtu,kipande cha nguo nyeupe (sanda)wingu na kipande cha gazeti na hela ya zamani.kwa kweli hadi niliishiwa nguvu.
 
Wengine hufanya mazingaombwe mkuu maana vitu unavyologewa huwa vimebase kwenye mwili wako mwenyewe kama nywele kucha n.k sasa hiyo ngozi ilitoka wapi?

Rakims
 
Ina maana mlozi hataweza kukuloga hadi avichukue hivyo vitu,je kama analifahamu jina lako hataweza kufanya huo ulozi wake kwako?
 
Asante mkuu,kama kweli kuna uchawi mbn kuna watu wanachukiwa tanzania nzima kwa kusababishia watu shida na matatizo? Inamana tanzania nzima kakosekana mchawi wa kuwaloga?
Au uchawi wao ukoje [emoji1]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mkuu mimi nyota yangu ni ndoo navaa kito cha rangi gani?
 
With due respect i beg to differ mkuu. Nyota ya mtu inatazamwa kwa kuangalia siku aliyo zaliwa na MAJIRA alio zaliwa. Narudia tena " SIKU" aliyozaliwa na " MAJIRA" aliyo zaliwa. Naposema majira namaanisha its eidha ni usiku au mchana
Mimi nimezaliwa jumatatu usiku nyota yangu ni ipi?
 
Wengine hufanya mazingaombwe mkuu maana vitu unavyologewa huwa vimebase kwenye mwili wako mwenyewe kama nywele kucha n.k sasa hiyo ngozi ilitoka wapi?

Rakims
Mwalimu ni kweli wengine wanafanya mazingaombwe ila sio lazima MTU achukue nywele au kucha zako ili akuloge na uwenda alivyovitoa vilikuwa viungo vilivyotumika kumlogea
 
ACHA WIZI KENGE WEWE NA KUPOTOSHA WATU!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…