Jinsi ya kutunza pH ya Uke(Vaginal pH)

....... somo la nguvu ..... haya akina nanihiiiii chukua hints hizo
 
duh kazi ipo...maana mchepuko wangu akija home nikitupiamo wazungu sasa ikifika asubuhi naogopa hata kumgusa maana huko downstairs kunakuwa na ka harufu kama tuko Feri.....inaonekana ka eco syteam kake kabovu nini?
Hilo ndo tatizo wengi wanadanganywa ati hata kutia kidole haifai mana K inajisafisha wenyewe ni UONGO, K inasafishwa na maji matupu bila sabuni ila kidole ni lazima kutoa uchafu ulobaki njiani, ule uchafu huchangia kuleta harufu mbayaaaaaaaaaaaaa na kulegeza uke, Na hata maji kuzidi, Kwahiyo kujisafisha kwa kidole na maji tu ni moja ya njia nzuri ya kutunza K. haina haja ya sabuni zenye PH wala nini maji matup yanatosha na kidole kukiiingiza kusafisha ni vyema, ndo mana baadhi ya wanawake hawafugi kuccha ndefu sana.
 
Hivi sehemu zinapopita sperm ndo hapo hapo panapopita mkojo wa chooni, mbona mada imenichanganya kidogo, MANA MKOJO WATOKA KWENGINE NA SPERM ZAPITA KWENGINE INASAIDIA VIPI KUSAFISHA?
 
huku kwetu kutoka nje usiku ni majanga baada ya show huwa anazimimina naona huwa haziji zote ila kukikucha hata kumgusa HAPANA
Anazimiminia WAP sasa???[emoji23] [emoji23] wabongo mna mambo[emoji23] [emoji23]
 
..Kwakweli maana kuna misabwanda mingine sio Ya nchi hiiii
Si ya mchezo mchezo kabsa,,...haha mingine hata dushelele urefu wa reli Hamna shida yoyote unazama tu style yoyote[emoji23]
 
Sasa wale madada duh wa Dar wanafanyaje coz wanakucha kma mashetani
 
Si ya mchezo mchezo kabsa,,...haha mingine hata dushelele urefu wa reli Hamna shida yoyote unazama tu style yoyote[emoji23]
..Ikimbiwe Hio,inaweza kuharibu kizazi kabisa
 
Reactions: ovi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…