Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

ivi energy source tunatowa wapi maana nimegunguua miili ya binadamu haina spiritual energy? tunaweza canaya vitu lakin vinakuwa havina impact coz ya low energy
 
Rakims @pascco
1.JE NAWEZA FANYA HIYO AP NIKAENDA USA NIKAMLA BEYONCE KIMASIHARA HALAFU NIKARUD TZ
2.UWEZO HUO WHY PASCO HAKUUTUMIA KWENYE KURA ZA MAONI NA AKAAMBULIA KURA 1
MANA KASEMA HUO NI UCHAWI,
3.MATAJIRI WOTE NI WACHAWI??
 
Allah/GOD WAISLAM
JEHOVAH/JESUS WAKRISTO
DEMONS WAPAGAN
Devil WASIO NA DINI
MUNGU WA WAISLAMU NA MUNGU WA WAKRISTO NI MUNGU TOFAUTI AUNMUNGU MMOJA KASORO MAJINA?
 
SIWEZ JARIBU MEDITATION YA KUFORCE AISEE MANA NAKUMBUKA BRO Mshana Jr ALIWAHI SEMA NI HATARI
sana KUUACHA MWILI yaan ROHO inachomoka inaenda let say kuzimu au ANGANI..NASHUKURU NIMEJUA ILA SIWEZ KUJARIBU.
 
Mambo mawili juu ya elimu inayotolewa hapa
1. Uongo uliotungwa kama zile theory za evolution of man (it's a sham). Lengo lao kupumbaza watu tu

AU

2. Ni ukweli uliojikita kwenye uchawi. Mwenye kujiingiza huko anajiingiza kujifunza uchawi bila kujua au kwa kujua
 
Rakims @pascco
1.JE NAWEZA FANYA HIYO AP NIKAENDA USA NIKAMLA BEYONCE KIMASIHARA HALAFU NIKARUD TZ
2.UWEZO HUO WHY PASCO HAKUUTUMIA KWENYE KURA ZA MAONI NA AKAAMBULIA KURA 1
MANA KASEMA HUO NI UCHAWI,
3.MATAJIRI WOTE NI WACHAWI??

1: huo utakuwa ni upumbavu wa hali ya juu na hakuna utazini nacho isipokuwa shetani aliyekaribu na kwake

2: Pasco anaweza akawa anafahamu vipi hivi au ana idea navyo lakini sidhani kama anafanya

3: Hili swali ni sawa na kusema masikini wote wamerogwa mkuu.
Kuna watu wana utajiri wa mirathi na wengine kwa nguvu zao na akili zao Mungu wala shetani wao hawana habari nao

Rakims

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
SIWEZ JARIBU MEDITATION YA KUFORCE AISEE MANA NAKUMBUKA BRO Mshana Jr ALIWAHI SEMA NI HATARI
sana KUUACHA MWILI yaan ROHO inachomoka inaenda let say kuzimu au ANGANI..NASHUKURU NIMEJUA ILA SIWEZ KUJARIBU.
Hakuna meditation ya kuforce maana hutapata kitu ukiforce zaidi ya kuchemsha kichwa na kukipa maumivu.
Soma kitu kwa practices ndio utaelewa sio kwa fikra finyu

Rakims

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…