Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Okay ngoja nifanye tena maana nilishaacha kabisa kujaribu
 
Forced projection ndo inakuwaje iyo
 
Forced projection ndo inakuwaje iyo
Kwa maelezo rahisi ni kwamba.. wakati unafanya AP unakuwa una imagine upo sehemu tofauti na pale unapofanya AP kwahiyo utakapo fanikiwa kutoka hautaanzia pale ulipokuwa umelala au umekaa, moja kwa moja utajikuta upo ile sehemu ulipokuwa una imagine upo na mwili wako utakuwa unauona pale ulipokuwa umelala(na hii ni kama ulikuwa una imagine upo eneo karibu na unapofanyia AP). Ndio maana nikasema maranyingi watu wanashtuka kwasababu ni kitendo cha ghafla, ila it's safe!
Hii maranyingi inatumiwa na wale watu ambao wanapata wakati mgumu kutenganisha astral body na physical body.

Nadhani utakuwa umenielewa mkuu..
 
Sawa mkuu tumekuelewa ila katika somo lako sijaona namna ya kuurudia mwili wako na mambo yapi ni ya hatari zaidi ukiwa unafanya huu mchezo...........KUMBUKA DURING EXPERIANCE PEOPLE A DIE AND YOU SUPPOSED TO WARNING BEFORE YOU GIVE THE LESSON
 
Sawa mkuu tumekuelewa ila katika somo lako sijaona namna ya kuurudia mwili wako na mambo yapi ni ya hatari zaidi ukiwa unafanya huu mchezo...........KUMBUKA DURING EXPERIANCE PEOPLE A DIE AND YOU SUPPOSED TO WARNING BEFORE YOU GIVE THE LESSON
Habari mkuu nitajie watu wawili au mmoja uliyekwisha wahi kumuona kafariki kwa kutoka nje ya mwili hakuna kitu kama hicho na watu wanasema hivyo ili kutisha watu wasifikie na kujua yale wanayojua wao.
Pili ukisoma quote zangu kwenye thread hii utaona nimeshaeleza haya mambo
Tatu huu sio mchezo isipokuwa kwa wajinga ndio huona mchezo lakini moja kati ya experience kubwa ambazo mtu akipitia anaweza kutoka katika hali fulani kwenda nyingine

Rakims
 
Yawezekana nguvu hii ndiyo anayoitumia kigogo_2014 kufahamu yanayoendelea kwenye Uongozi??? Maana sio kwa taarifa zile...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nashukuru pia mkuu kwa kuona faida ya nilichokiandika many people doesn't know it

Rakims
Ndg, Mwalimu Rakims..
Vipi kuhusu Vipofu na vizuri au watu wenye disabilities..
Wakifundishwa Elimu hii wanaweza wakaona huko, vizuri na kusikia kila kitu???
 
Ndg, Mwalimu Rakims..
Vipi kuhusu Vipofu na vizuri au watu wenye disabilities..
Wakifundishwa Elimu hii wanaweza wakaona huko, vizuri na kusikia kila kitu???
Ndio mkuu na inaweza kuwa ndio njia nzuri zaidi ya wao wenyewe kujiponya natamani ningeweza kukutana nao katika shule zao maana kwa njia hii wangeweza kuenjoy maisha in other form
 
Watu wengne bhana yaani ww umepewa mwili na aliyekupa kwa mapenzi yake mwenyewe afu kumbe ww hutaki kuwa na mwili unataka utoke nje ya mwili wako duuuh sijui unataka ukazurure huku na humo duniani??πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡
 
Soma thread upya kama hujaelewa na ukiona huelewi vizuri achana nayo!

Rakims
 
Kwaiyo ww kisa umepewa miguu gari hutaki kupanda tena[emoji3]...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…