Ushaingiza udini... Kuna watz waajabu kweli.Mbona kwa wanawake wengi wa kiislamu hizo harufu hazisikiki Bali marashi tu au wao ni wasafi zaidi mazingira hayo????
Asante itabidi tuache mara moja [emoji74] [emoji74]Mkumbuke huko chumvini kuna herpes pia.
Naomba nije pm kwa maelekezo zaid jinsi ya kucontrol...HIV iko controlled nowadays, kama hutaki kupata wewe kunywa ARV's vidudu haviwezi kunasa vinateleza tu.
I don't mind to put it here for the benefit of others mkuu.Naomba nije pm kwa maelekezo zaid jinsi ya kucontrol...
Basi mkuu nasubir maelekezo zaidI don't mind to put it here for the benefit of others mkuu.
Ninazifahamu but nilitamani kujua kama hazijawekewa hiyo ph inayozidi?Mbona zipo baby wipes tunapangusia watoto?
Umekaa kidaktari u know!Mkumbuke huko chumvini kuna herpes pia.
Kapuku flani hivi, usijali.Umekaa kidaktari u know!
Kama unaishi na partner au mke/mume ambae ni muathirika, madaktari watakwambia utumie ARV ili kujilinda, kama umefanya ngono zembe unashauriwa kuanza kunywa ARV's within 72 hours after, kabla virus hawajajiattach kwenye cells zako na kuanza kuriplicate. The same way, ukiwa na partner ambae humwamini, unakunywa ARV, hata kama ana VVU haviwezi kureplicate kwani ARV ina inhibit.Basi mkuu nasubir maelekezo zaid
[emoji106]Maana Ya pH ni Potential Hydrogen whereby pH scale Inaanza from 0-14 ambapo 1-5 ni acidic na 8-14 ni Basic. Kwa kawaida mwili wa Binadamu una pH yake na pH ya Vagina(Uke) ni kuanzia 3.8-4.5 nikimaanisha vagina ni acidic In nature!
Ipo hivyo so as to favour ukaaji wa bacteria fulani wanaitwa Lactobacilli ambao kazi yao kubwa ni kulinda uke from Infections mbalimbali giving it a certain smell na the fluids unazoziona kule ndo lactobacilli acid ambayo kazi yake ndo Hiyo, kwahiyo ikiondoka tu hiyo uke unashambuliwa na magonjwa kama yote!
VITU AMBAVYO HUATHIRI VAGINAL pH
1.SABUNI(SOAP)
Tumejengewa Imani kuwa inabidi kuosha uke na sabuni na powders kwamba unatoa harufu huku tukisahau kuwa uke unajisafisha wenyewe(Self cleaning) na Ile harufu ndo Yake sasa hii huathiri ecosystem ya uke. Kuna soaps zina PH 9-10 kwahiyo zinaathiri lactobacilli wanaolinda uke hivyo ulinzi wote unaondoka mashambulizi from infections yanakua very simple
SULUHISHO
Tumia maji Ya moto na kitambaa kuosha uke, au unaweza tafuta soaps zenye pH ya 4.5.
2.NGONO(SEX)
Shahawa zina pH karibia 9 na kuendelea depending na mtu kwahiyo kuwa nazo kwenye ukeni kunaathiri mazingira ya survival ya Lactobacilli kushambuliwa na magonjwa example candida microbes n.k inakua simple
SULUHISHO
Jitahidi kukojoa kila baada ya Kufanya Ngono!
3.KULA VYAKULA VYENYE SUKARI(SUGAR FOODS)
Kula vyakula vyenye sukari kunakaribisha ujio wa sugar loving microbes kama candida ivii instead jaribu kula small amount of sugar na simple carbs kama vile Yoghout na vitu kama Garlic ivii, maana Yoghourt creats mazingira mazuri ya lactobacillus na garlic inafanya mkojo kuwa more acidic.
Naisubiri kwa hamu boss..ntaandika thread Ya namna Ya kupata aina ya mtoto unaetaka ondoa shaka [emoji4]
Jamani wewe!Wanaume wa JF mtaishia kuwa kaka zangu, mzigo sitawapa maisha, hamna siri.
Mkuu sio suala la udini, ni ukweli.Ushaingiza udini... Kuna watz waajabu kweli.
Nashukuru sana mkuu...Kama unaishi na partner au mke/mume ambae ni muathirika, madaktari watakwambia utumie ARV ili kujilinda, kama umefanya ngono zembe unashauriwa kuanza kunywa ARV's within 72 hours after, kabla virus hawajajiattach kwenye cells zako na kuanza kuriplicate. The same way, ukiwa na partner ambae humwamini, unakunywa ARV, hata kama ana VVU haviwezi kureplicate kwani ARV ina inhibit.
The issue ni kuweka neno wadada wa kiislama and then unakuna kusema wadada wa pwani.. Kwa hiyo kwa utafiti wako wadada wa bara ambao sio waislam k zao Ina harufu?Mkuu sio suala la udini, ni ukweli.
ktk masuala ya usafi wa K au K zisizo na na harufu ya kukera, wadada wa pwani ambao majority ni waislamu, wapo vizuri.wanajua kuzitunza K zao tofauti na dada zetu wa mikoa ya bara.
nalizungumza hili kwa uhakika zaidi nikiwa kama mwanume gentleman mwenye uzoefu na historia mujarabu ya "kugonga" K tofauti za bara na pwani.
Nimeuliza swali naomba msaada ndugu yangu, kuna sabuni inaitwa 'KAISIKI' imeandikwa sabuni ya wanawake, na imetengenezwa maalumu kwa ajili ya kunawia ukeni, je ni salama kwa matumizi hayo?..kuzama chumvini kuna madhara sana,the least Ikiwa ni mdomo kijeruhika
Ni Dr huyo dada, bila kivuli cha shaka. So subiri tu vipimo teh tehUmekaa kidaktari u know!
[emoji12] [emoji12] [emoji12]Kapuku flani hivi, usijali.
Unaona [emoji121] [emoji121] [emoji121] nilichokwambia!Kama unaishi na partner au mke/mume ambae ni muathirika, madaktari watakwambia utumie ARV ili kujilinda, kama umefanya ngono zembe unashauriwa kuanza kunywa ARV's within 72 hours after, kabla virus hawajajiattach kwenye cells zako na kuanza kuriplicate. The same way, ukiwa na partner ambae humwamini, unakunywa ARV, hata kama ana VVU haviwezi kureplicate kwani ARV ina inhibit.