Translator
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 286
- 297
aisee. ndio maana maandiko yanasema, nimeumbwa kwa jinsi ya ajabu ya kutisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwani hutaki kufa?kuoga na kuvaa nguo safi zisizobana n kama kuvaa sanda, vazi maalumu la maiti
Cc:RakimsThreesixteen Himself,
Ahsante Kwa Maswali Ya Point....
1: Kutingisha Machp Ni Pale Kukatisha Macho Kona Yaani Ukiwa Umelala Macho Unakuwa Umefumba Yameangalia Sehemu Moja...
2: hapo ulipo hujui kama unapumua lakini mtu akikukumbusha ndio unahisi upepo unaingia puani na kutoka kuconcertrate ni kuiskilizia hiyo pumzi maana ukiisahau usingizi unakupitia na zoezi haliendelei utakuwa umelala kawaida tu...
3: ukilala kitandani ni muda gani usingizi unakuchukua? basi ni sekunde kumi sijazo hizo safe paralysis inaachiwa...
4: ndio utajikuta umeshtuka kama kutoka usingizini halafu hautingishiki popote hata vidole zaidi ya macho tu... na haikai muda zaidi ya sekunde 10 mkuu.....
Threesixteen Himself
"Rakims"
Kwa hawa unaowaonya ni kwamba kwao ili happen negative? na je what should i notice kujua kua ni negative ili nisijaribu tena?Don't try we already did it..
Rakims
Hii hali inanikuta sana tena mara kwa mara ua nahis nimekufa màana najionaga nimelala pembeni kabisaa afu mimi nimesimama pembeni nilisha ongea na watu wengi sna kujua chanzo ni nini kumbe ni hivi! Lol!!! Nina wiki tu tena imenikuta hii hali na maranyingi mchana nikiwa nimepumzikà!!! Yesuuu!! Ndio ma nini sasa haya!!
This is true, Honestly ina tisha sana! Once i was sleeping i woke up and start walking kutoka chumbani kwenda sitting room lakini nilipofika kwenye mlango kuna kama pazia i felt the differnce nilikua na jihis mwepes sana nikageuka nyuma nikajiona nimelala tena kwenye kitanda nili shtuka sana i thought i was dead nikaanza kurudi ku prove is that rel from there sijui nini kilitoke ila nakumb niliamka kama siko sawa!!Try to use hiyo condition and usisahau kurudisha matokeo.
Did you notice the silver cold btn you and the body?This is true, Honestly ina tisha sana! Once i was sleeping i woke up and start walking kutoka chumbani kwenda sitting room lakini nilipofika kwenye mlango kuna kama pazia i felt the differnce nilikua na jihis mwepes sana nikageuka nyuma nikajiona nimelala tena kwenye kitanda nili shtuka sana i thought i was dead nikaanza kurudi ku prove is that rel from there sijui nini kilitoke ila nakumb niliamka kama siko sawa!!
Heri yako unatoka hivyo sie wengine tuna practise kweli kweli lakini mafanikio bado dah. I wish ningekua wewe ghafla.This is true, Honestly ina tisha sana! Once i was sleeping i woke up and start walking kutoka chumbani kwenda sitting room lakini nilipofika kwenye mlango kuna kama pazia i felt the differnce nilikua na jihis mwepes sana nikageuka nyuma nikajiona nimelala tena kwenye kitanda nili shtuka sana i thought i was dead nikaanza kurudi ku prove is that rel from there sijui nini kilitoke ila nakumb niliamka kama siko sawa!!
Ukweli sikua najua chochote leo ndio nimepata kujua baaada ya kusoma hapa, nilisha kwenda mpaka kuomba na kuweka novena kanisani!!!Did you notice the silver cold btn you and the body?
Usiombe ndugu yangu, ivi picture umelala umeamka afu unajiona bado umelala mpaka saiz sijaridhishwa na maelezo hata ya hapa, ni kweli hii hali ipo na mimi ni victim wa hii kitu mara kwa mara na maranyingi naaaangaika sana kuamka!!!Heri yako unatoka hivyo sie wengine tuna practise kweli kweli lakini mafanikio bado dah. I wish ningekua wewe ghafla.
Me too,yaan nikipata lunch then nilale hapo ntajiona nko macho halafu naona kila kitu jla nashndwa kujongea,watu wa kando yangu nakuwa nawasikia vhema ila siwez kuwacontact...inaogofya kweli.Ukweli sikua najua chochote leo ndio nimepata kujua baaada ya kusoma hapa, nilisha kwenda mpaka kuomba na kuweka novena kanisani!!!
Na hii hali inanitokea mara kwa mara! Nimesoma hapa nimeshtuka sana whats wrong with me sasa!!! Maaana siezi maliza wiki mbili sijakutana na hii hali na mara nyingi inantokea mchana nnaposema nijipumzishe pindi ntokapo kazini!!! Why???
Ukweli sikua najua chochote leo ndio nimepata kujua baaada ya kusoma hapa, nilisha kwenda mpaka kuomba na kuweka novena kanisani!!!
Na hii hali inanitokea mara kwa mara! Nimesoma hapa nimeshtuka sana whats wrong with me sasa!!! Maaana siezi maliza wiki mbili sijakutana na hii hali na mara nyingi inantokea mchana nnaposema nijipumzishe pindi ntokapo kazini!!! Why???
Dah kweli lakini maana kama hujui ni nini lazima uogope sana, Kuuona mwili wako pembeni sio mchezo aisee.Usiombe ndugu yangu, ivi picture umelala umeamka afu unajiona bado umelala mpaka saiz sijaridhishwa na maelezo hata ya hapa, ni kweli hii hali ipo na mimi ni victim wa hii kitu mara kwa mara na maranyingi naaaangaika sana kuamka!!!
Sometimes weekends umemaliza shughuli ndogo ndogo unajipumzisha labda sitting unaangalia tv nikipitiwa tu usingizi ni shida sanaaaa!!!! any one to tell me any how to stop this!! It is scarry jamni!!
kama hauitaki hii hali, jifunze ku icontrol.Usiombe ndugu yangu, ivi picture umelala umeamka afu unajiona bado umelala mpaka saiz sijaridhishwa na maelezo hata ya hapa, ni kweli hii hali ipo na mimi ni victim wa hii kitu mara kwa mara na maranyingi naaaangaika sana kuamka!!!
Sometimes weekends umemaliza shughuli ndogo ndogo unajipumzisha labda sitting unaangalia tv nikipitiwa tu usingizi ni shida sanaaaa!!!! any one to tell me any how to stop this!! It is scarry jamni!!
Mkuu elimu hii ungepaswa uitoe chini ya usimamizi wako ili tusije tukapotea tukaacha watt hawana wa kuwaleaASTRAL PROJECTION/Mental Projection......
View attachment 420199
Ni Ule Uwezo Wa Mtu Kutengana Na Mwili Wake Ki Fikra Katika Imani Husemwa Kiroho...
Utokaji huu wa nje ya mwili upo wa aina mbili au tatu na wenyewe ni wa roughly watu wanafundisha kwa maelezo marefu na mapana hali ya kuwa ni kitu kifupi tu watu wanatakiwa kujua jinsi ya kutoka na mengine kujifunza huko huko
FAIDA ZAKE:
View attachment 420282
1. Kujitambua kuwa wewe hufi na kuondoka moja kwa moja: Hili ni tukio litakalo kubadilishia maisha. Mamilioni ya watu wamekua wakithibitisha kuwa mtu akifa hapotei moja kwa moja bali kuna maisha mengine ambayo ataishi wale wasioamini life after dealth.
2. Kuongeza uwezo mzuri wa kulala: Hii husaidia mtu kulala katika hali ya usalama na kupata nguvu inayozungumziwa baada ya kulala na kujua ni ipi sababu kubwa ya kulala tunalala ili miili yetu ipumzike roho zetu zianze kuishi.
3. Kuongeza nguvu ya majariwa: Hii inaongeza kipawa cha unabii na uwezo mkubwa wa kumsoma mtu akili kama mind reader au telepathy, kasimama hapo wewe unaongea na roho yake.
4. Kujiendeleza Kimaisha: Ukiwa nje ya mwili inakuthibitishia kuwa wewe ni zaidi ya binadamu wa kawaida hivyo hukuongezea akili ya utendaji zaidi kwa kutumia maajabu na si nguvu tena.
5. Inakuongezea kukomaa kiroho: Watu wengi wamekuwa na roho nzuri baada ya kuishi na kiumbe zaidi ya asiekuwa mwanadamu.
6. Inaongeza heshima ya maisha: Hii hukufanya umuheshimu kila kiumbe na umuhurumie hata paka maana kule una uwezo wa kuongea hata na wanyama pia.
7. Inaongeza akili kumbukumbu na ubunifu: kupitia ufahamu utakao kuwa nao kwa zoezi hili inaeleweka kwamba utakuwa umefungua sehemu za ubongo wako za fahamu zinazodeal na akili pamoja na kumbukumbu.
8. Kukuwezesha kupata majibu yako mwenyewe kwa spiritual guide: kutoka nje ya mwili kutakujibia maswali mengi ambayo ulikua huwezi kuyajibu katika ulimwengu wako wa kiroho.
9. Kuondoa woga wa kufa: kuhofia kifo ni kuhofia jambo usilolijua.utakapotoka utaona kwamba kumbe nina uwezo wa kuishi maisha ya pili hata nikifa.
10. Kutambua na kuelewa mambo ya kale yaliyopita: utajifunza jinsi ya kupanua ubongo wako haya kuzungumza na historia za kale ingawa unaweza kuona pia tukio lijalo ila hii ni kwa wenye power ya precognition na retrocognitions.
11. Kupaa na kufurahi!
Ulimwengu wa roho hata anga sio mpaka. unaweza kupaa nyuma ya mawingu. na ukapaa kama puto. unataka kuwa na macho ya ndege mjini? la shaka! au unataka kupaa na kuogelea kama samaki dolphin na hata kuruka kama ndege, or dive inside and swim like a fish!
ukitaka unaweza hata kufika kwenye sayari za juu na zile ambazo bado hazijawa discovered wazungu walifanya zamani sana hii na kwenda huko kabla hata ya kurusha ndege, unaweza kwenda popote duniani na nje ya dunia hata kuwatembelea marafiki kila corner ya ulikmwengu
12. Kuthibitisha kwamba mwili wako utakufa ila akili au nafsi yako itabaki tu
13. utayaona mengi maisha yako yaliopita na kuyachezea na utakuwa na nafasi ya kuona kila kitu ambacho unatakiwa kufanya ufanikiwe
Pia hii yaweza kuwa tiba kubwa kwa magonjwa yasiyotibika kwa maana unaingia hata sehemu ambazo zimefichwa hasa na wawea kula dawa yeyote
evolution.
14. Kukutana Na Malaika wako wawili
Utawaona hawa hatua ya kwanza kutoka na kukuongoza kwa mengi ukitaka kuwaona.
15. Kuongeza Nguvu ya miujiza
Kutoka huku kutakufanya uongeze nguvu zako za miujiza kama vile
kuona vitu visivyoonekana kwenye real world, kuskia sauti za mawazo ya mtu, kujua kinachotokea dk kadhaa zijazo, kumlazimisha mtu kufanya utakacho (mind control), kuhisi jambo fulani linatokea, nguvu ya unabii,
Kuona aura ya kila kitu na nguvu zingine nyingi tu. haya yote yatakutokea kwa maana umezidi mpaka wa ubongo wako hapa ndio tunaanza kuona more than a normal brain function(waweza kuwa genius pia ukitumia vizuri, anyway usitumie manguvu yote hovyo utaanza kuhisi kuchanganyikiwa go stape by step.
16. kujaza busara akilini.
hii hukufanya uzidishe busara katika akili yako na amani kuu katika roho yako
17. Kuongeza tamaa ya kupata majibu
Kutoka nje ya mwili kutakufanya kujibu maswali na kujua zaidi kwamba wewe ni nani? upo wapi? na unafanya nini? na unaenda wapi? ukijua hayo hutabadilika mfumo wako wa maisha?
18. Kuwaona waliokufa
Hapa utakutana na ndugu zako uliokuwa ukiwapenda waliotangulia mbele za haki. Kukutana nao huku kutakusaidia sana kuwasaidia kama kuwalipia madeni na kukuonyesha mali walizoficha kama walikua wanakupenda.
19. Kujiongezea maajabu ya maisha
hapa utajifunza mengi kuona kila kiumbe kisichoonekana kupajua sehemu watu na nyumba kabla hujaenda
20. Kupona
Ukitoka nje ya mwili unakuwa umejitibu hapa utaweza kujitibu mwenyewe na wengine na wanyama pia.
Na Hizi bado ni baadhi tu:
Ni Aina Ya Nguvu Ambayo Huwa Nayo Watu Wote Isipokuwa Katika Asilimia 100..
65% Ni Watu Wasioijua
25% Ni Watu Wanaoijua
10% Ni Watu Wanaoitumia..
Hatua Za Kufuata Ili Kusavei Nje Ya Mwili
Kuna Njia Mbili Za Kutoka Nje Ya Mwili Hapa Nitaielezea Moja...
Njia Hizo Ni:
1; self Astral P...
2: Astral By Binaural Beats
View attachment 420201
HATUA ZA KUFUATA KWA NJIA YA KWANZA:
NI RAHISI TU....
1; Oga Na Vaa Nguo Safi Zisizo Bana
2: Lala Chali Mgongo Ukiwa Umenyooka Vema huku umefumba macho....
View attachment 420202
3: utapata vishawishi kujigeuza au kujitingisha vi ignore/ Usijishike wala kujitingisha kuwa kama soldier....
4: Usitingishe Macho Wala Kuchezesha Mwili Wako...
5: Subiri Na Uconcerntrate Kwenye Pumzi ( Hapa unakuwa unaudanganya ubongo kuwa mwili unaota)
6: ukiweza kujizuia Kujigeuza Geuza Au Kujikuna Ubongo Utajua Umelala Na Utaruhusu Mwili Kuachia Kinga Ya Paralysis Au Ganzi Salama Ya Mwili Mzima..
Ambayo Huwa Inakinga Miili Yetu Kutokujiumiza Wakati wa Kuota Mfano: sleep walking(unaota huku unatembea)
7: Wakati Hali Hii Inatokea Hapo Ndipo Unaweza Kujitenga na mwili wako ambao umepata ganzi....
tatizo hapa huwa lipo katika kujua ni upi mwili sahihi maana bado miili miwili inakuwa imeshikana
8: ukiamka na mwili wako wa ganzi kila kitu utakuwa umevuruga na utaamka kwenye mwili wenye ganzi (hii mimi ninauzoefu nayo pia unajiona upo macho lakini mwili hauamki wala kucheza unaganda ni kawaida ila huwa ni noma sana... haichukui muda ni kama sekunde 10 ukianza kujishtua au kujitingisha ila inashangaza kidogo wale wanafunzi wangu mnajua hapa namaanisha nini...
Sasa Je Utajua Vipi Kati Ya Miili Hii Upi Ni Sahihi?
Mbinu Rahisi Ipo Hivi Ukifikia Kwenye Hatua Hiyo Ya Kutoka.. Visualize Kwamba Una Mikono Mipya Na Miguu Mipya..
na ukishaingia kwenye hali hiyo hutokea set ya mingine
9: Baada Ya Hapo Inuka Katika Mwili Wako Wa Ndoto Sogea Mbele Hatua Tano Geuka Nyuma na Uangalie Mwili Wako Uliouacha.......
10: Hongera Umeweza Fanya Chochote Unachojiskia Hakina Madhara Kwenye Real World....
lakini vipo ambavyo vinaonekana in real world play safe there
ANGALIZO:
View attachment 420205
Wakati Unautizama Mwili Wako Uliouacha Kuna Kitu Kina Kuwa Kimekuunga Na Ule Mwili Kama Silver cold Hivi Nyeupe Ya Kama Wingu Hiyo Ndio Hukusaidia Kurudi Hata Kama Umepotea Njia.....
View attachment 420206
Rakims
Mkuu kila jambo duniani lina faida zake so usiseme ujingaMkuu Rakims na MziziMkavu, naombeni sana wakati mnatoa hili somo, pia muwape angalizo hao wanafunzi wenu, kuwa mchezo huu pia ni sawa na kuijaribu sumu kwa kuilamba!. Wapeni kabisa masharti ya kuzingatia, wakikosea ndio safari jumla!, asubuhi unakutwa ulitangulia ukiwa usingizini!.
Masharti ni haya.
Wito wangu mimi wa wafuatiliaji wa haya makitu, kama hujui unataka nini, au utoke out of body ili kuachieve nini, please don't do it!. Mtu asikudanganye kuwa its very fun to go out of body, is not fun!. Too much knowledge on anything is harmful, please don't try unless you are sure what you are trying to do!.
- Fanya hivyo ukiwa umelala peke yako chumbani, na kabla hujaanza ujinga huo, hakikisha umefunga mlango kwa funguo, kwa sababu akitokea mtu akakuamsha kwa kukutingisha kwa nguvu na kuchange ile position yako hata ya milimita moja, ile cord ni kama utando wa buibui, inakatika, wewe unakuwa ndio basi tena!.
- Unaweza kukutana na "the under world" ukaona maisha hayo ya astra plane ndio bora zaidi kuliko real world, hivyo cord ikakatika, huku unakutwa ndio basi tena!, wewe ni safari jumla!.
- Hizi ni highest stages za meditation ambazo haziruhusiwi kufanywa na beginners, na hazifanywi un supervised vinginevyo ni safari jumla!.
- Yote utakayoyashuhudia kwenye astra body, unaweza kuyafanya by simply opening up the "third eye!"
- Hizi ndizo the first stages za wachawi!.
Paskali