Jinsi ya kuwa Tajiri ndani ya miaka mitano! Tazama hii picha

Nikola24

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2024
Posts
222
Reaction score
517
1741889216614.jpg

How to Become Wealthy in 5 Years
  • Become Financially Educated
  • Learn Money Management
  • Save Money to Invest
  • Invest in Passive Income Sources
  • Network with self-made Rich People
  • Have Mutual Sources of Income
 
Hata mashoga na machawa wa ccm walijua utajiri unapatikana kwa haraka
 
Na una waunga mkono? Yaani mbinu zao?
Nimekupa list zao tambua hapo.
Ni kupe na nyingine kuingia kwenye ulimwengu jua ukiwa na roho mbaya na shetani mzuri.
Kuingia usiku ukijua shetani anataka kwa waganga na mengine
 
Utajiri wa nguvu za Giza? Yeah nimesikia sana hayo.
 
Utajiri sio michoro , utajiri ni hustle na plan za muda mrefu , ukitaka utajiri wa haraka ujue wewe ni maskini WA kudumu , utaishia kupata pesa ya kula tu
 
Kweli kabisa.Lakini hiyo picha ina mwongozo mzuri. Au huelewe English?
 
Utajiri sio michoro , utajiri ni hustle na plan za muda mrefu , ukitaka utajiri wa haraka ujue wewe ni maskini WA kudumu , utaishia kupata pesa ya kula tu
Nataka nipande zao la michikichi linalotoa mafuta ya mawese hekari 30, najua miaka minne nitahustle lakini nikianza kukamua, nimetokaa.
 
Back
Top Bottom