Kuna
mwanamke mmoja ananiheshimugi sana
I met her on facebook (messenger ) huko tumechat sana namba akawa anawaza kunipa sijui later akaja nipa alihisi nitakuwa namsumbua sijui maana nishaanza mbadilishia mada zikawa za kumsifia namna alivomzuri
Cha ajabu tulivohamia wasap nikawa nipo busy en serious sina mambo mengi wala stori nyingi nachat kwa nukta sometime anaweza reply msg yangu mchana nikajibu tena usiku
Akatokea nipenda akawa ananambia ananipenda na hajui kwann anajikuta tu.. aliniambia ni bikra pia ..from nowhere nikampotezea kama miezi kadhaa kuna kipindi nikamtxt nikamuuliza hivi ile bikra bado ipo akajibu namtunzia nani labda ...akanionesha yuko kwa mahusiano...nikamjibu tu haya then kimya ..status na view hata apost nn sijawah reply hata awe na mwanaume siulizi...juz juz kanichek ananambia we ni mtu wa tofauti sana nataman kukuona nijue kwann pia uko hivo...
Karbu miaka mitatu nina no zake hatujawah onana na yupo karbu nivile sijataka