Jinsi ya kutumia mfumo wa utumishi Ess na PEPMIS

Done nimeongeza
 
Hapana mkuu hapo papo simple tuu.

Jaza taarifa zako hama chap
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hilo nilisikia kwa jamaa yangu mmoja anayehitaji uhamisho sana akiogopa mfumo ila yeye mwenyewe baso hajaanza kutumia huu mfumo
 
kuna watu wakisikia neno Mwalimu basi wanajikuta wamepata sehemu ya kupumulia
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hilo nilisikia kwa jamaa yangu mmoja anayehitaji uhamisho sana akiogopa mfumo ila yeye mwenyewe baso hajaanza kutumia huu mfumo
Mkuu si kirahisi hivyo!Mfumo Bado hausomani.Unaweza omba Transfer alafu Supervisor hakuoni mnabaki mnaangaika na yeye ana role ya kukuhamisha tayari kwenye Uhamisho naona Bado hauko sawa labda huko Pepmis nako majina yanaingia na kutoka inategemea na mtandao.Pia suala la Uhamisho Kuna halmashauri Bado wanahitaji barua ukishapitishiwa na mwajiri unaitachi kwenye Mfumo pamoja na doc zingine.Kwa ufupi suala la mifumo lingeenda taratibu maana Mfumo ni kama umeelemewa hivi mara hupatikane au haupatikani unaweza shinda kutwa mzima kisa Mfumo.
 

Mfumo unachangamoto sana,wangeanza na vitu vichache kwanza,wao wanalazimisha vyote viende kwa pamoja,kiufupi wanefeli kabla ya kuanza.
 
Habari
Msaada wa kusaidiwa kwani inaniandikia ujumbe ''Exception occured while registerring new user. Please try again later''
 
Habari
Msaada wa kusaidiwa kwani inaniandikia ujumbe ''Exception occured while registerring new user. Please try again later''
Relax Ni shida ya mtandao tu badae itakubali!
Hapa mwanzo kuna changamoto nyingi but as days goes inakaa sawa

cc Smart911
 
Mkuu ukibofya kipengele cha kwanza (i) unapata tasks and subtasks. Na pia ukibofya kipengele cha tatu (iii) unapata tasks and subtasks. Lakini wewe unasema tutumie kipengele cha kwanza (i). Je, hiki kipengele cha tatu (iii) ni cha kazi gani? Vipi kama nikichagua kipengele hicho na kujaza tasks na subtasks nini kitatokea? Nitakuwa sahihi au nitakuwa nimechemka?
 
Wangeanza kwa kutafuta mikoa au wilaya za mfano. Labda wakasema tuanze na Tanga Mjini, au Kigoma Municipal.. Wakifanya ivo kwa wilaya kadhaa kama za mfano wakajua challenges, wanazidi kujitanua hadi wanawafikia waliopo Namtumbo.
ni kweli kabisa hivi yaan imechanganya sana
 
Taratibu kila kitu kitakaa sawa tu,mara nyingi mifumo inapoanzishwa huwa inasumbua...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…