Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Mungu akubariki
 
kwanza kabisa ni kupongeze Ndugu mleta mada.

Pili niwatoe wasi wasi wale ndugu wote wenye uoga na jambo hili.

Mimi nitalifafanua ki Mungu zaidi na dhani hata ndugu mleta mada amegusi japo wachangiaji wengi wamejikita kwenye mambo yasiyo na msingi yaani ya kidunia na kutumia vibaya jambo hili.

Niukweli usiopingika kwamba kila mwanadamu aliwekewa na Mwenyezi Mungu kitu kinaitw Ulimwengu wa Roho.

Japo watu wengi hawajui na kuacha watu wanao mwabudu shetani wakitawala katika ulimwengu wa Roho na kufanya mambo yao mabaya.

Naomba hapa niisemee Imani yangu ya Kristo.

Kwa wale wasomaji wa bblia watakumbuka Yesu Mwenyewe Alisema.

" wahabuduo Alisi Imewapasa Kumwabudu Mungu katika Roho. Maana Mungu uwatafuta watu hao wamwabudu katika Roho " yoh 4:22-24

kwa Maneno haya ya Yesu Kristo ni kwamba alikuwa anautambulisha Ulimwengu wa Roho ili kila mwamini anatakiwa Au ishi akiwa katika mwili huu wa damu na nyama.

Kwa wasoma bibla watakumbuka kwenye kitabu cha ufunuo Ndugu yohana aliondoka katika mwili, akiwa katika kisima cha patmo nakuonyeshwa mambo ya jayo ile ilikuwa ni hii kitu kama watu hawajui mfahamu.

Ndiyo maana hata mtoa mada amewaasa kwamba mkiitumi katika kumkaribia Mungu mtapata faida kubwa sana.

Nimalizie kwa kusema mkizingatia katika kumkaribia Mungu na kutafuta kujua mapenzi yake mtapata faida kuliko hasara mtazopata mkitumia vibaya katika mambo yasiyo mtukuza Mungu.

Maana Mungu hakumleta Binadamu duniani ili ateseka ndiyo maana mtume Paulo amesema kwenye 1 wakorinto 2:8-14

" mtu wa Rohoni Uyatambua Yote wala yeye hatambuliwi na Mtu "

ikiwa unataka kuyajua mema ambayo Mungu amekuandalia na jinsi utakavyo yapata basi tumia vizuri Eneo hili kumkaribia Mungu.
 
kwa mfano mimi nasumbuliwa na ugonjwa mda mrefu je, nikifanikiwa kufanya hii AP inanisaidia katika uponyaji?...mtaalam ufafanuzi tafadhali
 
Umeanza vizuri mwisho wasiku unatuwekea wimbo daaah wew ni noma
 
kwa mfano mimi nasumbuliwa na ugonjwa mda mrefu je, nikifanikiwa kufanya hii AP inanisaidia katika uponyaji?...mtaalam ufafanuzi tafadhali
Ndio tena vizuri mno inategemea ww unataka upone kwa kutumia nini? Mwanga, Giza Au Wewe?

Rakims
 
Ndio tena vizuri mno inategemea ww unataka upone kwa kutumia nini? Mwanga, Giza Au Wewe?

Rakims
Rakims nimejaribu sana Ap japo nivuke hata hatua ya kwanza ila imeshindikana nipoconstrat kwenye pumzi najikuta kama mate yamejaa mdomoni inanilazimu kuyameza kumbe hayapo hapo ndo nakuwa nimepoteza point.
 
Rakims nimejaribu sana Ap japo nivuke hata hatua ya kwanza ila imeshindikana nipoconstrat kwenye pumzi najikuta kama mate yamejaa mdomoni inanilazimu kuyameza kumbe hayapo hapo ndo nakuwa nimepoteza point.
Yap, hata mimi hunitokea hiyo isikusumbue sawa kwa maana haihitaji haraka wala sio ushindani hivyo unatakiwa utulize presha na ujiwekee kutoka taratibu kama hutaki vile kila kitu kinakua sawa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…