Jinsi ya kuwa bilionaire!

Jinsi ya kuwa bilionaire!

Unavyoongea kirahisi rahisi, nakuhakikishia mambo sio rahisi kiasi hicho kama unavyofikiri unless tayari una pesa, ni rahisi tajiri kua tajiri zaidi ila kwa maskini kua tajiri ni ngumu mno.

UN wakupe tenda ya kuprint miamvuli 5,000 ukiwa kama nani? Na kwa kila mwamvuli utengeneze faida ya 4,000? hehe unafanya utani, we unadhani mwamvuli ni bei gani hadi uwe na margin kubwa namna hiyo ya profit? Na unavyosema kuprint miamvuli 5,000 hiyo kampuni tayari unayo?

Swala lako la pili la ku~supply salt kwa watu 10M kwa mwezi, making 400 kama profit, chumvi hizi za 400 alafu utengeneze faida ya 400? Products kama chumvi zina margin ndogo sana. Na bado supply ya 10M unaichukulia poa sana, its very hard kuproduce that amount kama kampuni moja, alafu unasahau kua kuna competitors, hiyo 10M ni zaidi ya entire market ya Tanzania for salt, kampuni yako ina nini special hadi ichukua 100% of the market? competitors wako unadhani wamelala?

Ni rahisi kua na plan ila sio kitu rahisi kuzitimiza kama mnavyofikiria, its very hard kuanzisha a successful company. Ungeniambia billionaire wanafikiria kutry na kufail hadi wafanikiwe labda ningekuelewa, kazi zinahitaji kua aggressive na kupima kujua tatizo lipi ukilisolve litakulipa. Mambo mengine ni maneno tu maskini wanapenda kuyaongea kujifariji ila hamna kitu.
tatizo lako umeajiriwa..kila kitu kwako unakiona kigumu...kitu rahis kwako ni kusubiri mshahara mwisho wa mwezi..think outside the box
 
tatizo lako umeajiriwa..kila kitu kwako unakiona kigumu...kitu rahis kwako ni kusubiri mshahara mwisho wa mwezi..think outside the box

Hizi dharau ndio hua sipendi, don't make this personal dude! Its just an argument, nina kazi zangu and am making enough to live a very comfortable life kwa taarifa yako, am a very happy guy, na sijawahi ajiriwa toka nazaliwa. Kuongea hapa JF tunabishana sio sababu ya kukaa una~undermine kila mtu. Grow up, argue with points if you can't just shut up.

Its obvious mtu ambaye hajawahi kufanya biashara ndio atakaa kufikiria alichosema mleta mada kua ni kitu rahisi kumbe in reality ni kitu hakiji kirahisi hivyo hasa kwa mtu asiye na pesa. Business is always a competition, kama unafikiria ull just get in and take over every other business keep on dreaming. Waste of time kuargue na watu wasio na idea hata kidogo.
 
Back
Top Bottom