Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Nmejifunza hii kitu kwako nmetoka nje Mara 3 Ila Mara ya tatu nilipotoka nilijikuta nimeenda eneo ambalo silifahamu kabsa Ila nilikutana na rafki yngu wa shule ya msingi ktmbo tukaongea mengi Ila badae akatoweka mm nikaenda mbal zaid kuangalia mazngra , kwnza nikiwa huko nilijua labda Ni ndoto lakin nikajiambia mbna nilikua nafanya meditation ? Nikamua kutembea Zaid nkakuta mwisho wa ilo eneo Kuna bahari nikaogopa nikamua binafsi kurud . Je ukiwa katka Hali hyo unaweza kutana na mtu unae mjua ukaongea nae ? Hili zoez nilifanya mchana baada ya kuhakikisha nimelala usngz wa kutosha ili nikiwa kwenye zoez nispitiwe na usingiz
 
Ungeenda kukutana na Elizabeth Keen kabisa muendeleze mission zenu [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Uliweza kuuona mwili uliouacha na silvercord?
 
Blaza naon unataka kumbipu israel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…