Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Mkuu Rakims na MziziMkavu, naombeni sana wakati mnatoa hili somo, pia muwape angalizo hao wanafunzi wenu, kuwa mchezo huu pia ni sawa na kuijaribu sumu kwa kuilamba!. Wapeni kabisa masharti ya kuzingatia, wakikosea ndio safari jumla!, asubuhi unakutwa ulitangulia ukiwa usingizini!.

Masharti ni haya.
  1. Fanya hivyo ukiwa umelala peke yako chumbani, na kabla hujaanza ujinga huo, hakikisha umefunga mlango kwa funguo, kwa sababu akitokea mtu akakuamsha kwa kukutingisha kwa nguvu na kuchange ile position yako hata ya milimita moja, ile cord ni kama utando wa buibui, inakatika, wewe unakuwa ndio basi tena!.
  2. Unaweza kukutana na "the under world" ukaona maisha hayo ya astra plane ndio bora zaidi kuliko real world, hivyo cord ikakatika, huku unakutwa ndio basi tena!, wewe ni safari jumla!.
  3. Hizi ni highest stages za meditation ambazo haziruhusiwi kufanywa na beginners, na hazifanywi un supervised vinginevyo ni safari jumla!.
  4. Yote utakayoyashuhudia kwenye astra body, unaweza kuyafanya by simply opening up the "third eye!"
  5. Hizi ndizo the first stages za wachawi!.
Wito wangu mimi wa wafuatiliaji wa haya makitu, kama hujui unataka nini, au utoke out of body ili kuachieve nini, please don't do it!. Mtu asikudanganye kuwa its very fun to go out of body, is not fun!. Too much knowledge on anything is harmful, please don't try unless you are sure what you are trying to do!.

Paskali

paskali@ nisaidie mara kadhaa huwa naota napaa na hujisikia raha sana,lakini muda mwingine huwa kama vile nawakimbia maadui kwa miguu lakini ghafla ntabadilisha motion na kuanza kupaa huku nikikwepa miti na majengo.Naamini hili sio jambo la kawaida nieleze vizuri linasababishwa na nini?
 
Basi kwa hii ndio umethibitisha una jini mkuu maana kama ni chakula mwili huwa kinasababisha ndoto ya kukimbia tu lakini ikifikia sehemu unapaa mara nyingi huwa ni ishara za mtu aliyekubwa na low entities yani mapepo wachanga wasio na nguvu

Rakims

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna madhara gani ya kukumbwa na low entities kimaisha,na mapepo haya yanaweza kuondoka yenyewe yakitaka au natakiwa nifanye kitu fulani ilikujinusuru.
 
Mkuu Omutimbasafi,
Tuanze na ndoto.
Ziko ndoto za aina 3
1. Ndoto za kawaida ambazo ni ndoto tuu, ambapo ni ubongo unatunga kujifurahisha.
2.Ndoto za kweli za out of body, hizi ni ndoto ambazo physical body yako inakuwa imelala lakini spiritual body au asral body yako inakuwa imeamka na hicho unachokiona kwenye ndoto ni kitu cha kweli, kama umemuina mtu ndugu wa karibu amekufa, then asubuhi utapokea bad news ukiuliza amekufaje, ukiambiwa utakumbuka kama uliona.
Issue kama hizi pia hutokea sana kwenye astral travel, unafika mahali hujawahi kufika kabisa, lakini unajiona kama unapajua na unakumbuka, au unakutana na mtu for the 1st time, unajiona huyo mtu umeisha wahi kumuona kabla ila hukumbuki ni wapi!. Hiyo inaitwa dejavu ni neno la French.

Hivyo unavyoota unakimbizwa, inaweza kuwa ni kweli kuna watu ni wabaya wako wanakufanyia mambo ya ulozi, kuloga na ushirikina, kwavile na wewe una powers, wanashindwa, kila unapowakimbia, wao nao wanaongeza mbio wakitaka kukukaribia, wewe unawazidi nguvu, kule kukwepa miti na majengo ni kuvishinda vikwazo, na unapopaa ndio umewatoka wabaya wako, umewakwepa, umewashinda na hawakuwezi.

Kuota unapaa ni dalili nzuri kuwa wewe you have the powers from within, hata wakuloge vipi hulogeki. Don't do anything wala usije kuanza kuhangaika kwa waganga, watakutapeli tuu kukuambia ni mapepo, majini au mashetani!. No. Its your powers na uko ok kabisa!

3. Ndoto za 3 ni maono. Hizi ni ndoto unaoteshwa kwa kupewa ujumbe maalum au na Mwenyezi Mungu yeye mwenyewe au kwa kuwatuma malaika wake au kupitia Roho Mtakatifu, The Holy Spirit au Holy Ghost, Au sometimes ni ancestors wako, watu wanaita mizimu inakuambia jambo, kikawaida ndoto hizi hujirudia rudia na unajiona kama uko macho anapewa maelekezo, hizi ni lucid dreams, zingatia.

Baadhi ya maono haya huwa ni majibu ya maswali magumu fulani au matukio fulani, kukuonyesha tuu, kama pre cognitioon, au pre admonitions ya matukio ambayo yatatokea, na mengine ni maonyo warnings.

Kujuia zaidi kuhusu powers zako,
Tembelea

Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo? - JamiiForums
P
 
Basi kwa hii ndio umethibitisha una jini mkuu maana kama ni chakula mwili huwa kinasababisha ndoto ya kukimbia tu lakini ikifikia sehemu unapaa mara nyingi huwa ni ishara za mtu aliyekubwa na low entities yani mapepo wachanga wasio na nguvu
Rakims
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Rakims, with due respect, sio kila ndoto ya kupaa ni majini au mapepo, ndoto nyingine za kupaa ni ndoto za kawaida kabisa za astral travel.
Majini, mapepo na mashetani japo ni kweli yapo kwa wanaoamini, ni viumbe vya kiimani, kama ulivyo uchawi, ukiamini, vinakuwepo na vinakudhuru, usipoamini, vinakuwa havipo na havikudhuru, hivyo mchawi hawezi kumloga mtu asiye amini, pepo au shetani haliwezi kumuingia mtu asiyeamini, nashauri tuwashauri watu humu kwa kiasi ili tusiwatishe.
P
 
kuna madhara gani ya kukumbwa na low entities kimaisha,na mapepo haya yanaweza kuondoka yenyewe yakitaka au natakiwa nifanye kitu fulani ilikujinusuru.
Madhara ya kukumbwa na vitu hivi kwanza kabisa ni kukuvurugia maisha na kujaza giza katika roho na fikra za mtu unakuwa unafikiria ujangili either uzinzi ni mradi tu ufanye mambo kufurahisha jamii yao na kuviepuka kwa sisi wa mambo ya kiroho kuna njia nyingi ila kubwa kati ya hizo ni kuinua mitetemo yako wakati ukifanya meditation hakuna kinachobaki hata spells za kichawi husambaratika hapo

Rakims

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Rakims, with due respect, sio kila ndoto ya kupaa ni majini au mapepo, ndoto nyingine za kupaa ni ndoto za kawaida kabisa za astral travel.
Majini, mapepo na mashetani japo ni kweli yapo kwa wanaoamini, ni viumbe vya kiimani, kama ulivyo uchawi, ukiamini, vinakuwepo na vinakudhuru, usipoamini, vinakuwa havipo na havikudhuru, hivyo mchawi hawezi kumloga mtu asiye amini, pepo au shetani haliwezi kumuingia mtu asiyeamini, nashauri tuwashauri watu humu kwa kiasi ili tusiwatishe.
P
Mkuu sipingani na wewe kwenye hili pia naheshimu mawazo yako lakini kama angekuwa kweli ana nguvu ya kulevitate kama unavyodhani basi ingekuwa inamtokea katika mazingira yote ya maisha yake lakini kama inatokea kwa kipindi fulani na kupotea na kukimbizwa mkuu hapo ni mambo ya kichawi nguvu za miujiza kila mtu anazo na kila mtu ana zake lakini pia usisahau kwamba viumbe kutoka low dimensions pia hujaribu kulaghai watu na kuwapambia kwa vitu ambavyo hawana ili kuwacheza shere,
Angekua na hiyo power ya kulevitate basi angekupa ndoto ambazo zinaashiria levitation kweli na usisahau roho ya mtu huamka pale anapolala na ndio humpa taarifa zinazoendelea kwake upande wa kiroho

Rakims

Sent using Jamii Forums mobile app
 
paskali@ nisaidie mara kadhaa huwa naota napaa na hujisikia raha sana,lakini muda mwingine huwa kama vile nawakimbia maadui kwa miguu lakini ghafla ntabadilisha motion na kuanza kupaa huku nikikwepa miti na majengo.Naamini hili sio jambo la kawaida nieleze vizuri linasababishwa na nini?
How to open the third eye?
 
Je unaeza kuona watu wengine huko Waliotoka kama wewe mkaongea na ata kwenda pamoja izo safari
 
Na Ndio Inapoanzia Mkuu Pale Mwanzo Wa Unapolala Hongera Sana Mkuu Maana Una Very Powerful Brain Kuwa Awareness Huku Umelala Ni Kwa Watu Wa Positive Thinking Zaidi Mkuu Karibu Darasa Linaendelea......
MziziMkavu

"Rakims"
Mkuu Rakims naomba unisaidie kitu kimoja, kuna kipindi nilikuwa hata kama nimelala usingizini mambo yote yanayoendelea duniani huwa nayasikia. Mfano mtu agonge hodi nyumbani nasikia, watu wakiongea nasikia lakini tu huwa siongei na huwa nimelala kweli. Na hata kama nikiamka naweza kuwasimulia kila walichoongea. Hii huwa inatokana na nini?

"رمضان كريم وصوم مقبول"
 
Nilishajibu hilo swali mkuu kwenye quotes zilizopita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Rakims na MziziMkavu, naombeni sana wakati mnatoa hili somo, pia muwape angalizo hao wanafunzi wenu, kuwa mchezo huu pia ni sawa na kuijaribu sumu kwa kuilamba!. Wapeni kabisa masharti ya kuzingatia, wakikosea ndio safari jumla!, asubuhi unakutwa ulitangulia ukiwa usingizini!.

Masharti ni haya.
  1. Fanya hivyo ukiwa umelala peke yako chumbani, na kabla hujaanza ujinga huo, hakikisha umefunga mlango kwa funguo, kwa sababu akitokea mtu akakuamsha kwa kukutingisha kwa nguvu na kuchange ile position yako hata ya milimita moja, ile cord ni kama utando wa buibui, inakatika, wewe unakuwa ndio basi tena!.
  2. Unaweza kukutana na "the under world" ukaona maisha hayo ya astra plane ndio bora zaidi kuliko real world, hivyo cord ikakatika, huku unakutwa ndio basi tena!, wewe ni safari jumla!.
  3. Hizi ni highest stages za meditation ambazo haziruhusiwi kufanywa na beginners, na hazifanywi un supervised vinginevyo ni safari jumla!.
  4. Yote utakayoyashuhudia kwenye astra body, unaweza kuyafanya by simply opening up the "third eye!"
  5. Hizi ndizo the first stages za wachawi!.
Wito wangu mimi wa wafuatiliaji wa haya makitu, kama hujui unataka nini, au utoke out of body ili kuachieve nini, please don't do it!. Mtu asikudanganye kuwa its very fun to go out of body, is not fun!. Too much knowledge on anything is harmful, please don't try unless you are sure what you are trying to do!.

Paskali
asante sana paskali kaka.yan umekuwa active sana kutoa warning kabla madhara hayajatokea.mungu akubariki
 
Back
Top Bottom