Unavyoongea kirahisi rahisi, nakuhakikishia mambo sio rahisi kiasi hicho kama unavyofikiri unless tayari una pesa, ni rahisi tajiri kua tajiri zaidi ila kwa maskini kua tajiri ni ngumu mno.
UN wakupe tenda ya kuprint miamvuli 5,000 ukiwa kama nani? Na kwa kila mwamvuli utengeneze faida ya 4,000? hehe unafanya utani, we unadhani mwamvuli ni bei gani hadi uwe na margin kubwa namna hiyo ya profit? Na unavyosema kuprint miamvuli 5,000 hiyo kampuni tayari unayo?
Swala lako la pili la ku~supply salt kwa watu 10M kwa mwezi, making 400 kama profit, chumvi hizi za 400 alafu utengeneze faida ya 400? Products kama chumvi zina margin ndogo sana. Na bado supply ya 10M unaichukulia poa sana, its very hard kuproduce that amount kama kampuni moja, alafu unasahau kua kuna competitors, hiyo 10M ni zaidi ya entire market ya Tanzania for salt, kampuni yako ina nini special hadi ichukua 100% of the market? competitors wako unadhani wamelala?
Ni rahisi kua na plan ila sio kitu rahisi kuzitimiza kama mnavyofikiria, its very hard kuanzisha a successful company. Ungeniambia billionaire wanafikiria kutry na kufail hadi wafanikiwe labda ningekuelewa, kazi zinahitaji kua aggressive na kupima kujua tatizo lipi ukilisolve litakulipa. Mambo mengine ni maneno tu maskini wanapenda kuyaongea kujifariji ila hamna kitu.