Rakims
JF-Expert Member
- Jun 4, 2014
- 5,002
- 4,571
- Thread starter
- #461
Mkuu nimefatilia comment zote na majibu ktk hii mada kwa mtiririko mzuri kabisa.Naomba nikuulize maswali machache hasa juu ya usalama wangu maana nilijaribu kidogo last night kabla sijalala,ni kweli nilifkia paralysis ila nkahofia kuendelea mbele.Maswali ni haya..
1.Nimetoka nje ya mwili,then ghafla kwenye appartiment ambayo ndio nimeacha mwili wangu ikashika moto,je nini kitatokea kwangu mimi ambaye sipo ndani kimwili kwa kuda ule??
2.Nimefanikiwa kufanya hiyo projection then nikiwa ktk kusurvey nkawa na hofu,je inawezekana kupanic na kushindwa kurudi ktk mwili wangu?
3.Unayazungumzia vipi maelezo ya Pasco,maana ingawa yana vitisho lakini nihisi kama kuna ukweli flani hivi
3.Najua kwa begginers sio kitu kizuri kuanza kwa kwenda mbali sana,ila itakuwaje endapo umeamua kuzunguka tu maeneo ya karibu alaf ukakutana na wachawi au ukapita nyumba ambazo wamejizatiti either kwa nguvu za Mungu au za giza alafu wakakuangusha,mkuu Rakims huu sindio mwanzo wa kuonekana mchawi?
Maswali nnayo mengi sana ila naomba nianze na hayo kwanza.
Ahsante
"Analyse"
Vizuri nitajibu kwa hatua..
1: ikiwa kuna bughudha yoyote inaendelea katika mwili uliouacha utarudi upesi sana hata kama ni mtu anagonga hodi chumbani kwako ni sawa na upo usingizini tu unakuwa na muongozo wa miili yako miwili kwa wakati mmoja yani ni sawa na mtu aliewahi kuota lucid dream na akaiexperience vizuri kama angekuwepo hapa angekwambia nazungumzia nini.. kelele au hata hewa ikibadilika wewe taarifa unakuwanazo sikwambii kitu nilichosoma kwenye kitabu nakwambia kile nilichoexperience..
2: hapana kwanza tu unapokuwa out of control either kiakili au hata kushindwa kuongoza astral body utajikuta tu umeshaamka kutoka usingizini, hata ukiwa umetoka tu pale pale chumbani ukaanza kushangaa vitu vina uhai yani hata ukijisahau tu kwamba upo astral plane basi unaamka ndio maana unatakiwa urelax...
3: maelezo ya Pasco sina kina nayo sana siwezi kujua kama yeye anazungumzia astral projection ipi? maana kuna astral projection ya free wills(ninayo izungumzia) kuna astral projection ya kichawi (kuondoka na kuacha mwili gogo) kuna Astral Projection ya Budhism (Wao wanasheria zao) kuna astral projection za lucid dreams.. kuna Astral Projection Za Chanting (kuita jini au shetani anakubeba kiroho kwenda utakapo) kuna astral projection za death experience...
siwezi kuorodhesha zote lakini mimi ninayozungumzia haihitaji chochote zaidi ya uelewa wako labda umuulize yeye anawaonya ipi?
4: wewe hata upite sehemu ambapo malaika wanakuona hakuna kizuizi zaidi ya cha mwenyezi mungu tu, pia kwa wachawi hakuna mchawi anaeweza kuona silver cord ya mtu wana astral body ya mtu kama kuna mchawi hapa atuambie yeye aliwahi kuona ya nani jibu ni hakuna.. nyumba za ibada ukienda utapata baraka zaidi na utajionea astral body yako inavyozidi kung'ara kama taa ya tube light kama unabisha nenda na ukifika eneo hilo omba utaona baraka zake lakini ukitoka kwa aina zingine hizo za astral projection lazima zitakinzana tu...
nimechoka maswali ya kujirudia
"Rakims"
Last edited by a moderator: