Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)


Vizuri nitajibu kwa hatua..

1: ikiwa kuna bughudha yoyote inaendelea katika mwili uliouacha utarudi upesi sana hata kama ni mtu anagonga hodi chumbani kwako ni sawa na upo usingizini tu unakuwa na muongozo wa miili yako miwili kwa wakati mmoja yani ni sawa na mtu aliewahi kuota lucid dream na akaiexperience vizuri kama angekuwepo hapa angekwambia nazungumzia nini.. kelele au hata hewa ikibadilika wewe taarifa unakuwanazo sikwambii kitu nilichosoma kwenye kitabu nakwambia kile nilichoexperience..

2: hapana kwanza tu unapokuwa out of control either kiakili au hata kushindwa kuongoza astral body utajikuta tu umeshaamka kutoka usingizini, hata ukiwa umetoka tu pale pale chumbani ukaanza kushangaa vitu vina uhai yani hata ukijisahau tu kwamba upo astral plane basi unaamka ndio maana unatakiwa urelax...

3: maelezo ya Pasco sina kina nayo sana siwezi kujua kama yeye anazungumzia astral projection ipi? maana kuna astral projection ya free wills(ninayo izungumzia) kuna astral projection ya kichawi (kuondoka na kuacha mwili gogo) kuna Astral Projection ya Budhism (Wao wanasheria zao) kuna astral projection za lucid dreams.. kuna Astral Projection Za Chanting (kuita jini au shetani anakubeba kiroho kwenda utakapo) kuna astral projection za death experience...
siwezi kuorodhesha zote lakini mimi ninayozungumzia haihitaji chochote zaidi ya uelewa wako labda umuulize yeye anawaonya ipi?

4: wewe hata upite sehemu ambapo malaika wanakuona hakuna kizuizi zaidi ya cha mwenyezi mungu tu, pia kwa wachawi hakuna mchawi anaeweza kuona silver cord ya mtu wana astral body ya mtu kama kuna mchawi hapa atuambie yeye aliwahi kuona ya nani jibu ni hakuna.. nyumba za ibada ukienda utapata baraka zaidi na utajionea astral body yako inavyozidi kung'ara kama taa ya tube light kama unabisha nenda na ukifika eneo hilo omba utaona baraka zake lakini ukitoka kwa aina zingine hizo za astral projection lazima zitakinzana tu...

nimechoka maswali ya kujirudia

"Rakims"
 
Last edited by a moderator:

Pole kwa kukuchosha man,sometime fear drive out the questions.But all in all thanks man.

"Analyse"
 
Last edited by a moderator:
Pole kwa kukuchosha man,sometime fear drive out the questions.But all in all thanks man.

"Analyse"

your welcome...
ukikwama ukiexperience tofauti sema takufafanulia au takwambia wapi unakosea..

"Rakims"
 
Pole kwa kukuchosha man,sometime fear drive out the questions.But all in all thanks man.

"Analyse"
Watu makini wote, lazima huwa wanajiuliza kwanza kabla hawajalifanya jambo lolote ambalo hawana uhakika nalo!. Unapojiuliza ufanye jambo fulani, usifanye tuu ili kujaribu au kujifurahisha bali jiulize what for?!, unafanya ili iweje, ukiuuliza muyo, uau kujiuliza, utapata majibu. Ile sauti ya kujiuliza inaitwa listening from your self, na sauti unaisikia inaitwa 'the voices from within', hiyo ndio sauti ya Mungu!, ikukuambia fanya, then fanya!.

Astra Projection niliyoizungumza mimi ni ile iliyopo kwenye ule main uzi wangu kuhusu haya makitu
[h=3]Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanazo bila Kujitambua ...[/h]Then nenda kwenye sub topic ya nne kuhusu Astral projection or mental projection - An out-of-body experience in which an "astral body" becomes separate from the physical body.

Pasco
 
Mkuu Rakims, Astra Projection niliyoizungumza mimi ni ile iliyopo kwenye ule main uzi wangu kuhusu haya makitu
Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanazo bila Kujitambua ...

Then nenda kwenye sub topic ya nne kuhusu Astral projection or mental projection - An out-of-body experience in which an "astral body" becomes separate from the physical body.

Pasco
 

sasa hiyo pasco imezijumlisha Astral Projection Zote Mkuu In Branches There A Lot Of Astral Projection.....

"Rakims"
 
Mkuu Rakims ninaomba nikuulize swali moja tu kwa leo. Je, hii astro projection inaweza kumsaidia mtu kupata mke mwema, kujua mbinu bora za kufanya biashara zake au shughuli nyingine za utafutaji kama vile uchimbaji wa madini?
 
Dah, hakuna uzi nimeupitia kwa utulivu na umakini kama huu, lakini kitu kimojatu najiuliza
hivi kwa maisha yalivyo hapa Bongo haiwezi kuwa Vema mtu akaamua kubaki katika ulimwengu
huohuo wa Roho? (Swali halimuhusu mtoa mada) Pia kuna wale wanaopata msongo wa mawazo hata
kutaka kujiua ile nini sijui lakini kama hii aliyoizungumzia Pasco si ndo mzuri kwa kuondoka moja kwa moja
na kwenda ulimwengu huo ambao mchangiaji mmoja anasema hata Bruce Lee alienda? (bado halimuhusu Rakims)

Mwisho niseme tu kuna upinzani humu ndani unaonifanya niingiwe na hofu, Kuhusu kuwa huu ni uchawi hilo
nakataa. Hakuna uchawi ambao uko waziwazi kama huu.
 

Mpaka nimeogopa! Sasa huo ni uchawi au kitu gani
 
Mkuu Rakims ninaomba nikuulize swali moja tu kwa leo. Je, hii astro projection inaweza kumsaidia mtu kupata mke mwema, kujua mbinu bora za kufanya biashara zake au shughuli nyingine za utafutaji kama vile uchimbaji wa madini?

unachohitaji kukifanya kinafanyika ndio waweza kuwa spy wake lakini sio vema kupeleleza siri za watu... pia kuna hatua za kufuata ili uweze kuwa na power hiyo ya dowsing (Ability to locate matters)

"Rakims"
 
Mwezi Mtukufu Ni Bora Zaidi Kufanya Zoezi La Astral Projection Kwa Maana All Dark Spirit Are Locked By Chains...
 

Attachments

  • 1434798668924.jpg
    7.6 KB · Views: 276

Mkuu mbona hawakujibu?
 
Nawanaokufaga wanelala ni hivihivi. Hata kama marehemu alikuwa anaumwa analose hope na kujikuta akilala huku akiwakatika taratibu hizi na kujikuta anashindwa kurudi katika mwili wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…