Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Mkuu nimejaribu sana nashindwa kufanikisha na natamani sana kujua hilo
 
Mkuu Rakims. Kila nikijaribu ganz ikianza miguuni moyo huwa unaenda mbio Sana mpka napoteza concentration na kupoteza mwelekeo kabisa
Relax Mkuu usi focus sana Kwenye Ganzi focus Kwenye kutoka
 
mi kila nikijaribu naishia kwenye mwili kupata ganzi tu likini Sitoki inakuwaje hapo mkuu?
 
Mi nashidwa aisee naona nijaribu njia ya pili ya kutumia binaural beats lakini hujaeleza inatumikaje mkuu na ipi ni sahihi maana zipo nyingi mtandaoni.
 
Wewe u mwanafunzi mzuri sana.

And that is the start-the first step to strange unknown world. Ukimkuta Lucifer na wengine huko wasalimie kwa Jina la Yesu, waambie BWANA Yesu asifiwe!

Vv
Hahaha.... Aisee nimecheka sana.... Haya mambo haya kweli dunia ina meng yaliyo fichamwa
 
Nimefanikiwa kutoka.
Ila nimeogopa kupotea nikawahi kurudi kwenye mwili wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…