Jinsi ya kutunza pH ya Uke(Vaginal pH)

Jinsi ya kutunza pH ya Uke(Vaginal pH)

Mi nilifundishwa kujisafisha uke na maji BARIDI bila sabuni, na umalizapo tendo unachuchumaa kuna baadhi ya mbegu zitatoka baada ya hapo unatumia maji baridi kusafisha uke bila kuingiza kidole ndani na bila kutumia sabuni, kulala na shahawa kunatepetesha uke na kutumia maji moto pia kunalegeza uke, kujipangusa tu na kitambaa chenye maji sidhani kama unasafisha uke vizuri, maji baridi ya kutosha hutokuwa na harufu mabaya hata kidogo, pia kunywwa maziwa ya mgando kunasaidia sana kuimarisha afya ya uke., hata kuweka maiza ya mtindi kila umalizapo hedhi huepusha mardhi ya fungus kwa kuwa hizi pedi mara nyingi huwa zinaleta muwasho
....... somo la nguvu ..... haya akina nanihiiiii chukua hints hizo
 
duh kazi ipo...maana mchepuko wangu akija home nikitupiamo wazungu sasa ikifika asubuhi naogopa hata kumgusa maana huko downstairs kunakuwa na ka harufu kama tuko Feri.....inaonekana ka eco syteam kake kabovu nini?
Hilo ndo tatizo wengi wanadanganywa ati hata kutia kidole haifai mana K inajisafisha wenyewe ni UONGO, K inasafishwa na maji matupu bila sabuni ila kidole ni lazima kutoa uchafu ulobaki njiani, ule uchafu huchangia kuleta harufu mbayaaaaaaaaaaaaa na kulegeza uke, Na hata maji kuzidi, Kwahiyo kujisafisha kwa kidole na maji tu ni moja ya njia nzuri ya kutunza K. haina haja ya sabuni zenye PH wala nini maji matup yanatosha na kidole kukiiingiza kusafisha ni vyema, ndo mana baadhi ya wanawake hawafugi kuccha ndefu sana.
 
Hivi sehemu zinapopita sperm ndo hapo hapo panapopita mkojo wa chooni, mbona mada imenichanganya kidogo, MANA MKOJO WATOKA KWENGINE NA SPERM ZAPITA KWENGINE INASAIDIA VIPI KUSAFISHA?
 
huku kwetu kutoka nje usiku ni majanga baada ya show huwa anazimimina naona huwa haziji zote ila kukikucha hata kumgusa HAPANA
Anazimiminia WAP sasa???[emoji23] [emoji23] wabongo mna mambo[emoji23] [emoji23]
 
..Kwakweli maana kuna misabwanda mingine sio Ya nchi hiiii
Si ya mchezo mchezo kabsa,,...haha mingine hata dushelele urefu wa reli Hamna shida yoyote unazama tu style yoyote[emoji23]
 
Hilo ndo tatizo wengi wanadanganywa ati hata kutia kidole haifai mana K inajisafisha wenyewe ni UONGO, K inasafishwa na maji matupu bila sabuni ila kidole ni lazima kutoa uchafu ulobaki njiani, ule uchafu huchangia kuleta harufu mbayaaaaaaaaaaaaa na kulegeza uke, Na hata maji kuzidi, Kwahiyo kujisafisha kwa kidole na maji tu ni moja ya njia nzuri ya kutunza K. haina haja ya sabuni zenye PH wala nini maji matup yanatosha na kidole kukiiingiza kusafisha ni vyema, ndo mana baadhi ya wanawake hawafugi kuccha ndefu sana.
Sasa wale madada duh wa Dar wanafanyaje coz wanakucha kma mashetani
 
Si ya mchezo mchezo kabsa,,...haha mingine hata dushelele urefu wa reli Hamna shida yoyote unazama tu style yoyote[emoji23]
..Ikimbiwe Hio,inaweza kuharibu kizazi kabisa
 
  • Thanks
Reactions: ovi
Back
Top Bottom