Rakims
JF-Expert Member
- Jun 4, 2014
- 5,002
- 4,571
- Thread starter
- #1,361
Hakuna tatizo wengi hupenda kuishia hapo kuexperience ganzi kwanza,
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna tatizo wengi hupenda kuishia hapo kuexperience ganzi kwanza,
Teacher naendelea kujinza somo letula kutoka nje mwili nafikili baada ya kusoma huu uzi kama mwalimu wa somo hili umeeleza faida zake tu sasa nahitaji kujua na hasara zake piaSamahani nitakujibu swali kwa swali i hope utakua umeelewa zaidi, pale ambayo witches wanakuja kukubeba ukiwa umelala na kwenda kukutumikisha kazi au kukubaka au kukuhoji maswali ili kesho ukienda kumuona awe na majibu ya kukupa, unadhani uwa anakubeba mwili mzima?
Jibu la swali no 1:
Akikutingisha mtu hii tulifanyia provement na wanafunzi wangu wa practical baada ya kukumbana na hoja ya pasco kuwa silver cord yaweza kukatika bila amri ya mungu ikiwa utatingishwa kinachotokea hapo ni kuwa hata kule alipo awe kashikilia kitu unavuzidi kumuamsha atake asitake atakuja kwa kasi ya ajabu hadi ataamka, kinachotokea ni maumivu tu ya kichwa ya dakika 2 hadi 3,
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana immposible labda kama wakati wako umefikaMkuu hivi haiwezekani kuwa wakati unatoka (jitoa) katika mwili wako Ziraili nae akatokea na kukudakua huko huko kwenye mwili mpya?
Hizo hadithi tu,Usijaribu. kuna magimba mengine ni milango ya kuzimu yananguvu ya uvutano kama Black Holl, kifupi yana njaa ya Roho ili yaendelee kudumu. Kama ilivyo dunia ni gate la kwenda juu ndiyo ilivyo kwa sayari zengine ni magate ya kwenda kuzimu. Me niliwahi kuvutwa si kwa hiyari yangu nilipofika karibu na Jupiter/sumbura, nikakurupuka. Usiniulize Sana Ila fahamu ivyo. Pia unatakiwa kuwa na ufahamu mkubwa Kiroho ili uweze kujicontrol unapokua ktk hali hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza tambua huu sio mchezo wa kucheza hovyo, hii sio ya watoto kuchezea hii ni kama kupeleleza kituo cha upelelezi bila wao kukuona kwanza ile tu kutokuonekana na bilocation pamoja na teleportation ni kinga zako kubwa mfano right now kichwani kwako unawaza kupotea utokee sehemu, nani jirani yako anaweza kujua ukipotea yaani hapa ukitoka astro pj binadamu hakuoni ila ukiingia kule unakua mtawala wa yale mazingira kama majini wanavyojitokeza na kupotea duniani na wewe kule ni hivyo hivyo ukiinua vibration yako, binafsi sijawahi kuona side effect tangu nimeanza kufanya zaidi tu ya kuskia sauti za watu nisiowaona muda mwingine maeneo ninayokaa peke yangu nimetulia na kichwa kuuma kidogo ila nikiraise viberation siskii in short side effect zake unakua tu kitofauti na watu wengine.Teacher naendelea kujinza somo letula kutoka nje mwili nafikili baada ya kusoma huu uzi kama mwalimu wa somo hili umeeleza faida zake tu sasa nahitaji kujua na hasara zake pia
Kwa sababu hapawezi kuwa na uzuri tu bila ubaya au madhara yaka kwa mtu aliyefanikisha zoezi hilo
Kwa mfano
Huwa tunajifunza humu jf kuroot simu nadhani hii ni mfano wake kuroot meditation yaan kuapgrade ubongo maana yake unakua na uwezo wa kufikiri kufanya kazi kwa uwezo wa hali ya juu kwenda kokote bila kizuiz kwa kifupi unakuwa na uwezo kuliko binadam wa kawaida
Kwa mfano kuroot simu ni kuifanya simu inakuwa na uwezo kuliko simu isiorootiwa lakini madhara yake yapo
Mfano huwezi kuapdate kutoka toleo iliopo na kupokea vision mpya ya android au kuapdate systeam itacorupt tu
Swali sasa nini madhala yake walikuwa tayari ndani na wanataka kuingia kwenye mchezo huu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Si Hadithi ni kweli. Wewe unatoka ukiwa kama Roho na mashetani nayo ni roho so kufanya replacement ni rahisi, na hataka kama wakishindwa wanaweza kuattack Roho ukaruhusu nao wakaingia ndani ya mwili ukawa mwili mmoja madereva 8
Soma uzi wangu nimeutoa sasa hivi,,mi nilihisi wachawi kumbe nami hutoka roho na kuacha mwili jamani,,sasa mbona huwa sijataka kutokaUsiombe ndugu yangu, ivi picture umelala umeamka afu unajiona bado umelala mpaka saiz sijaridhishwa na maelezo hata ya hapa, ni kweli hii hali ipo na mimi ni victim wa hii kitu mara kwa mara na maranyingi naaaangaika sana kuamka!!!
Sometimes weekends umemaliza shughuli ndogo ndogo unajipumzisha labda sitting unaangalia tv nikipitiwa tu usingizi ni shida sanaaaa!!!! any one to tell me any how to stop this!! It is scarry jamni!!
Mi hunitokea nikiwa nimelala kifudi fudii na sio chali maana silalagi chali,mi nilijua wachawi jamaniusitingishe macho wala kuchezesha mwili, ni kama maiti vile.
kulala chali ni kama maiti inavyolala
usishawishike kijigeuza, hata maiti hutamani kufanya hivyo kwa sabb maiti anawasikia ila tu haiwezi kurespond
mchezo mzima huo, ni kama al-mait havina tofauti
Mim siwezi kuicontroll ni siku moja tu nilifurahia kweli,mi nilikuaga nahisi labda wachawi wananibeba,,maana hunitokea usiku nasikia mwili unakufa ganzi na nalazimishwa kupata usingizi wa lazima huku kiakili nakuwa najitambua kabisa na nakua naita watu wanisaidie,,,mi nilijua wachawi kumbe nawasingiziaa,,na kuna siku nikawaza nani ananifundisha kuwa mchawi maana huwa napaaa lonaafiki unachosema lakini hiyo huwatokea wanaozifuata hizo opposition power kwani sasa hivi si upo safe hapo lakini ukitaka usiwe safe utaenda kukaa na wavuta bange au bar za usiku wa manane hii hukuletea matatizo sawa na spirit world wengi husema ni kama kutembea usiku wa manane kwa kuangalia waende wapi? Bar? Disco? Vijiweni? au sehemu za amani... ukienda sehemu za amani utakutana na vya amani ukienda sehemu za shari utakutana na vya shari.. mara nyingi nikitoka astral projection hunguka maeneo ya ibada na kuzunguka maeneo yaliyo na mwanga tu ambapo hata taa imezimwa huwa sikatizi.. na it been years i do it... nikipenda natoka nikipenda sitoki... na nikitoka humtanguliza mola wangu mbele na ukitoka kwa kmtegemea mwenyezi mungu tu unakuwa invisible hata kwa wachawi na ukitoka unaona wenzio waliotoka au wanaojaribu kutoka unakutana nao wengi hurudi kwenye miili yao speed pale wanaposhindwa kuiendesha spirit body yao..........