Alfan issa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,281
- 893
Mmh! Hiyo kitu Kama cielew iv
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna Vyakula Na Matendo Ulikua Ukiyafanya Ndio Vilikua Vinacharge Hiyo Power Yako Ya PRE-COGNITION...Napenda kujifunza vitu vipya ndo mana napenda ku master hii kitu. Halafu zamani nilikua naweza kukaa sehemu kikatokea kitu nikaona mpaka mwisho wake utavyokua yani ni kama hicho kitu kimewahi kutokea before but now sipati hiyo experience tena why?
Ilikuwajeuthibitisho mkuu, tuambie ilikuaje hadi akafa, vipi watu walijuaje wakati ni mambo ya siri sana?
hahaha unaweza kuwa mchawi weweHongera mkuu!! unaingia katika ulimwengu mwingine sasa!!!
Hiv mkuu kwa mfano ukienda mazima unaweza kuudhulia maziishi yako kwa mwili ule wa ndoto????ASTRAL PROJECTION/Mental Projection......
Ni Ule Uwezo Wa Mtu Kutengana Na Mwili Wake Ki Fikra Katika Imani Husemwa Kiroho...
Kutoka Ap Humfanya Mtu Kwenda Popote Duniani Ki Mawazo Na Kufarijika Nafsi Yake Na Kujifunza Mambo Tofauti Ya Sehemu Jirani Na Kupaa Au Kupita Katikati Ya Ukuta Kama Mchawi Vile....
Ni Aina Ya Nguvu Ambayo Huwa Nayo Watu Wote Isipokuwa Katika Asilimia 100..
65% Ni Watu Wasioijua
25% Ni Watu Wanaoijua
10% Ni Watu Wanaoitumia..
Hatua Za Kufuata Ili Kusavei Nje Ya Mwili
Kuna Njia Mbili Za Kutoka Nje Ya Mwili Hapa Nitaielezea Moja...
Njia Hizo Ni:
1; self Astral P...
2: Astral By Binaural
HATUA ZA KUFUATA KWA NJIA YA KWANZA:
NI RAHISI TU....
1; Oga Na Vaa Nguo Safi Zisizo Bana
2: Lala Chali Mgongo Ukiwa Umenyooka Vema huku umefumba macho....
3: utapata vishawishi kujigeuza au kujitingisha vi ignore/ Usijishike wala kujitingisha kuwa kama soldier....
4: Usitingishe Macho Wala Kuchezesha Mwili Wako...
5: Subiri Na Uconcerntrate Kwenye Pumzi ( Hapa unakuwa unaudanganya ubongo kuwa mwili unaota)
6: ukiweza kujizuia Kujigeuza Geuza Au Kujikuna Ubongo Utajua Umelala Na Utaruhusu Mwili Kuachia Kinga Ya Paralysis Au Ganzi Salama Ya Mwili Mzima..
Ambayo Huwa Inakinga Miili Yetu Kutokujiumiza Wakati WA Kuota Mfano: sleep walking(unaota huku unatembea)
7: Wakati Hali Hii Inatokea Hapo Ndipo Unaweza Kujitenga na mwili wako ambao umepata ganzi....
tatizo hapa huwa lipo katika kujua ni upi mwili sahihi maana bado miili miwili inakuwa imeshikana
8: ukiamka na mwili wako wa ganzi kila kitu utakuwa umevuruga na utaamka kwenye mwili wenye ganzi (hii mimi ninauzoefu nayo pia unajiona upo macho lakini mwili hauamki wala kucheza unaganda ni kawaida ila huwa ni noma sana... haichukui muda ni kama sekunde 10 ukianza kujishtua au kujitingisha ila inashangaza kidogo wale wanafunzi wangu mnajua hapa namaanisha nini...
Sasa Je Utajua Vipi Kati Ya Miili Hii Upi Ni Sahihi?
Mbinu Rahisi Ipo Hivi Ukifikia Kwenye Hatua Hiyo Ya Kutoka.. Visualize Kwamba Una Mikono Mipya Na Miguu Mipya..
na ukishaingia kwenye hali hiyo hutokea set ya mingine
9: Baada Ya Hapo Inuka Katika Mwili Wako Wa Ndoto Sogea Mbele Hatua Tano Geuka Nyuma na Uangalie Mwili Wako Uliouacha.......
10: Hongera Umeweza Fanya Chochote Unachojiskia Hakina Madhara Kwenye Real World....
ANGALIZO:
Wakati Unautizama Mwili Wako Uliouacha Kuna Kitu Kina Kuwa Kimekuunga Na Ule Mwili Kama Silver cold Hivi Nyeupe Ya Kama Wingu Hiyo Ndio Hukusaidia Kurudi Hata Kama Umepotea Njia.....
Cc: Pasco , mshana jr , MziziMkavu
By: Rakims
Hiv mkuu kwa mfano ukienda mazima unaweza kuudhulia maziishi yako kwa mwili ule wa ndoto????
Au ukienda ndio umeenda na miili yako yote miwili[emoji120]
[emoji2]Wacha uoga wewe kwani hujui kufa kupo tu na hakukwepeki?
Na hii kitu inatakiwa iwe ni lazima kwa kila mtanzania kuijifunza iingizwe kwenye katiba mpya... na Sera za Chama tawala
Mkuu tumia 'bluelight filter'.Guys...Application gani naweza ku..install katika simu kwa ajili ya kupunguza mwanga. Natumia tecno P5 mwanga mkali sanaa sasa naona kama inaanza kunisababishia maumivu ya kichwa
Ntashukuru kwa msaada ndugu zangu