Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Wachawi wanafanya sana astral projection kila siku hasa wakati wa usiku na hufanya hivyo kwa msaada ya roho chafu. Kitendo hiki kinahitaji msaada wa roho, ujue basi kama sio Roho Mtakatifu wa Mungu, ni roho chafu za kuzimu. Kama ni kwa Roho Mtakatifu ni kwa kusudio maalumu la Kimungu na hutafanya effort yoyote, itatokea automatically. Kuwa makini sana na forced astral projection ni hatari.
Exactly-na hichi ndo ambacho mleta mada hataki kuwaelezea wengine wasiojua haya mambo kiundani-Astral projection yoyote inayokuwa initiated na binadamu mwenyewe ni Satanism na ni very dangerous kwa sababu anything can happen.Astral projection ambazo zinakuwa initiated na Holy spirit huwa ni very automatic na ni 100% risk free kama zilizokuwa zinawatokea wakina Paulo Mtume.Astral Projection inayofanikishwa na Holy Spirit huwa zinakuja na lengo maalumu na daima zinakuwa na lengo la kukufanya uzidi kumtukuza Mwenyezi Mungu.
 
To tell you the hard truth-This is satanic.Lengo la haya mambo watu hawaambiwi ukweli ila kiuhalisia ni kukupeleka to the point ya kuamini wewe ni unaweza kutenda kama MUNGU anavyotenda (kujiamini wewe ni mungu).Haya mambo yalikuwepo tangia kale na kale na usidhanie firauni alipokuwa anajiamini yeye ni mungu ilitokea from no where-Ni kwenye mambo kama haya. Experience utakayokuwa unaipata kadri unavyokuwa unaelekea kwenye hii advanced stance ni role ya MUNGU kupungua maishani mwako,wakati kiuhalisia jambo la ki-MUNGU linapaswa kukuongezea more inner peace and love ya Mwenyezi MUNGU kadiri unavyoenda kwenye advanced stage lakini hii astra-p. ipo vice versa. Ukishafikia kwenye advanced stage ya Astra projection tegemea siku moja utakuja kuona kukufuru Holy Trinity ni jambo la kawaida au kuamini hakuna Mungu kabisa.Kabla ya kufungua hii pandora box waulize watu kama Pascal Mayalla pengine watakueleza kwa uwazi ili ufanye maamuz sahihi.Kwenye mambo kama haya watu wanaomba mpaka kutembea na wake za watu na wanafanikiwa which is against scriptures.Ukweli ni kwamba MUNGU ni Mtakatifu na yote yanayohusiana nae ni Matakatifu.Ni sawa na meditation,hata kweye catholic church inaruhusiwa ikiwa tu ni Godly centered kama ku-meditate kwa kuwaza scriptures nk. and not on other unholy things including your self.
Habari mkuu,
Kumbuka kila jambo lina sehemu mbili nasikitika kuona umeelemea sehemu moja ya ubaya tu kumbuka "Right is right even if only one person is doing it and wrong is wrong even if everyone is doing it"
Kutoka nje ya mwili kwa nafasi kubwa ya uelewa wako umebase zaidi kwenye upande wa giza lakini ukirejesha kwenye mwanga basi utapata mwanga zaidi shida ni sababu husika ya mtu kujifunza kwa nini unajifunza? Mungu yupo na Miujiza ipo, hivyo hivyo uchawi upo na Shetani yupo.

Astral Projection ni UCHAWI kwa wenye kufuata njia isiyo ya sahihi na wasiojielewa

Astral Projection ni MUUJIZA kwa wenye kufuata njia sahihi na wenye kujielewa

Tangu hii mada nimeitoa humu hakuna mtu hata mmoja ambaye alishawahi kufanya Astral Projection na akawa kaexperience kisha akaja kuchangia humu na siku ikifika akichangia nitawajuza watu wote kwamba huyu kawahi kufanya Astral Projection maana kwa experince atakazo zitoa na maswali jinsi atakavyo jibu ni lazima atathibitisha kuwa aliwahi kutoka
kwa asilimia kubwa wewe na Pascal na members baadhi ambao wamekubali na kupinga uwepo na experience kuhusu astral Projection wote wametoa katika ILLUSION na sio Experience na wanajaribu kuchangia kana kwamba wanachangia mjadala wa kidini au mjadala wa siasa hii inafanywa sana na watu wenye elimu ambao wamejaliwa hata mitume pia walishafanya hili kwa njia za sahihi na hata mashetani na wachawi pia wameshafanya hii kwa ushirikina na vitendo visivyo sahihi,

Nyie wenye uelewa kidogo wa kuanalyze haya mambo mngefanya kwa experience na kuja kuwajuza watu kuwa huku mnakokwenda ndio au sio lakini mnawajibu kwa kupitia google na youtube pamoja na za kuambiwa changanya na zako elimu haitaki mambo hayo.

Vile vile wengi wenu mmefanya lucid dream pamoja na Body paralyses ndio zimewavuruga akili na kuona ni jinsi gani OOBE ni uchawi na mambo ya kishirikina kwa watu kama nyie kupinga makala kama hii sioni ajabu kulingana na experience zenu za hapo nyuma maana kama kuna mmoja wenu aliwahi kusema mwanzoni alikuwa na telepathic ndogo ya kumtaka mschana na akampata leo akisema astral projection ni USHETANI siwezi kushangaa kwa maana experience yake ilikuwa kwa nia ya kishetani hivyo hivyo na meditation.

Mwisho nimalize kwa kusema.

ASTRAL PROJECTION:
Ni muongozo kama miongozo mingine mfano wa dini kila aliyekatika dini yake huona yake ni sahihi na ya mwingine ni tofauti na kapotoka. yote hii ni kulingana na kawaida mtu kuwa na akili ya kuambiwa kuliko kutafiti.
Mwanafunzi yoyote atakaye jifunza kwangu atajua kuwa hakuna ushetani wala uchawi katika kutoka nje ya mwili lakini kwa atakae jifunza kwenu hata jifunza kitu zaidi ya kutishwa na kuogopeshwa na usanii mwingi ikiwa ni pamoja na siasa nyie hamtaki watu wajifunze elimu zinazoweza kuwajulisha ukweli upo wapi na uongo upo wapi mnataka siku zote watu wabaki katika upotovu na ujinga hali ya kuwa sio sawa.

NB:
1+1 = 2(itabaki kuwa mbili tu kwa kila aliyeaminishwa hivi)
1+1= 11(Itabaki kuwa kosa tu kwa wapumbavu)
ukiamini
3+3 = 7(kwamba hakuna 7 bila 3+4)
Basi kuna wenzio ni dunia hii hii wanaelewa pia ukitaka kupata 7 basi kuna 2+5/5+2/7-0/(49/7)
Kila mtu anauelekeo wake katika dunia na mwenyezi Mungu unaemuamini wewe kwa imani yako kashasema mengi katika vitabu vyake na mwisho wa kila mtu ni sehemu moja katika ya mbili UTASHUKURU au UTAKUFURU.
NGUVU YA ROHO ipo kila sehemu na NGUVU YA USHETANI vilevile ipo kila sehemu hapa duniani kwa kuwa tu Mungu kataka iwe hivyo

Jitahidini tuwasaidie ndugu zetu kuelewa mambo kwa upana na sio kwa akili za kufikirika.
Experience kwanza kitu ndio useme ushuhuda usiseme mawazo kwa jambo usilolijua mkuu nimejibu watu 10 kwa quote yako moja.
Usiwe na wewe mmoja wa wenye kusoma saa 7 mchana hali ya kuwa imeandikwa 1
Rakims
 
Mkuu John7371 , asante sana kwa hii, kiukweli Lusiferi na wafuasi wake, wanaitumia sana mitandao ya kijamii kutafuta wafuasi, hivyo humu kwenye mitandao ya kijamii kuna ushetani mwingi. Mimi ni mmoja wa wachangiaji wa mwazo wa uzi huu, mchango wangu ni post ni. 4 na nilitoa ushauri huu

Mwenye masikio na asikie
P
Na mwenye macho atasoma mkuu,
Nimekujibu kwenye post hapo chini.
Wazee wenzetu waliotutangulia zamani wanasema "Ukimnyooshea kidole kimoja mwenzio vitatu vinarudi kwako"

Rakims
 
Hii astral P. inayofundishwa hapa ni Human-centered na siyo God-centered.
"One of the main differences between the Biblical and occult astral projection is that when God's people were caught up in the Spirit, it was God who prompted it, whereas in occult astral travel, it is often the practitioner who is 'seeking' after the experience.The difference between the two is that one is controlled by the Holy Spirit while the other is controlled by spirits that are not of God, or demons."
"an experience out of the body which is not controlled by the Holy Spirit has the potential to be dangerous, like any spiritual experience outside of God's direction. In such a condition, there is nothing stopping evil spirits coming in to invade that person."
If it was easier that way for the evil spirits to enter in human body then we all would be doomed by now!
My quoted on red ink.

In Islam It is the written that demon/jinns/evil spirits/satan/devil/lucifer etc however you know them are weak if compared to human if you are afraid that when you do OOBE they could defeat you. You are st*pid chief

Rakims
 
Exactly-na hichi ndo ambacho mleta mada hataki kuwaelezea wengine wasiojua haya mambo kiundani-Astral projection yoyote inayokuwa initiated na binadamu mwenyewe ni Satanism na ni very dangerous kwa sababu anything can happen.Astral projection ambazo zinakuwa initiated na Holy spirit huwa ni very automatic na ni 100% risk free kama zilizokuwa zinawatokea wakina Paulo Mtume.Astral Projection inayofanikishwa na Holy Spirit huwa zinakuja na lengo maalumu na daima zinakuwa na lengo la kukufanya uzidi kumtukuza Mwenyezi Mungu.
Hapa tu ndio nimeona bado unahitajika kujifunza zaidi kuhusu Astral projection
 
kaka rakims please endelea kutoa elimu, kwan huyu pascal mayalla na mwenzake walizalimishwa kuja kwa huu uzi au waliitwa si wamekuja wenyewe....we toa elimu achana nao wataotishwa watishe maana hizi nchi za kafrika baadha ya waafrika kila kitu kinausishwa na dini kwa mf hii COVID mara sijui ni alama ya mnyama 666 badala ya kujikinga na huu ugonjwa wao washaingiza mambo ya dini ndo hapo watu wanakufa kwa kukosa elimu.TOA ELIMU KAKA
 
Hapa tu ndio nimeona bado unahitajika kujifunza zaidi kuhusu Astral projection
Mkuu-Kwa mtu yeyote mwenye uelewa mpana wa Astral projection akisoma haya unayoyafundisha yako ata conclude mambo mawili-
1-Either kuna elimu pana ya maswala ya Astral projection huna uelewa nayo au,
2-Kuna mambo unawaficha watu kuwa-deceive ili waingie katika mtego bila kuelewa na hvyo kuangamia.
 
If it was easier that way for the evil spirits to enter in human body then we all would be doomed by now!
My quoted on red ink.

In Islam It is the written that demon/jinns/evil spirits/satan/devil/lucifer etc however you know them are weak if compared to human if you are afraid that when you do OOBE they could defeat you. You are st*pid chief

Rakims
Ni hv-Mtu yeyote anayejibu hoja kwa tusi au kujeli ni dalili ya kuishiwa maarifa.Ndo maana nasema wewe kuna elimu kubwa ya maswala ya imani unakosa au unaficha,Kwa akili yako lucifer ni very weak?? Unafikiri JESUS CHRIST au AYUBU walimshinda shetani kirahisi kama unavyodhan? Wewe unadhani maandiko matakatifu yalivyosema wenye nguvu ndiyo watakaoshinda unadhan ni kazi nyepesi?
 
Habari mkuu,
Kumbuka kila jambo lina sehemu mbili nasikitika kuona umeelemea sehemu moja ya ubaya tu kumbuka "Right is right even if only one person is doing it and wrong is wrong even if everyone is doing it"
Kutoka nje ya mwili kwa nafasi kubwa ya uelewa wako umebase zaidi kwenye upande wa giza lakini ukirejesha kwenye mwanga basi utapata mwanga zaidi shida ni sababu husika ya mtu kujifunza kwa nini unajifunza? Mungu yupo na Miujiza ipo, hivyo hivyo uchawi upo na Shetani yupo.

Astral Projection ni UCHAWI kwa wenye kufuata njia isiyo ya sahihi na wasiojielewa

Astral Projection ni MUUJIZA kwa wenye kufuata njia sahihi na wenye kujielewa

Tangu hii mada nimeitoa humu hakuna mtu hata mmoja ambaye alishawahi kufanya Astral Projection na akawa kaexperience kisha akaja kuchangia humu na siku ikifika akichangia nitawajuza watu wote kwamba huyu kawahi kufanya Astral Projection maana kwa experince atakazo zitoa na maswali jinsi atakavyo jibu ni lazima atathibitisha kuwa aliwahi kutoka
kwa asilimia kubwa wewe na Pascal na members baadhi ambao wamekubali na kupinga uwepo na experience kuhusu astral Projection wote wametoa katika ILLUSION na sio Experience na wanajaribu kuchangia kana kwamba wanachangia mjadala wa kidini au mjadala wa siasa hii inafanywa sana na watu wenye elimu ambao wamejaliwa hata mitume pia walishafanya hili kwa njia za sahihi na hata mashetani na wachawi pia wameshafanya hii kwa ushirikina na vitendo visivyo sahihi,

Nyie wenye uelewa kidogo wa kuanalyze haya mambo mngefanya kwa experience na kuja kuwajuza watu kuwa huku mnakokwenda ndio au sio lakini mnawajibu kwa kupitia google na youtube pamoja na za kuambiwa changanya na zako elimu haitaki mambo hayo.

Vile vile wengi wenu mmefanya lucid dream pamoja na Body paralyses ndio zimewavuruga akili na kuona ni jinsi gani OOBE ni uchawi na mambo ya kishirikina kwa watu kama nyie kupinga makala kama hii sioni ajabu kulingana na experience zenu za hapo nyuma maana kama kuna mmoja wenu aliwahi kusema mwanzoni alikuwa na telepathic ndogo ya kumtaka mschana na akampata leo akisema astral projection ni USHETANI siwezi kushangaa kwa maana experience yake ilikuwa kwa nia ya kishetani hivyo hivyo na meditation.

Mwisho nimalize kwa kusema.

ASTRAL PROJECTION:
Ni muongozo kama miongozo mingine mfano wa dini kila aliyekatika dini yake huona yake ni sahihi na ya mwingine ni tofauti na kapotoka. yote hii ni kulingana na kawaida mtu kuwa na akili ya kuambiwa kuliko kutafiti.
Mwanafunzi yoyote atakaye jifunza kwangu atajua kuwa hakuna ushetani wala uchawi katika kutoka nje ya mwili lakini kwa atakae jifunza kwenu hata jifunza kitu zaidi ya kutishwa na kuogopeshwa na usanii mwingi ikiwa ni pamoja na siasa nyie hamtaki watu wajifunze elimu zinazoweza kuwajulisha ukweli upo wapi na uongo upo wapi mnataka siku zote watu wabaki katika upotovu na ujinga hali ya kuwa sio sawa.

NB:
1+1 = 2(itabaki kuwa mbili tu kwa kila aliyeaminishwa hivi)
1+1= 11(Itabaki kuwa kosa tu kwa wapumbavu)
ukiamini
3+3 = 7(kwamba hakuna 7 bila 3+4)
Basi kuna wenzio ni dunia hii hii wanaelewa pia ukitaka kupata 7 basi kuna 2+5/5+2/7-0/(49/7)
Kila mtu anauelekeo wake katika dunia na mwenyezi Mungu unaemuamini wewe kwa imani yako kashasema mengi katika vitabu vyake na mwisho wa kila mtu ni sehemu moja katika ya mbili UTASHUKURU au UTAKUFURU.
NGUVU YA ROHO ipo kila sehemu na NGUVU YA USHETANI vilevile ipo kila sehemu hapa duniani kwa kuwa tu Mungu kataka iwe hivyo

Jitahidini tuwasaidie ndugu zetu kuelewa mambo kwa upana na sio kwa akili za kufikirika.
Experience kwanza kitu ndio useme ushuhuda usiseme mawazo kwa jambo usilolijua mkuu nimejibu watu 10 kwa quote yako moja.
Usiwe na wewe mmoja wa wenye kusoma saa 7 mchana hali ya kuwa imeandikwa 1
Rakims
Inshort nimesema hivi,
1-Astral projection yoyote ile inajokuwa initiated na mwanadamu ni satanism-Astral projections zinazokuwa initiated na Mwenyezi MUNGU mwenyewe hizi ni Holy.
2-Siyo kwamba wewe ndo unajua kila kitu kuhusiana na Astral projection kama jinsi ambavyo unavyojaribu kusema, unapaswa kufika point na kujua humu duniani au forum kuna watu wana-experience na haya mambo pengine kukuzid sana.
3.Umesema kwamba wanafunzi wako unawafundisha kwamba hakuna lolote linaloweza kuwapata wakiwa out of the body,Je,hzo roho ambazo ulisema katika baadhi ya post zako kwamba zinaweza shambulia mtu hadi akakata tamaa kurudi ku-practice astral projection tena ni roho zipi hzo?? Ni roho za MUNGU?? na kama siyo za MUNGU ni zipi?
 
silver cord haikatiki kirahisi kama mnavyoaminishwa hiyo hukatika pale mtu anapofariki dunia tu, anaekwambia silver cord inakatika huyo hana imani ya uwepo wa mwenyezi mungu kama unaamini hakuna mwenyezi mungu utaamini inakatika lakini kama unaamini kuna mungu kukatika ni ngumu watu wanaenda nje ya dunia na kuzunguka sayari nyinginezo kama ingekuwa inakatika kirahisi hivyo binafsi nisingekuwa nahadithia sasa hivi uvutano uliopo kati ya physical body na astral body sio wa mchezo.... pia ukitaka kuwa salama usizini na other spirits na usitembee maeneo ambayo utajiona wewe ndio taa tembea sehemu ambazo zina mataa nuru na mwanga taratibu utazoea na kuhusu kuiona silver cord unaiona hata kama upo giza la aina gani pia kwa beginners kurudi kwenye mwili njia kubwa ni kuufikiria ulipouacha tu unarudi....

"Rakims"
Typical satanism.
 
Typical satanism.
Astra Projection na out of body ni satanic.
Watu wa mwanzo kuyafanya ni kikundi cha Rosae Crusis wanachama wake wanaitwa rosecrusians, mimi nilitaka kujiunga ili ukubaliwe ni lazima ufanyiwe initiation. Kabla ya kufanyiwa hiyo initiation unapewa warning one in there is no going out!. Nikaogopa nikaishia hapo ila hawa rosecrusians ni noma!.

Secret societies zote ni satanic, wana viapo vya usiri, initiations, mambo ya Mungu ni hadharani, Mambo ya shetani ni gizani. Powers za Mungu ni powers of the lights na powers za shetani ni powers of darkness !.
P
 
Astra Projection na out of body ni satanic.
Watu wa mwanzo kuyafanya ni kikundi cha Rosae Crusis wanachama wake wanaitwa rosecrusians, mimi nilitaka kujiunga ili ukubaliwe ni lazima ufanyiwe initiation. Kabla ya kufanyiwa hiyo initiation unapewa warning one in there is no going out!. Nikaogopa nikaishia hapo ila hawa rosecrusians ni noma!.

Secret societies zote ni satanic.
P
KENZY mjusilizard Mkuu Pascal tunashukuru sana umetupa somo hapa ambalo ni very very beneficial kwetu na hvyo natumai tuna la kujifunza sana.Umetuonesha umuhimu wa kujifunza kabla ya kufanya jambo lolote ambalo linaweza ku-determine fate yetu hapa duniani hvyo ni lazima tutafute maarifa kwa nguvu zote,kujiuliza maswali magumu kwa kadri tuwezavyo haswa kwenye hizi habari za out of the body.Pia sisi kama wanadamu ni lazima tujiulize maswali kadha wa kadha kabla ya ku-decide ikiwemo-
1-Kwa nini tunataka kwenda out of the body?
2-Lengo ni kufanikisha nn tukiwa out of the body?
3-Je,jambo tunalotaka kulikamilisha tukiwa out of the body,haliwezi kufanikishwa kupitia other good ways zilizoainishwa kwenye scriptures?
4-Je,Risk events za kuwa out of the body ni zipi?
5-Je,consequences za kuwa out of the body ni zipi?
6-Je,ni njia sahihi kwendana na Mafundisho ya ki-MUNGU?
7-Are we able to bare the consequences?

*MUNGU ametuumbia wanadamu FREE WILL-MUNGU alitupatia kila mwanadamu uhuru wa kufanya choices zetu na kuziishi consequences zinazotokana na choices zetu.
 
Inshort nimesema hivi,
1-Astral projection yoyote ile inajokuwa initiated na mwanadamu ni satanism-Astral projections zinazokuwa initiated na Mwenyezi MUNGU mwenyewe hizi ni Holy.
2-Siyo kwamba wewe ndo unajua kila kitu kuhusiana na Astral projection kama jinsi ambavyo unavyojaribu kusema, unapaswa kufika point na kujua humu duniani au forum kuna watu wana-experience na haya mambo pengine kukuzid sana.
3.Umesema kwamba wanafunzi wako unawafundisha kwamba hakuna lolote linaloweza kuwapata wakiwa out of the body,Je,hzo roho ambazo ulisema katika baadhi ya post zako kwamba zinaweza shambulia mtu hadi akakata tamaa kurudi ku-practice astral projection tena ni roho zipi hzo?? Ni roho za MUNGU?? na kama siyo za MUNGU ni zipi?
Nadhan hakuna sehem iliyokuwa salama kama tunavyotaka..
uko kwenye ulimwengu wa kiroho kuna roho Ambazo zinaweza kukuthulu lakin najalibu kufikiria kwan katika ulimwengu wa nyama mbona kuna binadam wanawazuru binadam wengine sometimes katika levo ya kifo kabisa.

Nataka kujua kwa wenye experience na astro projection utofauti wa madhara ya kujeluiwa uko kwenye ulimwengu wa kiroho na ulimwengu huu n upi?
Speed ya madhara ni tofauti ? Au nn

Isije ikawa ni nadham ya uwoga tu ndo inatutesa
 
wengine usema kuna pepo wengine wanaweza kata ailver code yako then usiweze rudi tena kwenye mwili wako. pia vitu utakavo viona unaweza kuchiz
 
Wengi tunatoa comment za kutisha ilihali hatujawahi hata siku moja kufanya AP na kufanikiwa. Nashauri tu tusipumbaze watu. Japo sijawahi kufanikiwa ila naamin AP haina madhara, ni sawa tu na tulivyo katika ulimwengu wa nyama tofauti yake tunakuwa katika form nyingine.
 
Nimewahi kujaribu. Inatisha Sana nilianza kama kupotea uzuri nilikuwa na fahamu. Sitarudia.
 
Mama nimekupenda bure enhee! ilikuwaje mie napenda ili haikuji!
Nilifuata process zote nililala chali, taa nimezima nikaanza kuhamisha mawazo nikaanza kuona kama naelea Bahati nilikuwa na fahamu bado nikaikataa Ile Hali nikaamka Kwa nguvu. Sitarudia nasena sitarudia hii kitu ni kweli .
 
@Rakims mwanzo nilikuwa naishi maeneo ya karibu na barabara, hivyo kila dakika gari au pikipiki lazima ipite hata kama ni saa sita za usiku, si unajua tena pilika na town haziishi. Kwahiyo kila nikijaribu AP nilikuwa nafeli, nikafikiri labda haya magari yananiletea disturbance.

Sasa tangu niondoke sehemu hiyo na kuja hapa nilipo sasa hivi ni yapata wiki ya tatu, nipo sehemu tulivu sana hasa kuanzia time ya saa 5 usiku. Hivyo nikajaribu tena AP kwa kufuata procedures zote ulizoandika lakini bado nafeli, japo nilifanya siku kama nne hivi mfululizo pasipo effect yeyote. Mwisho nikaamua kuacha nikifikiri labda hii issue ni selective.

Jinsi nilivyofanya...
1. Nalala chali
2. Nafumba macho
3. Naanza kupumua taratibu
4. Navuta picha kama vile nipo angan au sehemu fulani ninayoifahamu nikiwa napaa.
Mie hii ya kupaa/ kuelea sikuivuta ilikuja yenyewe.
 
Back
Top Bottom