Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niko na redim 9 naipata wapi mkuu hii optionwenye simu aina za redmi hawahitaji kudownload app automatic ipo kwenye simuView attachment 2391865
kuna app inaitwa mi remote isearch kwenye simu yako ipo
Hapo utamuuliza yesuKama sina kifaa kinachotumia remote nifanyaje?😂
Yesu Kristo anakupenda.Hapo utamuuliza yesu
Nimecheka kwa sauti mpaka staff members wakanishangaaHiyo App Nitaidownload Lakini
Nikiwa Naondoka Na Rimoti Ya Home Naenda Nayo Bar Kutazama Mpira, Tv Ya Bar Na Ya Home Zinafanana Basi Nikawa Natumia Ile Rimoti Kuwakera Tu
,Mara Nizime Tv,
Mara Nipunguze Sauti!
Wakiwasha Mi Nazima
, Nimejikausha Ninaiminya Pasi Kuonekana,
Wanahangaika Kucheki Waya Gani Uko Loose[emoji16]
Hiyo Sana Sana Nafanyaga Nikiona Nishatoa Jero Yangu Kucheck Mpila Alafu Timu Ninayoishabikia Ishafungwa .
Nyieeee !!!!! [emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣Nimecheka kwa sauti mpaka staff members wakanishangaa
Nmeona mkuu ipokuna app inaitwa mi remote isearch kwenye simu yako ipoView attachment 2392301
Unaunganishaje type maelekezo broTV nyingi za kisasa zina hizo Option mfano LG Hisense zote zinazo
Kwa LG zenye Webos zote zinazo pia Kwa upande wa LG wamevuka zaidi unaweza kuwasha nq kuzima TV, Hometheatre & Sound Bars, Washing Machine , AC nk
Kwa Hisense zote zenye Mfumo wa VIDAA au ROKU zote unaweza ukatumia simu yako kama remote
Isipokua zote zitafanya kazi kama zinatumia Internet moja mfano kama ikiwa kama simu inatumia Internet yake na TV ikawa hivyo haifanyi kazi mimi zote hizo zenye vivuli nina tumia View attachment 2392297
Kama hisense ina sehemu ya kuscanUnaunganishaje type maelekezo bro
TV inatakiwa uwe smart ndiyo utumie smart phone kama rimoteWifi kwenye google play hapo sijaelewa
Nieleweshe vizuri.
Nna TCL smart tv remote imeharibika