Rakims
JF-Expert Member
- Jun 4, 2014
- 5,002
- 4,571
- Thread starter
- #1,861
Kuna experience za mwanzo kabisa mtu anayetoka akizisema najua huyu katoka mkuukwann
Rakims
Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna experience za mwanzo kabisa mtu anayetoka akizisema najua huyu katoka mkuukwann
Binafsi situmii beats lakini moja kati ya watu wanatengeneza beats zenye viwango ni theonestguys watafute youtube utazipataMkuu naomba nitajie iyo beats nitumie kutoka njee ya mwili
mi sijaotaaKuna experience za mwanzo kabisa mtu anayetoka akizisema najua huyu katoka mkuu
Rakims
Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Endelea kufanya mkuu utafanikiwaNiliwahi kujaribu pia hii mambo ya Astral projection niliishia kusinzia tu
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Allah/GOD WAISLAMchochote unachotaka like keeping your belief closer to allah/god for muslims Or Keeping Your Closer To Jehova/Jesus To Christians Or Keeping You Closer To Demons If Your Paganism Or Keeping You Closer To Devil If You Are Ant-religious You Found There Whatever You Believe In Or Even Luxuries it depends on your demands Son,
Rakims
Solar plexus chakra ambayo ipo kwenye eneo la tumboivi energy source tunatowa wapi maana nimegunguua miili ya binadamu haina spiritual energy? tunaweza canaya vitu lakin vinakuwa havina impact coz ya low energy
Rakims @pascco
1.JE NAWEZA FANYA HIYO AP NIKAENDA USA NIKAMLA BEYONCE KIMASIHARA HALAFU NIKARUD TZ
2.UWEZO HUO WHY PASCO HAKUUTUMIA KWENYE KURA ZA MAONI NA AKAAMBULIA KURA 1
MANA KASEMA HUO NI UCHAWI,
3.MATAJIRI WOTE NI WACHAWI??
Hakuna meditation ya kuforce maana hutapata kitu ukiforce zaidi ya kuchemsha kichwa na kukipa maumivu.SIWEZ JARIBU MEDITATION YA KUFORCE AISEE MANA NAKUMBUKA BRO Mshana Jr ALIWAHI SEMA NI HATARI
sana KUUACHA MWILI yaan ROHO inachomoka inaenda let say kuzimu au ANGANI..NASHUKURU NIMEJUA ILA SIWEZ KUJARIBU.
eheh imefanyanye?Solar plexus chakra ambayo ipo kwenye eneo la tumbo
Rakims
Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
natakiwa ni fananyaje ?Solar plexus chakra ambayo ipo kwenye eneo la tumbo
Rakims
Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
[emoji849]Sasa mkuu kwa staili hiyo si unaweza kuta wamatumbi washakuzika na wamekusahau
Au inabidi ufanye hayo chini ya ungalizi maalum maana usije ukaamkia kaburini
Duhndio mana tunaambiwa tulinde silver chird zetu kwa gharama yoyote, japo chances za wao kuingia ni ndogo sana ila wanaweza ukiwaruhusu...by the way ni nice experience...nimeshafika hadi egypy kwenye pyramids..kifupi unaweza fika mahali popote pale, nimefika sehemu nyingi sana, ila siku moja nitakuja kuweka thread yaliyonikuta nilienda sehem ambayo sikutakiwa niende as a soul ..hii dunia ina mambo mengi sana..
HAIL LUCIFER !!!