Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Napenda kujifunza vitu vipya ndo mana napenda ku master hii kitu. Halafu zamani nilikua naweza kukaa sehemu kikatokea kitu nikaona mpaka mwisho wake utavyokua yani ni kama hicho kitu kimewahi kutokea before but now sipati hiyo experience tena why?
Kuna Vyakula Na Matendo Ulikua Ukiyafanya Ndio Vilikua Vinacharge Hiyo Power Yako Ya PRE-COGNITION...

Rakims
 
Jitahidi Sana kukumbusha akili yako kuwa sijalala hapa nipo macho pale paralyses inapoanza kupanda
 
Reactions: Dyf
Namtafuta Kijana mmoja anaitwa Candid Mtikile kama ukipita huu uzi nione pm username yako sikumbuki,

rakims
 
Hiv mkuu kwa mfano ukienda mazima unaweza kuudhulia maziishi yako kwa mwili ule wa ndoto????
Au ukienda ndio umeenda na miili yako yote miwili[emoji120]
 
Hapana Kitu cha kwanza unachotakiwa kujua kuhusu astral projection ninayozungumzia hapo ni ambayo iko safe na can be performed by anyone kifo ni kitu ambacho hakiwezi kukukuta huko
Hiv mkuu kwa mfano ukienda mazima unaweza kuudhulia maziishi yako kwa mwili ule wa ndoto????
Au ukienda ndio umeenda na miili yako yote miwili[emoji120]
 
Nini faida ya hili zoezi bro pasco....maana nimekuwa attracted kufanya....
Na je unaweza kutumia ujuzi huu kuijua kesho yako?
 

Uzi Huu Pia Nitaendelea kuupdate kila baada ya siku zisizopungua kumi!
Natamani ningeweza ningewafundisha na wale waliopo jela ili wajue kuwa wao hawakuletwa duniani kuteseka pia, na somo hili lingepunguza madhara mengi sana duniani
sote ni viumbe wa mungu inaniuma sana kuna ambao wanajiona kama wameletwa duniani kuwa mfano wa wengine au watumishi wa wengine japo tupo wachache humu tanzania lets help each other to find all of us at the sweet place where our face & heart will be full of light and happiness

There comes a time when we heed a certain call
When the world must come together as one
There are people dying
And it's time to lend a hand to life
The greatest gift of all

We can't go on pretending day by day
That someone, somewhere will soon make a change
We all are a part of God's great big family
And the truth, you know,
Love is all we need

[Chorus:]
We are the world, we are the children
We are the ones who make a brighter day
So let's start giving
There's a choice we're making
We're saving our own lives
It's true we'll make a better day
Just you and me

Send them your heart so they'll know that someone cares
And their lives will be stronger and free
As God has shown us by turning stone to bread
So we all must lend a helping hand

[Chorus]

When you're down and out, there seems no hope at all
But if you just believe there's no way we can fall
Well...well...well
Let's realize that a change can only come
When we stand together as one......................................
chorus

Rakims
 
Hivi Mbinguni Unaweza fika... Ukasalimia na Sir God halafu ukarudi
 
Guys...Application gani naweza ku..install katika simu kwa ajili ya kupunguza mwanga. Natumia tecno P5 mwanga mkali sanaa sasa naona kama inaanza kunisababishia maumivu ya kichwa
Ntashukuru kwa msaada ndugu zangu
 
mimi nimejaribu ila nashindwa maana macho yangu nikishayafumba hayatulii place moja na nikijitahidi kuyatuliza najikuta nimefumbua msaada plz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…