Habari Mkuu
Rakims naomba kuuliza maswali mawili nimeyasikia yananiletea utata kidogo.
1.) Je, Ni kweli mtu akitoka Nje ya mwili inaweza ikatokea bahati mbaya pepo au roho nyingine inaweza ikaingia kwenye mwili wake aliouacha kiasi kwamba ikamletea ugumu yeye kurudi ndani ya mwili wake?
2.) Je, Mtu akitoka Nje ya mwili kwa msaada wa binaural beats, Ile beat itaendelea kutoa sauti kwa mwili uliobaki haiwezi kuushtua mwili wake na kusababisha mwili kushtuka Hari yakua roho haipo maana tunasikia kuwa mwili ukishtuliwa ni hatari.
Msaada wako Mkuu