Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaaa! Hufundishwi bali unapewa na aina nyingine ya matumizi ili usiwe yule yule kila sikutusifundishane jinsi ya kutumia internet
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa! Hufundishwi bali unapewa na aina nyingine ya matumizi ili usiwe yule yule kila sikutusifundishane jinsi ya kutumia internet
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hakika hii post Ingekua Haina hii Title nisingepata replay hata MojaUmenipotezea mb zangu
Usirudie tena nkakupiga ban
Sawa Mkuu. Nipende kutambua uwepo wako tafadhali karibu Kiti cha Mbele Hukutusifundishane jinsi ya kutumia internet
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] weka picha Mkuu tuone[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe unajifunza kutongoza sisi tunajifunza namna ya Ku ......kwenye net brodaah
Hizo nchi zilizoendelea ndiyo zenye mitandao yenye picha za uchi. Kwa kifupi mambo yote ya kipuuzi huanzia kwao huku watu wanaiga tu.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] unataka niweke pics za porno[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] weka picha Mkuu tuone
[emoji41] no plz nilitania tuu[emoji15] [emoji15] [emoji15] unataka niweke pics za porno
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kuwa makini makonda asikuone[emoji41] no plz nilitania tuu
[emoji23] [emoji23] Hivi Kigwangala keshaanza na yeye kampeni?[emoji23] [emoji23] [emoji23] kuwa makini makonda asikuone
Key word mpya Hii si ndio?Approaching talental.
Ndio yenyewe mkuu.Key word mpya Hii si ndio?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hakuna kitu kizuri Kama kuwafahamu wabongo na Hii ndio Siri ambayo CCM hutumia katika chaguzi zote na KushindaGreat approaching tittle
Yeah, umelionaje Bomba?Hapo ndompango mzima
Bora na wewe umeliona hiloUmeandika utafikiri umeahirisha kuwaza