Jinsi ya kutumia simu yako kama 'Remote Control'

Ni kwa tv gani za smart tu au hata flat isiokuwa smart
 
TV nyingi za kisasa zina hizo Option mfano LG Hisense zote zinazo

Kwa LG zenye Webos zote zinazo pia Kwa upande wa LG wamevuka zaidi unaweza kuwasha nq kuzima TV, Hometheatre & Sound Bars, Washing Machine , AC nk

Kwa Hisense zote zenye Mfumo wa VIDAA au ROKU zote unaweza ukatumia simu yako kama remote

Isipokua zote zitafanya kazi kama zinatumia Internet moja mfano kama ikiwa kama simu inatumia Internet yake na TV ikawa hivyo haifanyi kazi mimi zote hizo zenye vivuli nina tumia
 
Nimecheka kwa sauti mpaka staff members wakanishangaa
 
Unaunganishaje type maelekezo bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…