Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

itakuhitaji muda sana kutelekinisis na kuhold something from Astral Planet Otherwise Easy Way You Have To Meet Other Spirits Wa Dhehebu Lako Na Uwapige Vibomu Ukiamka Unakuta Pesa Under Your Pillow...

"Rakims"
Rakims...
kimya sana mkuu...
WANAFUNZI wako tuna maswali mengi sana yanayohitaji UFAFANUZI kutoka kwenu..!
 


mkuu mimi sio mtaalamu sana na haya mambo lakini naweza kukuambia kitu hapo ukifanikwa utakuwa usha vuka hiyo hatua. tuna ambiwa hautakiwi kuushughulisha ubongo by that time unatakiwa kukata mawasiliano ya nnje ya mwili na mawasiliono ya ndani kama hivo unavo concentrate sana hapo hutaweza kuingia katika meditative state. kinacho takiwa hapo ni awareness tu ukizidisha ufundi una stack hapo hapo. na pumzi inapozidi kuwa ndogo na nyembamba ndio hatua za mwisho na hufikia hatua unakuwa hupumui kabisa hapo unaunakuwa tayari ushaingia katika hali ya kumeditate na ndio hapo una weza kufanya ulicho kusudia katika meditation yako kama nikutoka nnje ya mwili n.k
 
ahha okeeee
mambo si ndo hayooo[emoji16] [emoji16]
ngoja leo nitajarb tenah
 
Kutoka nje ya mwili ni kitu rahisi na halisi hakuna madhara yoyote kumbuka mwili wako ni kama gari dereva anapoliacha nje wakati yeye yupo ndani ya nyumba, kwaiyo dereva wa mwili wako ni wewe your inner self.
 
Kutoka nje ya mwili ni kitu rahisi na halisi hakuna madhara yoyote kumbuka mwili wako ni kama gari dereva anapoliacha nje wakati yeye yupo ndani ya nyumba, kwaiyo dereva wa mwili wako ni wewe your inner self.
watakuja kukwambia kitu hicho hakuna ...na hakiwezekani .
 
haaa ila sasa mbona walim wa huu uzi wana mashauzi sana ama waliyoambiwa ni ukweli ndio maana wamelala kushoto

unajua ukifuatilia sana wengi walio fanikiwa walijifunza kwanza tabia njema heshima na kuwa na moyo wa huruma na subira pia walijifunza kujua baya na jema na kuwa positive all the time. ili isitokee kuwa umeelewa hii mambo kwa bahati mbaya yatu pasa tujifunze hayo kwanza na kuya apply katika maisha yetu yakila siku...
 
mmh haya ngoja tusubiri
 
Aisee mi nimejaribu sana hii kitu but sijafanikiwa, nataman sana kama kuna mtu alikuwa hawez na amejifunzia humu ndan namim anipe siri ya mafanikio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…