Uchaguzi 2020 Jinsi ya kuweka vema✅ kuchagua Rais wa Tanzania

Uchaguzi 2020 Jinsi ya kuweka vema✅ kuchagua Rais wa Tanzania

Bill

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Posts
9,258
Reaction score
10,014
Bado siku chache tuifikie 28 Oktoba 2020 ambayo itaamua Tanzania inachukua mlengo gani wa kisiasa na kiuchumi.

Hivi ndivyo inavyotakiwa kupiga kura kwa kuweka alama ya Vema kumchagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
IMG-20201021-WA0002.jpg
 
Bado siku chache tuifikie 28 Oktoba 2020 ambayo itaamua Tanzania inachukua mlengo gani wa kisiasa na kiuchumi.

Hivi ndivyo inavyotakiwa kupiga kura kwa kuweka alama ya Vema kumchagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Imetoka hio baba la baba
 
Hiyo form ni batili
Jiandae kisaikolojia maana ndio utaikuta chumba cha kura. Hiyo ni mfano tu kama hutaona vyama vyote vingine vimekatwa hapo
 
Wataalam wa IT wa CDM hebu fanyeni editing hiyo karatasi Lissu awepo kwenye hiyo sample.
Hahahahhahah hata akiwepo haisaidii. Ameshachelewa badala ya kuuza sera muda ameuchezea kulalamikia Magufuli na kutukana
 
Hahahahah

Hilo fao ndio liyaleta uhuru na haki na maendeleo. Taabu kweli
Pesa za wafanyakazi, wapewe Haki yao

Mafao sio Pesa za Serikali na sio hisani

FAO la kujitoa Ni HAKI
 
Back
Top Bottom