Watu makini wote, lazima huwa wanajiuliza kwanza kabla hawajalifanya jambo lolote ambalo hawana uhakika nalo!. Unapojiuliza ufanye jambo fulani, usifanye tuu ili kujaribu au kujifurahisha bali jiulize what for?!, unafanya ili iweje, ukiuuliza muyo, uau kujiuliza, utapata majibu. Ile sauti ya kujiuliza inaitwa listening from your self, na sauti unaisikia inaitwa 'the voices from within', hiyo ndio sauti ya Mungu!, ikukuambia fanya, then fanya!.
Astra Projection niliyoizungumza mimi ni ile iliyopo kwenye ule main uzi wangu kuhusu haya makitu
[h=3]
Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanazo bila Kujitambua ...[/h]Then nenda kwenye sub topic ya nne kuhusu
Astral projection or
mental projection - An
out-of-body experience in which an "
astral body" becomes separate from the physical body.
Pasco