Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Mara nyingi hua wanataka kukimbilia kwenye mwili wako ku take over pia kama ulivyosema wengine wanakutaka ubaki nao wengine wanataka kukuambia uwasaidie mission zao uncomplished
its scary but lazima uwe na roho ya ujasiri
Wewe hii ulitoka na tunguli acha kupotosha watu

Rakims

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Sawa, samahani kwa udadis wangu Mkuu ndo najifunza zaidi.
Nasikia ile ya ku_Open up The Third Eye, ndio njia rahisi yakuingilia ulimwengu wa roho- kwamba hata kama ikatokea zoezi likaenda tofauti unarudishwa tu kwenye mwili wako automatically. Ni kweli? Nimemnukuu alivyosema Pascal Mayalla . Je, hizo roho zinazotangatanga hovyo hazitaweza kuku command au ku_take over kwenye mwili wako kwa njia hiyo ya 3rd Eye tofauti nahiyo ya Astral projection?
Matango pori

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
mkuu, maelezo kuhusi hili jambo ni marefu na nimesha experience vitu vingi, pia hakuna kitu kama silver cold...ni silver cord ambayo kwa lugha rahisi ni kama connector kati ya soul na physical body
Mkuu uongo utakuponza

Rakims

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nilishawahi muuliza mwalimu Rakims akanijibu kuwa asilimia kubwa Kama yeye Alisoma tu na kufanya zoezi hakuwa na mwangalizi. Kwakweli Mimi ninachohofia ni kule ninavyosikia kurudi kwenye mwili wako Ni kwa hassle kweli kweli, Sasa Maisha yetu haya ya uswahilini unamaliza siku nzima haujafungua mlango si wanavunja mlango, unazinduka umo kwenye sanda wanamalizia kusalia jeneza. Labda mwalimu Rakims atuambie huwa inachukua muda gani mtu kurudi kwenye mwili wake?
Ukifumba na kufumbua unakuwa umeshafika

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Meditation is the best mkuu maana unacombine vyote hivyo na vinakuwa highest level za meditation ukifanya sana meditation unapokuwa enlighten basi kila unachofanya kinakuwa useful na kinakwenda unavyotaka

Rakims
Mkuu unaweza kunielezea maana hasa ya kuwa spiritual enlightened?? Nini hasa maana yake?? Kuna ishara zimenitokea ambazo inaonesha nipo katika hatua hiyo.

Pia nilifanikiwa kufanya AP. But now since nimeacha Meditation imekuwa ngumu sana.
 
Kama ulienda umelala chali halafu mtu akaja akakugeuza mfano kiubavu eti hauwezi tena kurudi kwenye mwili wako?
ukiamka kama unaweza kumpiga utapiga sanaaa.meditaion leo unaweza ukafika mbali kesho usifike kama jana kuamka kwa distabunces ni mbala sana
 
Mkuu uongo utakuponza

Rakims

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Matango pori

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Acha kulishwa matango pori

Rakims

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Wewe hii ulitoka na tunguli acha kupotosha watu

Rakims

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Hakuna kitu kama hicho acheni kudanganya watu na hadithi za kufikirika

Rakims

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Usije ukafanana naye. Umjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Asije akawa mwenye hekima machoni pake. Apelekaye ujumbe kwa mkono wa mpumbavu Hujikata miguu, na kunywa hasara. Miguu yake achechemeaye huwa dhaifu; Kadhalika mithali katika kinywa cha mpumbavu. Kama mfuko wa vito katika chungu ya mawe; Kadhalika mtu amheshimuye mpumbavu. Kama mwiba uingiao katika mkono wa mlevi; Kadhalika mithali katika kinywa cha mpumbavu. Fundi stadi hufanyiza vitu vyote; Bali amwajiriye mpumbavu ni kama awaajiriye watu wapitao. Kama vile mbwa arudiavyo matapiko yake; Kadhalika mpumbavu afanya upumbavu tena. Je! Wamwona mtu mwenye hekima machoni pake mwenyewe? Afadhali kumtumaini mpumbavu kuliko yeye.
 
Back
Top Bottom