JINSI YA KUTUMIA SHUHUDA ZA WATEJA (SOCIAL PROOF) ILI KUVUTA WATEJA WENGINE ZAIDI

JINSI YA KUTUMIA SHUHUDA ZA WATEJA (SOCIAL PROOF) ILI KUVUTA WATEJA WENGINE ZAIDI

youngkato

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
3,811
Reaction score
3,888
JINSI YA KUTUMIA SHUHUDA ZA WATEJA (SOCIAL PROOF) ILI KUVUTA WATEJA WENGINE ZAIDI

Zinagtia ya 8

Watu hawaamini tu kuwaambia unachofanya
Wanaamini ushuhuda kutoka kwa watu uliofanya nao kazi, waliokwishatumia huduma bidhaa zako

Shuhuda ni muhimu sana kwenye kutafuta wateja

1. Weka Shuhuda (Testimonials) za Wateja uliofanya nao kazi

Ukimaliza kazi yoyote, mwombe mteja akuandikie chochote

✅ Alikupata wapi✅ Alipokeaje huduma yako✅ Angependa kuku-recommend?

Chukua screenshot ya WhatsApp, au voice note.
Muombe ruhusa uitumie kupost.

2. Onyesha MATOKEO ya Huduma zako Results
Watu wanapenda kuona “KABLA NA BAADA”.

Kama ni designer: Onyesha logo kabla, na after design yako

Kama ni content writer: Onyesha blog kabla, na baada ya kurekebisha

Kama ni fundi: Onyesha nyumba kabla & baada ya ujenzi

3. Tumia Stories za kuonesha kazi zako

Usiandike “Nimefanya kazi kwa wateja wengi” tu.

Andika hivi:

“Leo nimekamilisha kusajili kampuni ya mteja wangu, anayefanya bashara ya utalii. Alikuwa anahitaji abcd, nimetumia njia hizi etc.”

Kama ni video wanaita VLOG

4. Post shuhuda za wateja Mara kwa Mara

✔️ Screenshot za maoni ya wateja✔️ Picha za bidhaa walizonunua✔️ Post ukituma mzigo na kupokea mzigo

Mfano:
picha ya ya kutuma mzigo, screenshot baada ya kupokea, matokeo baada ya kutumia

Post hiyo screenshot kama content.


5. Fanya optimization na auditing ya social media zako
Tumia Highlight (IG, WhatsApp, Website)

Tafuta wataalamu wa social media kama @gabyconscious wakusaidie:

Clients Results Happy Customers Testimonials

Hii inaonesha: “Huyu mtu tayari anafanya kazi na ana matokeo.”

6. Weka Social Proof kwenye call to action zako
Badala ya kusema:

Lipia leo
Tumia:
✅ Nilitoa nafasi 10 zimebaki 3 tu wahi nafasi yako✅ Mteja wangu wa matangazo alipata mauzo mara 100 kupitia matanzao

Social proof kwenye CTA huongeza trust na conversions.

7. Ukipata Mention/Tag/Story ya Mteja

SHARE

Wateja au watu wengine wakitaja brand yako, wakipost bidhaa yako, wakisifia huduma zako…
Usikae kimya!Repost + shukuru

Hiyo itaonesha unaaminika na kujulikana watakufata dm

8. Wateja wapya wanaamini wateja wa zamani.

Matokeo, shuhuda, screenshots, feedback hivi vyote ni sauti zako za kuuza bila kelele.
Usizifiche. Zipost kila siku.

Jinsi ya kutumia shuhuda zako na kuzipost ili kulete wateja wengine tuwasiliane wa.me/+255693880325
 
Back
Top Bottom