Uchaguzi 2020 Jinsi ya kuweka vema✅ kuchagua Rais wa Tanzania

Uchaguzi 2020 Jinsi ya kuweka vema✅ kuchagua Rais wa Tanzania

Hahahahhahah hata akiwepo haisaidii. Ameshachelewa badala ya kuuza sera muda ameuchezea kulalamikia Magufuli na kutukana
Mbona hata hao wenye sera, wanaishia kuweka ahadi ya kutekeleza mambo ya wenzao.
 
JPM nae slijitahidi kutoa elimu ya mpiga kura namna ya kutick na matumizi bora ya karatasi. Hapo unatick au unaweka Vema jina la kwanza utakuwa umechagua rais bora kabisa duniani
 
Attachments

  • Screenshot_20201022-095542_Gallery.jpg
    Screenshot_20201022-095542_Gallery.jpg
    163.6 KB · Views: 2
Wewe na ukoo wako na watu wako wa karibu ndio mnavyo.
Ben Saanane,Azory,Mwangosi walikosa hivyo fursa,pamoja na sisi wengine.
Sahihi, sanduku la kura litaamua lakini sisi uhuru, haki na maendeleo ya watu tunayo tayari
 
Rais Magufuli ni mbeba maono ya Watanzania
JPM nae slijitahidi kutoa elimu ya mpiga kura namna ya kutick na matumizi bora ya karatasi. Hapo unatick au unaweka Vema jina la kwanza utakuwa umechagua rais bora kabisa duniani
 
Bado siku chache tuifikie 28 Oktoba 2020 ambayo itaamua Tanzania inachukua mlengo gani wa kisiasa na kiuchumi.

Hivi ndivyo inavyotakiwa kupiga kura kwa kuweka alama ya Vema kumchagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.View attachment 1607560
Hiyo kura imeharibika.Tik unaweka chumba Cha mwisho chini
 
Isingekuwa ukichora picha ya mgombea hauharibu kura. Kuna mgombea ningetoboa toboa macho yake
 
Wewe na ukoo wako na watu wako wa karibu ndio mnavyo.
Ben Saanane,Azory,Mwangosi walikosa hivyo fursa,pamoja na sisi wengine.
Ikiwa mlikisa shauri yenu, sisi tayari tinavyo na tutaendelea kuvichgua na kuvilinda
 
Back
Top Bottom