Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahahaha uwiiiMbona ni Kama uchawi hivi.., na nikishindwa kurudi, let's say huo utandu ukaniacha solemba.., si ndio safari hiyo.., eti jamani..?
Ushawezaga hii kitu nduguSawa kabisa, ntakuPM ASAP nijue viwanja vya kwenda
When the chela is ready the Guru appears.natafuta anae weza nifundisha, maan na hamu sana nifike mwezini
Muungwana ni kitendounajua ukifuatilia sana wengi walio fanikiwa walijifunza kwanza tabia njema heshima na kuwa na moyo wa huruma na subira pia walijifunza kujua baya na jema na kuwa positive all the time. ili isitokee kuwa umeelewa hii mambo kwa bahati mbaya yatu pasa tujifunze hayo kwanza na kuya apply katika maisha yetu yakila siku...
Mfano mm nataman kujua ili nitatue baadhi ya changamoto znazonitatiza unawez nisaidia niweze km wew then ntaachaNiliwahi kuifanya hii kitu mwaka 1998, nilifanya kama mara mbili hivi, niliweza kwenda popote. Sikuifurahia hii hali, niliamua kuachana nayo ingawa ilikua ni ngumu sana.
Hadi sasa bado kuna nguvu fulani nahisi imo ndani yangu, hasa kujua jambo ambalo sikuwepo huwa hata tukio likiwa limeshatokea kuna kipindi nahisi kama tukio linaji rewind kichwani jinsi ilivyokuwa ili hali sikuwepo.
Nilichoamua ni kuzipuuza kabisa hisia hizo.
Ni hali inayokera sana, sijui kwa vipi watu wanavutiwa nayo!!
Mkuu, Maisha yako ni mazuri sana, kuna vitu si vya kutamani. Labda kwa kuwa tunatofautiana inawezekana ukaipenda hali hiyo!Mfano mm nataman kujua ili nitatue baadhi ya changamoto znazonitatiza unawez nisaidia niweze km wew then ntaacha
ASTRAL PROJECTION/Mental Projection......
Ni Ule Uwezo Wa Mtu Kutengana Na Mwili Wake Ki Fikra Katika Imani Husemwa Kiroho...
Kutoka Ap Humfanya Mtu Kwenda Popote Duniani Ki Mawazo Na Kufarijika Nafsi Yake Na Kujifunza Mambo Tofauti Ya Sehemu Jirani Na Kupaa Au Kupita Katikati Ya Ukuta Kama Mchawi Vile....
Ni Aina Ya Nguvu Ambayo Huwa Nayo Watu Wote Isipokuwa Katika Asilimia 100..
65% Ni Watu Wasioijua
25% Ni Watu Wanaoijua
10% Ni Watu Wanaoitumia..
Hatua Za Kufuata Ili Kusavei Nje Ya Mwili
Kuna Njia Mbili Za Kutoka Nje Ya Mwili Hapa Nitaielezea Moja...
Njia Hizo Ni:
1; self Astral P...
2: Astral By Binaural
HATUA ZA KUFUATA KWA NJIA YA KWANZA:
NI RAHISI TU....
1; Oga Na Vaa Nguo Safi Zisizo Bana
2: Lala Chali Mgongo Ukiwa Umenyooka Vema huku umefumba macho....
3: utapata vishawishi kujigeuza au kujitingisha vi ignore/ Usijishike wala kujitingisha kuwa kama soldier....
4: Usitingishe Macho Wala Kuchezesha Mwili Wako...
5: Subiri Na Uconcerntrate Kwenye Pumzi ( Hapa unakuwa unaudanganya ubongo kuwa mwili unaota)
6: ukiweza kujizuia Kujigeuza Geuza Au Kujikuna Ubongo Utajua Umelala Na Utaruhusu Mwili Kuachia Kinga Ya Paralysis Au Ganzi Salama Ya Mwili Mzima..
Ambayo Huwa Inakinga Miili Yetu Kutokujiumiza Wakati WA Kuota Mfano: sleep walking(unaota huku unatembea)
7: Wakati Hali Hii Inatokea Hapo Ndipo Unaweza Kujitenga na mwili wako ambao umepata ganzi....
tatizo hapa huwa lipo katika kujua ni upi mwili sahihi maana bado miili miwili inakuwa imeshikana
8: ukiamka na mwili wako wa ganzi kila kitu utakuwa umevuruga na utaamka kwenye mwili wenye ganzi (hii mimi ninauzoefu nayo pia unajiona upo macho lakini mwili hauamki wala kucheza unaganda ni kawaida ila huwa ni noma sana... haichukui muda ni kama sekunde 10 ukianza kujishtua au kujitingisha ila inashangaza kidogo wale wanafunzi wangu mnajua hapa namaanisha nini...
Sasa Je Utajua Vipi Kati Ya Miili Hii Upi Ni Sahihi?
Mbinu Rahisi Ipo Hivi Ukifikia Kwenye Hatua Hiyo Ya Kutoka.. Visualize Kwamba Una Mikono Mipya Na Miguu Mipya..
na ukishaingia kwenye hali hiyo hutokea set ya mingine
9: Baada Ya Hapo Inuka Katika Mwili Wako Wa Ndoto Sogea Mbele Hatua Tano Geuka Nyuma na Uangalie Mwili Wako Uliouacha.......
10: Hongera Umeweza Fanya Chochote Unachojiskia Hakina Madhara Kwenye Real World....
ANGALIZO:
Wakati Unautizama Mwili Wako Uliouacha Kuna Kitu Kina Kuwa Kimekuunga Na Ule Mwili Kama Silver cold Hivi Nyeupe Ya Kama Wingu Hiyo Ndio Hukusaidia Kurudi Hata Kama Umepotea Njia.....
Cc: Pasco , mshana jr , MziziMkavu
By: Rakims
Hayo ni maajabu ya nane dunianiNB:Ukinogewa kuzurula nje ya mwili unatoka nje ya mwili jumla(unakufa)
Kuna siku nilibahatika kuvinjari Mwanza,Arusha na Tanga kwa masaa matatu.
Swali lako limeniogopesha hata kujaribu....teh...tehhauwezi kufa kweli? Unaweza ukaona nini na je unaweza kumbuka
Rakim
Mkuu Rakims, naomba kusisitiza astra projection ni astra projection tuu!, kwa kifupi unafundisha watu kufanya "out of body!"
sijakataa wewe kutoa mafunzo, ila nimekutahadharisha wafundishe hao wanafunzi wako, the consequences za out of body!, hiyo silver cord ni kama utando wa buibui!, mtu ukiwa kwenye out of body, ukitingishwa, inakatika na ndio safari!.
Haya yote ni 'power manifestation', wafundishe hao wanaotaka kutoka out of body, wanatoka ili iweje?!.
Hizi stages za juu sana na zinafanywa kwa lengo maalum, naona wewe kama unawafundisha watu humu wafanye astral projection for fun!.
Kwa wale wasomaji wa uzi huu, nawasisitizia "don't try do anything you real don't know!". Na kwa wenye nia ya kufanya, kabla hujafanya kitu chochote, lazima kwanza ujiulize "what for", na swali la pili, "do I have to do this?!", yaani unafanya ili iweje?, na jee ni kweli unahitaji kwenda "out of body?!." ili ukafanye mini?!.
Wachawi na wanga, kabla hawamchukua mtu, humpiga hiyo ganzi, nyinyi mnamuona kalala, kumbe analimishwa usiku kucha!.
Wachawi wote hutumia hii out of body kukutana na kupanga mambo yao, hivyo kwenda out of body bila guidance, una bog chances au kukumbwa na wazee wa kupaa usiku ukaenda kufanyiwa initiation za kushiriki zile "karamu zao za usiku", na kuonjeshwa!, ukishaonja tuu!, huachi!.
Angalieni msiwapoteze watu wakajikuta wanaenda kusiko, na mwisho wa siku ni 'ever forward!, no turning back!"
Please watch out na kuweni waangalifu sana!.
Waponyaji wanazitumia nguvu hizi kuponyeshea, na wachawi wanazitumia kulogea!.
Ningefurahi kama mafunzo yangekuwa how to use them to make a difference and not how to use them for fun!, kujifurahishia tuu!.
You don't want to believe and I'll respect you for that. There is truth in the word and I believe it. Jesus is the truth. If you want to find fault, go right ahead. You don't get points for looking without really wanting answers.
Wherefore, the ability to come out of your body is diabolical and witches brew.
AHSANTENI NYOTE KWA KUTUPA UFAHAMU HUO. BILA SHAKA KUNA JAMBO LA KUJIFUNZA KWA KILA MMOJA HAPA. MBARIKIWE...
Kwa hapa nadhani hata shetani pia anaweza kukuona!...Zaidi Ya Mwenyezi Mungu Hakuna Mwingine Anaeweza Kukuona...
"Rakims"