Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Hayatendeki, hata wanayoyaandika wanaandika nadharia tu, sio kitu halisi ambacho wamekifanya na kikatokea.
ooohh!! binafsi sijui kama ni kweli au ni uongo umejuaje kuwa ni nadharia tu..?
 
kwa nini uliogopa ndugu? Au hukutaka kwenda kupiga misele town?

Hacha uoga kuwa jasiri mkuu, ila katika ishu ile Mtumie Mungu sana ili utape faida na sio hasara.
 
kwa nini uliogopa ndugu? Au hukutaka kwenda kupiga misele town?

Hacha uoga kuwa jasiri mkuu, ila katika ishu ile Mtumie Mungu sana ili utape faida na sio hasara.
nlikuwa sijajiandaa kabisa , nikasema kuna next time japo nimekuwa mwoga kurudia
 
fanya leo tena ukiweza uje unifundishe na mimi si kila kitu niwe nahadisiwa tu!
kwakweli nimekuwa mwoga wa kurudia ,hata kulala chali siwezi siku hizi , mi nlikuwa nataka kuonja tu na nimeshaonja mkuu , download binaural beats therapy google playstore halafu fuatilia hatua ndani ya week 2 ulete mrejesho, ila sio kitu cha siku moja sababu inakuwia vigumu kama vile utajikuta unageuza geuza macho au ukapitiwa na usingizi , amini mkuu mimi nimejifunzia kwenye uzi huo mwaka jana december tu hapo, kuliko umsikilize anaekuambia haiwezekani jaribu mwenyewe ndo ujue ,,
 
Back
Top Bottom