Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Pesa hazina ukomo wa kuzitafuta na hazina kanuni ya kuzipata, hata hivyo unatambua hadi leo hii matajiri kama Bill Gates, Jeff Bezzos wanaendelea kutafuta hela [emoji848][emoji4]Wanaume wa jf bure kabisa badala mfundishane jnsi ya kupata pesa mfundishana ujinga mkikataliwa kisa amna pesa mnakuja kulia lia umu
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app