Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Uu ndo uzi wa kwanza kuusoma jf,... Nilivoingia kwa mara iyo
Dah, mimi pia mkuu huu uzi nilivouona tu ukanikumbusha mbali sana. Ndio ulikuwa wa Kwanza kwanza kuusoma mpaka nikaandika na hizi procedures kwenye daftari ili eti kwamba hata uki miss-place basi niwe na kumbukumbu ya jinsi ya kufanya "Astral protection" hahaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii ni njia safi sana kwa wale waliokata tamaa ya maisha na kuamua kujiua. Huna sababu ya kununua sumu wala kamba ya kujinyongea. unatoka tu jumlaaaaaa dadeeeki kifo hakina brake. Ngoja nikawafundishe wanyalu .... unakufa kisasa...
 
mords naona mnadirect comment za member anaitwa hardbody kwangu,naimba mliangalie hili
 
Dah, mimi pia mkuu huu uzi nilivouona tu ukanikumbusha mbali sana. Ndio ulikuwa wa Kwanza kwanza kuusoma mpaka nikaandika na hizi procedures kwenye daftari ili eti kwamba hata uki miss-place basi niwe na kumbukumbu ya jinsi ya kufanya "Astral protection" hahaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usiku huu wa leo nimesoma izo comment zote 148 iv,maana ni muda niliukimbia huu uzi,kiukweli wale wenzangu wa kuzoea kuonjaonja wale ichi kitu au zoezi au kazi ya kuchezea roho(nafsi) sio nzuri japo ni kweli yawezekana,ila haipendezi na kama mshazoea ebu acheni au punguzen kwa kua pia ni maarifa kwa namna moja au nyingine,hili swala la AP cjui linavyojulikana kwa sasa,cc wengine huwa tunaita ndoto tu ila ni kuiachia roho nafasi ya maisha kwa mda wake,kwakua mwili ama jengo la roho lina mda wake na roho nayo ina mda wake wa maisha yake,japo yenyewe INASEMEKANA ina mda mrefu zaid yaani ni ya milele,sasa tunapokuwa tunaifanyia malazimisho kuikontrol pasipo ridhaa yake ni makosa makubwa sana,na nikuambieni tu kitu pale mwili unapokuwa mapumzikoni either umepitiwa na usingizi au umeketi?,ndipo pale roho nayo huweza kufanya mambo yake au maisha yake kwa wakati ule,kama ni kucheza,kuzurura,kubrdk,kufanya ushuhuda n.k.,na jua kwamba mambo au jambo litendekalo rohoni huwa ni kubwa na lenye kuchukua muda mrefu endapo ungelijalibu kimwili lakini kwa kuwa limetendeka rohoni ni muda mfup tu huchukua,nikijarb kukadalia muda nadhani dakik15 za rohoni ni masaa hata9-12 ya duniani nazan ni cku nzima japo kimakadilio tu,kwa maana majukumu hutendeka kwa haraka,mienendo ama speed huwa ni ya kasi sana,maamuz ya akili huwa shapu sanaa,SASA BASI NIWAJUZE KWA HILI,roho zimefaidi sana maisha wakat jengo lake(mwili)likiwa jipya,yaan mwili kuwa mchanga apa nazungumzia kwanzia mwaka1-12,kuvuka apo inakuwa shida sana na maisha ya roho yanajificha yanakuwa hayana tena urafiki au ukaribu na jengo lake ambalo ni mwili,hivyo unakuta hata kama roho iwapo kwny maisha ya upande wake inafanya maisha ya siri ili maradi ww mwili usipate kutambua,na ndo kwa maana watu wazima wengi wetu kukumbuka tulichoota au kilichotutokea endapo tumeketi upweke inakuwa ngumu,WHY urafiki na roho umekufa na roho yaishi kwa kujificha tuu ilimradi siku yake ya kuukimbia mwili ikifika iondoke,utotoni tumeota tukipaa ndotoni tukizunguka mitaani hata kwenda juu kwenye sayari kadha wakadha,mfano hai mimi nakumbuka hivi vitu utotoni vimenitokea sana,kwanza nilivipenda japo nilikua sifaamu kuwa ni maisha ya kiroho nilikuwa napenda sana kuwahi kulala,na kila nikilala hali hii ya kiroho ilinikumba nilikua naamka vzr atokea dirishani au ukutani bila mwili kujigonga yaani nayeyukia tu na kujikuta niko nje,nilipokuwa naishi kulikuwa na uzio wa ukuta mrefu kiac kama tuseme fensi,yaan vilevile haujabadilika chochote,nilikuwa nikiukaribia naruka kiasi na kusimama juu ya ule ukuta,nikisha kusimama naruka kimo cha kujitosa majini ndipo naelea levo flan na kisha napaa na kukata mitaa,kuzurura angani n.k,lakini toka nimekua mtu mzima ile hali imetoweka,ni WHY?kwa kuwa roho imejitenga na maisha yake yaifanya kisiri na ipo mbioni kuacha jengo hili,sasa tunapotaka kuforce maisha ya kiroho itatugarimu tena si kidg sana tu,nambie wapata faida gani utapokuwa uko uvishuhudiavyo?,NA TAMBUA UKO MNAPO TANGA TANGA KUNA UWEZEKANO WA KUTOKURUDI YAANI IKIAWA KIMOJA,endapo umejifungia mahala ukawa unatenda ayo mambo ikatokea mtu akaja kukuamsha au kukutikisa nawe uko mbali tambua ndo kwaheri hurudi yaani tukusaau,haya mambo ya kiroho nadiliki kusema kwamba unapofanya hili jambo huna tofauti na wizard,msichezee roho zenu maana ziko nguvu kuzizidi roho uko mzururapo pasipo na maana zaid ya kukutana na mambo ya ajabu ajabu amna cha msingi......ENDELEENI NA KUFUNDISHANA UPUUZI WA MAISHA YENU.
 
93e3d8a67be934b448b3020bd802bf1d.jpg
 
ASTRAL PROJECTION/Mental Projection......
View attachment 420199
Ni Ule Uwezo Wa Mtu Kutengana Na Mwili Wake Ki Fikra Katika Imani Husemwa Kiroho...
Utokaji huu wa nje ya mwili upo wa aina mbili au tatu na wenyewe ni wa roughly watu wanafundisha kwa maelezo marefu na mapana hali ya kuwa ni kitu kifupi tu watu wanatakiwa kujua jinsi ya kutoka na mengine kujifunza huko huko

FAIDA ZAKE:
View attachment 420282
1. Kujitambua kuwa wewe hufi na kuondoka moja kwa moja: Hili ni tukio litakalo kubadilishia maisha. Mamilioni ya watu wamekua wakithibitisha kuwa mtu akifa hapotei moja kwa moja bali kuna maisha mengine ambayo ataishi wale wasioamini life after dealth.

2. Kuongeza uwezo mzuri wa kulala: Hii husaidia mtu kulala katika hali ya usalama na kupata nguvu inayozungumziwa baada ya kulala na kujua ni ipi sababu kubwa ya kulala tunalala ili miili yetu ipumzike roho zetu zianze kuishi.

3. Kuongeza nguvu ya majariwa: Hii inaongeza kipawa cha unabii na uwezo mkubwa wa kumsoma mtu akili kama mind reader au telepathy, kasimama hapo wewe unaongea na roho yake.

4. Kujiendeleza Kimaisha: Ukiwa nje ya mwili inakuthibitishia kuwa wewe ni zaidi ya binadamu wa kawaida hivyo hukuongezea akili ya utendaji zaidi kwa kutumia maajabu na si nguvu tena.

5. Inakuongezea kukomaa kiroho: Watu wengi wamekuwa na roho nzuri baada ya kuishi na kiumbe zaidi ya asiekuwa mwanadamu.

6. Inaongeza heshima ya maisha: Hii hukufanya umuheshimu kila kiumbe na umuhurumie hata paka maana kule una uwezo wa kuongea hata na wanyama pia.

7. Inaongeza akili kumbukumbu na ubunifu: kupitia ufahamu utakao kuwa nao kwa zoezi hili inaeleweka kwamba utakuwa umefungua sehemu za ubongo wako za fahamu zinazodeal na akili pamoja na kumbukumbu.

8. Kukuwezesha kupata majibu yako mwenyewe kwa spiritual guide: kutoka nje ya mwili kutakujibia maswali mengi ambayo ulikua huwezi kuyajibu katika ulimwengu wako wa kiroho.

9. Kuondoa woga wa kufa: kuhofia kifo ni kuhofia jambo usilolijua.utakapotoka utaona kwamba kumbe nina uwezo wa kuishi maisha ya pili hata nikifa.

10. Kutambua na kuelewa mambo ya kale yaliyopita: utajifunza jinsi ya kupanua ubongo wako haya kuzungumza na historia za kale ingawa unaweza kuona pia tukio lijalo ila hii ni kwa wenye power ya precognition na retrocognitions.

11. Kupaa na kufurahi!

Ulimwengu wa roho hata anga sio mpaka. unaweza kupaa nyuma ya mawingu. na ukapaa kama puto. unataka kuwa na macho ya ndege mjini? la shaka! au unataka kupaa na kuogelea kama samaki dolphin na hata kuruka kama ndege, or dive inside and swim like a fish!

ukitaka unaweza hata kufika kwenye sayari za juu na zile ambazo bado hazijawa discovered wazungu walifanya zamani sana hii na kwenda huko kabla hata ya kurusha ndege, unaweza kwenda popote duniani na nje ya dunia hata kuwatembelea marafiki kila corner ya ulikmwengu

12. Kuthibitisha kwamba mwili wako utakufa ila akili au nafsi yako itabaki tu

13. utayaona mengi maisha yako yaliopita na kuyachezea na utakuwa na nafasi ya kuona kila kitu ambacho unatakiwa kufanya ufanikiwe

Pia hii yaweza kuwa tiba kubwa kwa magonjwa yasiyotibika kwa maana unaingia hata sehemu ambazo zimefichwa hasa na wawea kula dawa yeyote

evolution.

14. Kukutana Na Malaika wako wawili

Utawaona hawa hatua ya kwanza kutoka na kukuongoza kwa mengi ukitaka kuwaona.



15. Kuongeza Nguvu ya miujiza

Kutoka huku kutakufanya uongeze nguvu zako za miujiza kama vile

kuona vitu visivyoonekana kwenye real world, kuskia sauti za mawazo ya mtu, kujua kinachotokea dk kadhaa zijazo, kumlazimisha mtu kufanya utakacho (mind control), kuhisi jambo fulani linatokea, nguvu ya unabii,
Kuona aura ya kila kitu na nguvu zingine nyingi tu. haya yote yatakutokea kwa maana umezidi mpaka wa ubongo wako hapa ndio tunaanza kuona more than a normal brain function(waweza kuwa genius pia ukitumia vizuri, anyway usitumie manguvu yote hovyo utaanza kuhisi kuchanganyikiwa go stape by step.


16. kujaza busara akilini.

hii hukufanya uzidishe busara katika akili yako na amani kuu katika roho yako

17. Kuongeza tamaa ya kupata majibu

Kutoka nje ya mwili kutakufanya kujibu maswali na kujua zaidi kwamba wewe ni nani? upo wapi? na unafanya nini? na unaenda wapi? ukijua hayo hutabadilika mfumo wako wa maisha?

18. Kuwaona waliokufa

Hapa utakutana na ndugu zako uliokuwa ukiwapenda waliotangulia mbele za haki. Kukutana nao huku kutakusaidia sana kuwasaidia kama kuwalipia madeni na kukuonyesha mali walizoficha kama walikua wanakupenda.

19. Kujiongezea maajabu ya maisha

hapa utajifunza mengi kuona kila kiumbe kisichoonekana kupajua sehemu watu na nyumba kabla hujaenda

20. Kupona
Ukitoka nje ya mwili unakuwa umejitibu hapa utaweza kujitibu mwenyewe na wengine na wanyama pia.

Na Hizi bado ni baadhi tu:

Ni Aina Ya Nguvu Ambayo Huwa Nayo Watu Wote Isipokuwa Katika Asilimia 100..

65% Ni Watu Wasioijua

25% Ni Watu Wanaoijua

10% Ni Watu Wanaoitumia..

Hatua Za Kufuata Ili Kusavei Nje Ya Mwili

Kuna Njia Mbili Za Kutoka Nje Ya Mwili Hapa Nitaielezea Moja...

Njia Hizo Ni:

1; self Astral P...

2: Astral By Binaural Beats
View attachment 420201

HATUA ZA KUFUATA KWA NJIA YA KWANZA:

NI RAHISI TU....

1; Oga Na Vaa Nguo Safi Zisizo Bana

2: Lala Chali Mgongo Ukiwa Umenyooka Vema huku umefumba macho....
View attachment 420202
3: utapata vishawishi kujigeuza au kujitingisha vi ignore/ Usijishike wala kujitingisha kuwa kama soldier....

4: Usitingishe Macho Wala Kuchezesha Mwili Wako...

5: Subiri Na Uconcerntrate Kwenye Pumzi ( Hapa unakuwa unaudanganya ubongo kuwa mwili unaota)

6: ukiweza kujizuia Kujigeuza Geuza Au Kujikuna Ubongo Utajua Umelala Na Utaruhusu Mwili Kuachia Kinga Ya Paralysis Au Ganzi Salama Ya Mwili Mzima..
Ambayo Huwa Inakinga Miili Yetu Kutokujiumiza Wakati wa Kuota Mfano: sleep walking(unaota huku unatembea)

7: Wakati Hali Hii Inatokea Hapo Ndipo Unaweza Kujitenga na mwili wako ambao umepata ganzi....
tatizo hapa huwa lipo katika kujua ni upi mwili sahihi maana bado miili miwili inakuwa imeshikana

8: ukiamka na mwili wako wa ganzi kila kitu utakuwa umevuruga na utaamka kwenye mwili wenye ganzi (hii mimi ninauzoefu nayo pia unajiona upo macho lakini mwili hauamki wala kucheza unaganda ni kawaida ila huwa ni noma sana... haichukui muda ni kama sekunde 10 ukianza kujishtua au kujitingisha ila inashangaza kidogo wale wanafunzi wangu mnajua hapa namaanisha nini...

Sasa Je Utajua Vipi Kati Ya Miili Hii Upi Ni Sahihi?

Mbinu Rahisi Ipo Hivi Ukifikia Kwenye Hatua Hiyo Ya Kutoka.. Visualize Kwamba Una Mikono Mipya Na Miguu Mipya..
na ukishaingia kwenye hali hiyo hutokea set ya mingine

9: Baada Ya Hapo Inuka Katika Mwili Wako Wa Ndoto Sogea Mbele Hatua Tano Geuka Nyuma na Uangalie Mwili Wako Uliouacha.......

10: Hongera Umeweza Fanya Chochote Unachojiskia Hakina Madhara Kwenye Real World....
lakini vipo ambavyo vinaonekana in real world play safe there

ANGALIZO:
View attachment 420205
Wakati Unautizama Mwili Wako Uliouacha Kuna Kitu Kina Kuwa Kimekuunga Na Ule Mwili Kama Silver cold Hivi Nyeupe Ya Kama Wingu Hiyo Ndio Hukusaidia Kurudi Hata Kama Umepotea Njia.....
View attachment 420206




Rakims
Mkuu these are just hallucinations. Sio mpaka ufuate izo steps ulizotoa hapo ht pia kuna some drugs ukimpa mgonjw ana hallucinate. Na sio hii tu mambo mengi hayana ushahid mpk leo km telekinesis
 
Back
Top Bottom