Jinsi ya kuwapata Wanawake kirahisi

Mbona unaongea vitu vingi sana nahisi hata we mwenyewe huvielewi
 
Kuna
mwanamke mmoja ananiheshimugi sana

I met her on facebook (messenger ) huko tumechat sana namba akawa anawaza kunipa sijui later akaja nipa alihisi nitakuwa namsumbua sijui maana nishaanza mbadilishia mada zikawa za kumsifia namna alivomzuri
Cha ajabu tulivohamia wasap nikawa nipo busy en serious sina mambo mengi wala stori nyingi nachat kwa nukta sometime anaweza reply msg yangu mchana nikajibu tena usiku

Akatokea nipenda akawa ananambia ananipenda na hajui kwann anajikuta tu.. aliniambia ni bikra pia ..from nowhere nikampotezea kama miezi kadhaa kuna kipindi nikamtxt nikamuuliza hivi ile bikra bado ipo akajibu namtunzia nani labda ...akanionesha yuko kwa mahusiano...nikamjibu tu haya then kimya ..status na view hata apost nn sijawah reply hata awe na mwanaume siulizi...juz juz kanichek ananambia we ni mtu wa tofauti sana nataman kukuona nijue kwann pia uko hivo...


Karbu miaka mitatu nina no zake hatujawah onana na yupo karbu nivile sijataka
 
[emoji419][emoji419][emoji419]
Nawachakata sio poa!
 
Wanawake wote duniani wanapenda kupewa attention wanajijua wao ni maua hapa duniani,
 
Mbona unaongea vitu vingi sana nahisi hata we mwenyewe huvielewi
Hiyo ni kawaida ya watu wa level yako!! mko wengi weye!! akili ndogo kamwe haiwezekani kuielewa akili kubwa!! tulia tu kunywa maji! ndo tunaenda ivo kijana!!

hivo unavodhania ndo ulivo! maana kuna wale wa division zero!! na wale wa one!! uelewa wao ni tofauti tuu!! wa division zero huwa wanashangaa sana jinsi jamaa zao! wanavoruka na paper!

unadhania kwa hao wawili nani alielewa na nani hakuelewa drsni hapo? lkn pia kuna wa division three na four usiwasahau!! yaani nyie binadamu uelewa wenu ni tofauti sana ninajua ivo!!

sasa km mistari miwili umeona ni mingi je?? ulimalizaje MJI-VOLUME wa Abbot wewe kweli?? au Literature level utasoma vitabu vingapi?? na kuvijibia Mitihani? Lool! pole yako!
 
Wanawake wote duniani wanapenda kupewa attention wanajijua wao ni maua hapa duniani,
Yes! naona sasa unaanza kuelewa kabisaa!! siyo tunapenda tuuu!! ndo mlivyo agizwa mtutumikie sisi!! mtake msitake, alisha sema aliye sema!! habadiriki sasa weye acha uone moto unavokuwakia!!

Nyie mtatupata kwa jasho la damu hata km tuna wataka lkn lazima msoteee!! na mtatulisha kwa jasho lenu pia!! kwa kutu bembeleza kataa uone moto!!..sisi ni lulu!! ukitaka kujua ni hivi....

Hakuna kiumbe aliye ongea na Mungu, at de same time at different moment Pamoja na Shetani, ukiwa mpole tunatumia mbinu za ki-Mungu! amabzo unazo pia!!

lkn me ukijifanya Mjanja tunatumia maujanja na nguvu za shetani alizo tupa palee Bustanini Eden, amabzo hizo huna hata ufanyeje lazima uzimikie tu!! saa nani mjanja --ivi unajua '' XX chromosomes'' weye? ..subiri...

sisi kazi yetu ni kuzaa kwa uchungu tuu!!...wewe komaa mpaka kieleweke!!.....siyo kulia lia tuu!!...nikikupiga tulia, tena piga kimya kimya, katafute ulete!! vuta jasho kiume! unasikia weye mzee!!
 
Yaani hii ni bonge la point...
 
[emoji28] Ku argue na wanawake ni kama umewapa exactly what they needed ivi. women love indignation.
Arguing with a female is giving her attention. Don't give attention to females for free.
 
Alichesema jamaa ni kweli 99.9% wanawake ukitaka wakutafute usihangaike nao. Kila mmoja atapenda kukujua kiundani, upo na nani na yaliyomo yamoo...hapo ndio pa kuwapigia sasa. Tena wote wamaa na wadada.
Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…