Jinsi ya kutunza pH ya Uke(Vaginal pH)

Jinsi ya kutunza pH ya Uke(Vaginal pH)

Mbona kwa wanawake wengi wa kiislamu hizo harufu hazisikiki Bali marashi tu au wao ni wasafi zaidi mazingira hayo????
Ushaingiza udini... Kuna watz waajabu kweli.
 
Basi mkuu nasubir maelekezo zaid
Kama unaishi na partner au mke/mume ambae ni muathirika, madaktari watakwambia utumie ARV ili kujilinda, kama umefanya ngono zembe unashauriwa kuanza kunywa ARV's within 72 hours after, kabla virus hawajajiattach kwenye cells zako na kuanza kuriplicate. The same way, ukiwa na partner ambae humwamini, unakunywa ARV, hata kama ana VVU haviwezi kureplicate kwani ARV ina inhibit.
 
Maana Ya pH ni Potential Hydrogen whereby pH scale Inaanza from 0-14 ambapo 1-5 ni acidic na 8-14 ni Basic. Kwa kawaida mwili wa Binadamu una pH yake na pH ya Vagina(Uke) ni kuanzia 3.8-4.5 nikimaanisha vagina ni acidic In nature!

Ipo hivyo so as to favour ukaaji wa bacteria fulani wanaitwa Lactobacilli ambao kazi yao kubwa ni kulinda uke from Infections mbalimbali giving it a certain smell na the fluids unazoziona kule ndo lactobacilli acid ambayo kazi yake ndo Hiyo, kwahiyo ikiondoka tu hiyo uke unashambuliwa na magonjwa kama yote!

VITU AMBAVYO HUATHIRI VAGINAL pH
1.SABUNI(SOAP)
Tumejengewa Imani kuwa inabidi kuosha uke na sabuni na powders kwamba unatoa harufu huku tukisahau kuwa uke unajisafisha wenyewe(Self cleaning) na Ile harufu ndo Yake sasa hii huathiri ecosystem ya uke. Kuna soaps zina PH 9-10 kwahiyo zinaathiri lactobacilli wanaolinda uke hivyo ulinzi wote unaondoka mashambulizi from infections yanakua very simple
SULUHISHO
Tumia maji Ya moto na kitambaa kuosha uke, au unaweza tafuta soaps zenye pH ya 4.5.

2.NGONO(SEX)
Shahawa zina pH karibia 9 na kuendelea depending na mtu kwahiyo kuwa nazo kwenye ukeni kunaathiri mazingira ya survival ya Lactobacilli kushambuliwa na magonjwa example candida microbes n.k inakua simple
SULUHISHO
Jitahidi kukojoa kila baada ya Kufanya Ngono!

3.KULA VYAKULA VYENYE SUKARI(SUGAR FOODS)
Kula vyakula vyenye sukari kunakaribisha ujio wa sugar loving microbes kama candida ivii instead jaribu kula small amount of sugar na simple carbs kama vile Yoghout na vitu kama Garlic ivii, maana Yoghourt creats mazingira mazuri ya lactobacillus na garlic inafanya mkojo kuwa more acidic.
[emoji106]
 
Ushaingiza udini... Kuna watz waajabu kweli.
Mkuu sio suala la udini, ni ukweli.

ktk masuala ya usafi wa K au K zisizo na na harufu ya kukera, wadada wa pwani ambao majority ni waislamu, wapo vizuri.wanajua kuzitunza K zao tofauti na dada zetu wa mikoa ya bara.

nalizungumza hili kwa uhakika zaidi nikiwa kama mwanume gentleman mwenye uzoefu na historia mujarabu ya "kugonga" K tofauti za bara na pwani.
 
Kama unaishi na partner au mke/mume ambae ni muathirika, madaktari watakwambia utumie ARV ili kujilinda, kama umefanya ngono zembe unashauriwa kuanza kunywa ARV's within 72 hours after, kabla virus hawajajiattach kwenye cells zako na kuanza kuriplicate. The same way, ukiwa na partner ambae humwamini, unakunywa ARV, hata kama ana VVU haviwezi kureplicate kwani ARV ina inhibit.
Nashukuru sana mkuu...
 
The issue ni kuweka neno wadada wa kiislama and then unakuna kusema wadada wa pwani.. Kwa hiyo kwa utafiti wako wadada wa bara ambao sio waislam k zao Ina harufu?
 
..kuzama chumvini kuna madhara sana,the least Ikiwa ni mdomo kijeruhika
Nimeuliza swali naomba msaada ndugu yangu, kuna sabuni inaitwa 'KAISIKI' imeandikwa sabuni ya wanawake, na imetengenezwa maalumu kwa ajili ya kunawia ukeni, je ni salama kwa matumizi hayo?
 
Kama unaishi na partner au mke/mume ambae ni muathirika, madaktari watakwambia utumie ARV ili kujilinda, kama umefanya ngono zembe unashauriwa kuanza kunywa ARV's within 72 hours after, kabla virus hawajajiattach kwenye cells zako na kuanza kuriplicate. The same way, ukiwa na partner ambae humwamini, unakunywa ARV, hata kama ana VVU haviwezi kureplicate kwani ARV ina inhibit.
Unaona [emoji121] [emoji121] [emoji121] nilichokwambia!
 
Mada zinazohusiana na viungo vya uzazi huwa zinapata wachangiaji wengi sana.....

Utashangaa uzi ulioanzishwa masaa mawili yaliyopita unafikia page ya 10.....

All in all JF ni jukwaa huru na kisima cha maarifa....,,

Enjoy it....
 
Back
Top Bottom