Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Hmm...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka naomba mwongozo wako kidogo hapa. Mimi nina OOBE na inanitokea mara nyingi sana. Naweza kuwa nimekaa sehemu nimetulia all of a sudden najiona nimetoka katika mwili wangu halisi na nimesamama pembeni nauangalia mwili wangu. Ni kama reflection ya kwenye kioo. Ni tukio ambalo halichukui muda mrefu na linaootokea nakuwa sina control nalo.Hii imekaaje?
 
Well mara nyingi huwatokea watu ambao wana uwezo wa kuona Qareen wao wenyewe tembelea kwenye website yangu utaelewa namaanisha nini kwa Qareen.

 
Oya wakuuu, It's another morning guys, amukeni amukeni, fanyeni tuchomoke kwenye miili yetu tukasakate lumba na malaika. Ni mwendo wa Abieee (Fere Gola). Peponi kumedamshi [emoji41]

Mkuu Rakims ongoza jahazi, mi ndo kwanza nshanyofoka mkono
 
Oya wakuuu, It's another morning guys, amukeni amukeni, fanyeni tuchomoke kwenye miili yetu tukasakate lumba na malaika. Ni mwendo wa Abieee (Fere Gola). Peponi kumedamshi [emoji41]

Mkuu Rakims ongoza jahazi, mi ndo kwanza nshanyofoka mkono
Hongera sana mkuu. Ngapi leo?
 
Ingawa leo sio mala ya kwanza nilisha wahi kutoa nafsi siku za nyuma na nikaishia kujiangalia tu nilivyo lala

Leo mapambazuko ya asubuhi nikiwa nimejilaza usingizi ulikata ila baada kama ya dk 10 hivi nikahisi ganzi hivi sikutaka kujistua ili itoke sasa hapo ndo nikataka kufanya astral projection nimejaribu kuamka nimefanikiwa kwa 50% hivi yaani niliachanisha kiwiliwili ikabaki miguu tu, kuanzia kiunoni nikawa bado means nikawa nimekaa nikata kugeuka kuangalia mwili niliona mwili bado umetulia mala ghafla ile ganzi ikawa kama imekata hivi nikajikuta nimeisha jiunga na mwili. sasa swali langu Je vipi kama ikitokea ile ganzi imekata nikiwa nipo mbali na mwili? na swali la pili kipindi na amka sikuiona silver cord je inaanza kuoneka baada ya kuwa soul completely removed au hata ukiwa una amka kitandani?
 
Hongera endelea kufanya mazoezi
 
Mkuu, Dawa ya Mseto inauzwa Tsh 3000. Wahi ukapate dozi yako mapema. Malaria inaua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…