Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Niliwahi toa tahadhari na Leo narudia hii njia ya meditation ni hatari inakukutanisha na mapepo mabaya na hali yako itabadilika na utachanganyikiwa! Usifanye meditation hizo! Onyoo
 
Niliwahi toa tahadhari na Leo narudia hii njia ya meditation ni hatari inakukutanisha na mapepo mabaya na hali yako itabadilika na utachanganyikiwa! Usifanye meditation hizo! Onyoo
Meditation ipi salama?
 
Niliwahi toa tahadhari na Leo narudia hii njia ya meditation ni hatari inakukutanisha na mapepo mabaya na hali yako itabadilika na utachanganyikiwa! Usifanye meditation hizo! Onyoo
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Mkuu inachuwa muda Ganii?
Minimum kuexperience huwa ni siku moja ukifuata maelekezo ya zoezi zima ila maximum ni sawa na siku zaidi ya 7 kama utafanya kwa kusua sua.
 
It doesn't matter how the situation bad is.. Unaweza kucalm mind yako kwa kuanza na meditation ikisha ukifikia kurelax utaweza kufanya vema next time, never give up
 
Yaan mi nataka niuone huo ulimwengu mwingine. Sasa km njia hizi zimeshindikana waseme labda kuna unga unga lol..

MziziMkavu na wakuu wengine mtueleze jamani hiyo mnayosema rahisi mbona kwetu inashindikana, tatizo ni nn!!
Thread yangu haijaeleza hizo vitu
 
Labda binafsi nikifanya hivyo tapata faida gani?
 
Umejitahidi ungekua unaendelea ningekuelekeza mengine but you find it useless leave it..
 
Mi naona unamfundisha mtu kuota na sio in real life hata mi huwa naota ila nakua palepale, huwezi toka nje ya mwili unless wewe ni mchawi.
 
Sasa mbona mmeyaleta hapa kama ni hatari! Dhumuni lenu ni nini! Si ili tujaribu au?!
 
Njia nyengine rahisi kanunue pombe tu unywe utatoka vzuri kabisa
 
Wakuu nafasi zimejaa.. wacha kuni p.m kuomba nafasi ni pm kwa mambo mengine..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…