Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Hatimaye safari yangu ya kuusoma huu uzi kwa siku tano sasa imekamilika.
Vile nazidi kuelewa ndio nazidi kugundua sijui.
Asante Rakim kwa uzi huu.
Ningekutana nao 5 years ago nisingekuelewa kabisa.
 
Hakuna meditation ya kuforce maana hutapata kitu ukiforce zaidi ya kuchemsha kichwa na kukipa maumivu.
Soma kitu kwa practices ndio utaelewa sio kwa fikra finyu

Rakims

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Unaweza fanya hivi halafu ukaona mambo yatakayotokea mbele, kwa mfano ukaona mechi ya yanga na simba itakavyokuwa kesho?
 
Unaweza fanya hivi halafu ukaona mambo yatakayotokea mbele, kwa mfano ukaona mechi ya yanga na simba itakavyokuwa kesho?
Swali zuri sana,hii kitu sijui kama ina uhalisia ama illusions tu,rakims anajibu shortly,ananiacha na utata mwingi sana
 
Mh siamini! Yaani hii hali ikutokee bila kudhamiria wewe mwenyewe, sidhani kama itakuwa ni astral projection yenyewe.
 
I want to try this, plz what is ur advice?
 
Umecomment vema nakuunga mkono, tafadhal maneno yako n mazur naomba uweke uzi hapa kwa faida ya wengi esp mm nataka kutoka out of body plzzzz.
 
Unaweza kufanya kitendo halisi kabisa ukiwa katika hali hiyo?
Kufanya kitendo ambacho kitatoa hali halisi kwenye ulimwengu wa nyama ni stages za mbele baada ya kutoka zaidi ya mara 3 na kuweza kuexperience vizuri mazingira ya astral world katika hatua za kwanza utaweza kufanya vitu ambavyo vitakavyotoa athari za kiroho kwa kuanzia na roho yako

Hili ni moja mkuu,
Basi fikisha kumi kwanza kisha nitajibu kwa vipengele

Rakims
 
[emoji23][emoji23][emoji23]utatupa mrejesho
 
Hii mada imenifanya nimkumbuke binti mmoja (jini mahaba) alikuwa akinipeleka mahali popote nilipotaka kwenda hata huko angani juu sana. Ila alizidisha hamu ya kuwa karibu na mimi wakati wowote hata nikiwa kwa daladala ikabidi nimtimue.
Hii ni chai au ni kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…