Uchaguzi 2020 Jinsi ya kuweka vema✅ kuchagua Rais wa Tanzania

Uchaguzi 2020 Jinsi ya kuweka vema✅ kuchagua Rais wa Tanzania

Pesa za wafanyakazi, wapewe Haki yao

Mafao sio Pesa za Serikali na sio hisani

FAO la kujitoa Ni HAKI
Halipo kisheria.

Badilini sheria ili kuliweka hilo fao.

Mifuko ilijiwekea huo utaratibu nje ya sheria. Ni kama Mbowe alipoamua kukata pesa kila mwezi kutoka mishahara ya wabunge wake. Haikuwa haki wala sheria lakini aliamua tu kukata.
 
Kwanini uweke alama ya tiki kwenye kibox cha ccm?
Kama siyo kutafuta vichwa.
Hiyo ni mfano, unatakiwa kutick namna hiyo.

Tick hapo hapo boksi la kwanza kama inavyoonekana
 
Siwezi kumpa kura ibilisi.
Katu
Ni uchaguzi wako, ibilIsi wako ni malaika wa mwingine, na malaika wako ni ibilisi wa mwingine

Chagua unachoamini lakini usitegemee kuna serikali itakuingizia pesa mfukoni. Fanya kazi
 
Chadema siioni mbona ?
Huo ni mfano, itakuwepo siku ya kura kwenye karatasi.

Ila hapo ndivyo karatasi itakuwa na namna ya kupiga kura. Wala usipoteze muda wako kutafuta chadema, wewe tick tu kama inavyoonekana....... Teheheeeee hehe
 
Kura ni kwa Lissu hao wengine waache wachaguliwe na wanaonufaika nao.
 
Kura ni kwa Lissu hao wengine waache wachaguliwe na wanaonufaika nao.
Huwezi kuchagua mahali usiponifaika au mategemeo ya kunufaika.

Huyo Lissu utampigia kwa kuwa unategemea kunufaika kwake jambo ambalo ni ndoto ya mchana
 
Tunataka Uhuru,haki na maendeleo ya watu.Kila mtu amchague anayemwona atamfaa.
Huwezi kuchagua mahali usiponifaika au mategemeo ya kunufaika.

Huyo Lissu utampigia kwa kuwa unategemea kunufaika kwake jambo ambalo ni ndoto ya mchana
 
Mbwa nyie ndio mnao nufaika na ccm tunataka chadema 28/10

Mnataka wewe na nani?

Hao unaowatukana Mbwa subiri Oktoba 28 ndio utajua mbwa wako wangapi na nyie mnaotaka chadema ni wangapi.

Kwa akili fupi tu

CCM ina ofisi hadi Shina au shehia, CHADEMA haina hata jengo inamiliki la ofisi makao makuu. Sasa wewe unashindana na mbwa wametapakaa msitu wote.

Jipangeni baada ya miaka 50 ijayo nyinyi ndio mtaweza kuondoa hao mbwa msituni.

Tumia akili ndogo tu kujua hilo
 
Tunataka Uhuru,haki na maendeleo ya watu.Kila mtu amchague anayemwona atamfaa.
Sahihi, sanduku la kura litaamua lakini sisi uhuru, haki na maendeleo ya watu tunayo tayari
 
Bado siku chache tuifikie 28 Oktoba 2020 ambayo itaamua Tanzania inachukua mlengo gani wa kisiasa na kiuchumi.

Hivi ndivyo inavyotakiwa kupiga kura kwa kuweka alama ya Vema kumchagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.View attachment 1607560
Haha mbona hii karatasi haijaonesha wagombea wote?😂😂
 
Bado siku chache tuifikie 28 Oktoba 2020 ambayo itaamua Tanzania inachukua mlengo gani wa kisiasa na kiuchumi.

Hivi ndivyo inavyotakiwa kupiga kura kwa kuweka alama ya Vema kumchagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.View attachment 1607560
Kitendo chako cha kuondoa baadhi ya vyama, kinaonesha kuwa huna nia nzuri na Taifa. Hata baada ya kupata uongozi, mtandelea kuwa wabaguzi. Ni kwa nini hajaacha vyama vyote ili wapiga kura waamue wenyewe ? Hii in amaana uko tayari kua hicho Chama.
 
Back
Top Bottom