Jinsi ya kutumia simu yako kama 'Remote Control'

Jinsi ya kutumia simu yako kama 'Remote Control'

Ni kwa tv gani za smart tu au hata flat isiokuwa smart
 
TV nyingi za kisasa zina hizo Option mfano LG Hisense zote zinazo

Kwa LG zenye Webos zote zinazo pia Kwa upande wa LG wamevuka zaidi unaweza kuwasha nq kuzima TV, Hometheatre & Sound Bars, Washing Machine , AC nk

Kwa Hisense zote zenye Mfumo wa VIDAA au ROKU zote unaweza ukatumia simu yako kama remote

Isipokua zote zitafanya kazi kama zinatumia Internet moja mfano kama ikiwa kama simu inatumia Internet yake na TV ikawa hivyo haifanyi kazi mimi zote hizo zenye vivuli nina tumia
IMG_4834.jpg
 
Hiyo App Nitaidownload Lakini

Nikiwa Naondoka Na Rimoti Ya Home Naenda Nayo Bar Kutazama Mpira, Tv Ya Bar Na Ya Home Zinafanana Basi Nikawa Natumia Ile Rimoti Kuwakera Tu

,Mara Nizime Tv,

Mara Nipunguze Sauti!

Wakiwasha Mi Nazima

, Nimejikausha Ninaiminya Pasi Kuonekana,

Wanahangaika Kucheki Waya Gani Uko Loose[emoji16]

Hiyo Sana Sana Nafanyaga Nikiona Nishatoa Jero Yangu Kucheck Mpila Alafu Timu Ninayoishabikia Ishafungwa .

Nyieeee !!!!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka kwa sauti mpaka staff members wakanishangaa
 
TV nyingi za kisasa zina hizo Option mfano LG Hisense zote zinazo

Kwa LG zenye Webos zote zinazo pia Kwa upande wa LG wamevuka zaidi unaweza kuwasha nq kuzima TV, Hometheatre & Sound Bars, Washing Machine , AC nk

Kwa Hisense zote zenye Mfumo wa VIDAA au ROKU zote unaweza ukatumia simu yako kama remote

Isipokua zote zitafanya kazi kama zinatumia Internet moja mfano kama ikiwa kama simu inatumia Internet yake na TV ikawa hivyo haifanyi kazi mimi zote hizo zenye vivuli nina tumia View attachment 2392297
Unaunganishaje type maelekezo bro
 
Back
Top Bottom