Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

kitu cha kwanza kujua ni kwamba kila kitu astral plane kina aura ya nafsi hata kikombe hata mti pia
Nimeuliza hivyo kwasababu kuna siku nilikaribia kutoka ila ajabu chumba kilikuwa na mwanga Kama nimewasha taa wakt taa ilikuwa imezimwa. Pia Mara nyingi nikifika kwa paralysis state nakua nasikia Kama mtu anatembea chumbani, naingia na woga najiamsha.
 
Mwalimu tatizo una jazba.
Huu mchezo unahitaji hasira lols......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
kati ya hayo makundi binafsi simo ila lako lipi? huwezi kusema jambo ambalo halikuhusu
Aah mkuu, mbona wewe ume-comment lkn haumo? Mimi langu kati ya hayo simo kokote, na natamani watu wasiwemo humo ila kundi la wacha Mungu tu.


Vv
 
Unatakiwa Upandishe Vibration Yako Ya Mwili Ili Uondoke Hata Hisia Ya Baridi Mwilini...

Rakims

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
 
kuoga na kuvaa nguo safi zisizobana n kama kuvaa sanda, vazi maalumu la maiti
Yakheee! huu mchezo hatari saaana huu, manake nikasema ngoja ni test, yakhe nafumba macho mie hata kabla sija concetrate kivileee naona watu weeengi mara nione majeneza nikaona hizi dallili siyo nzuri ati ....weee nikaamuka mie sipendagi ujinga mie........
 
Uchawi mweusi
 
Yakhe! kwa dalili hizo yakhe! mmhhh.......hapo unapoona mwanga hapo ndiyo inakua unaenda hivyo shauri yako .....
 
YAKHE! HILI SOMO HILI HALINA ANGALIZO LOLOTE MANAKE WATU KWA KUKIMBILIA KUJARIBU, WITO WANGU KWA WAPENDA KUJARIBU KABLA YA KUZIJUA TAADHALI BASI MUANDIKEGE KABISA NA WOSIA......
 
YAKHE! HILI SOMO HILI HALINA ANGALIZO LOLOTE MANAKE WATU KWA KUKIMBILIA KUJARIBU, WITO WANGU KWA WAPENDA KUJARIBU KABLA YA KUZIJUA TAADHALI BASI MUANDIKEGE KABISA NA WOSIA......
Akili Ya Mtu Humletea Anachotaka...
 
hata ukitazama tu hollywood (where reality is upside-down) consequences za "kusahau mwili ulipo" ni kwamba unabaki huko huko na ndo mwisho wa kubaki duniani..

kwenye film ya "insidious part 1" jamaa alikuwa anakutana na wafu tu..

not that namkosoa mleta uzi, kila mtu ana haki ya kufanya maamuzi yake binafsi

just my 2 cents
 
Siyo kweli japo sijafanya ila nimesoma na kufanya research kwa wataalam na walio experience hicho kitu

Hakuna kitu cha namna hicho
 
Haya Kabla Hatujaendelea Mbelw Zaidi Leo Natoa Nafasi Ya Kwenu Kuzungumza Kila Mmoja Kwa Nini Mnataka Kumaster Astral Projection (kutoka Nje Ya Mwili)?
Na Unatamani Kufanya Nini Ambacho Kinakufanya Usikate Tamaa ya Kufanya Japokua Yapo Mengi What Is Your Most Desire?

Rakims
 
Siyo kweli japo sijafanya ila nimesoma na kufanya research kwa wataalam na walio experience hicho kitu

Hakuna kitu cha namna hicho
mimi sijui mkuu, kama unafaham zaidi basi congrats ila rejea nilivyosema kuwa "in hollywood, (where reality is upside-down)" nikimaanisha yaweza kuwa unreal vile vile
 
Napenda kujifunza vitu vipya ndo mana napenda ku master hii kitu. Halafu zamani nilikua naweza kukaa sehemu kikatokea kitu nikaona mpaka mwisho wake utavyokua yani ni kama hicho kitu kimewahi kutokea before but now sipati hiyo experience tena why?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…