Jinsi ya kutumia mfumo wa utumishi Ess na PEPMIS

Jinsi ya kutumia mfumo wa utumishi Ess na PEPMIS

Au waliviuza baa?🤣🤣
20231014_130145.jpg
 
Kwanini msi unganishe ndani ya erms mifumo inakuwa mingi ya nini
 
Vipi mkuu kuhusu hazina portal kuna mdau naingiza Data zake kama zilivyo inagoma kuverify shida nini?
 
mfumo unasumbua hatari, alafu unaambiwa deadline trh 31 December 😁
 
Vipi kwa sisi walimu tulioko huku kijiji cha Tamau, umeme tu hakuna achilia mbali kupata kompyuta yenye mtandao.....tusichoshane bhanaa.
 
Mfumo wenyewe hata kujiunga ni taabu tup umefeli hata kabla ya kuanza kazi
 
Mkuu kwem nmekwama kupata sehemu ya supervisor mkuu w shule nishajisajl teyr kw mfumo
Screenshot_20231219-204502.jpg
 
Mimi mfumo wa ess naona hadi e loan ,salary slip ,profile nk. lakini sion pepmis au sehemu ya ku add superviser naomba msaada
 
Tafadhali kama kuna mtu anafahamu hatua ambazo "supervisor" anatakiwa kufuata kwenye ku set indicators, weight, start na end date na yote yanayomuhusu atushirikishe pia hapa kwenye hii forum kupanua uelewa zaidi
 
Back
Top Bottom