JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Kwa mujibu wa maelezo aliuoyatoa Daktari kwenye kipindi cha Meza Huru - ITV, gharama ya upandikizaji tu ni sh. 30,000,000/=.Bei ya figo milioni 25
Duuuh!!Kwa mujibu wa maelezo aliuoyatoa Daktari kwenye kipindi cha Meza Huru - ITV, gharama ya upandikizaji tu ni sh. 30,000,000/=.
Figo ni zako [namaanisha amezitafuta mgonjwa kutoka kwa nduguze/jamaa zake].
Hapo mgonjwa hana figo sasa inabidi apewe za kununua,gharama ipoje?Kwa mujibu wa maelezo aliuoyatoa Daktari kwenye kipindi cha Meza Huru - ITV, gharama ya upandikizaji tu ni sh. 30,000,000/=.
Figo ni zako [namaanisha amezitafuta mgonjwa kutoka kwa nduguze/jamaa zake].
Halafu unakuja kufa kwa malariaYani nisile Mbuzi,Kuku Samaki Mayai nk.....
raha ya kuishi unaitoa wp hapo usipokula hivyo vitu!!!??
mwingine ataongezea usinywe na pombe....
Nilisikia dawa ya mawe kwenye figo ni kunywa maji mengi.
Ukinywa maji mengi sana mawe yanayeyuka na kupona.
Je ni kwel?
Duuh....Kwa mujibu wa maelezo aliuoyatoa Daktari kwenye kipindi cha Meza Huru - ITV, gharama ya upandikizaji tu ni sh. 30,000,000/=.
Figo ni zako [namaanisha amezitafuta mgonjwa kutoka kwa nduguze/jamaa zake].
Siku hizi ukifuatilia sana maelekezo ya hawa wanaojiita WATAALAMU unaweza ukafa kwa presha na mawazo.......maana lila mtu anasema la kwake......Maji mimi yalinikataa miaka zaidi ya 40 yaani ni chai, kahawa, juice basi ila maji kama maji huwa sinywi ila nadunda namshukuru Mungu
Niko tofauti kwani binadamu wote sio sawa na Kiu siijui hata liwe joto kiasi gani
Kweli wanasema kuwa uyaone [emoji1787]
Maji unakunywa sema kwa mfumo mwingine kupitia hayo uliyosemaMaji mimi yalinikataa miaka zaidi ya 40 yaani ni chai, kahawa, juice basi ila maji kama maji huwa sinywi ila nadunda namshukuru Mungu
Niko tofauti kwani binadamu wote sio sawa na Kiu siijui hata liwe joto kiasi gani
Kweli wanasema kuwa uyaone [emoji1787]
Siku hizi ukifuatilia sana maelekezo ya hawa wanaojiita WATAALAMU unaweza ukafa kwa presha na mawazo.......maana lila mtu anasema la kwake......
Maji unakunywa sema kwa mfumo mwingine kupitia hayo uliyosema
Tumia ya kuchemsha nyumbani. Unabeba container ya lita tatu kwenye begi fresh kabisa. Mimi huwa natembea na gallon ya lita tano ya maji ya kuchemsha ya nyumbani linakuwa na barafu kabisa limegandishwa.....Lita tatu za maji ya Kilimanjaro ni 3000 x siku 30 jumla ni 90,000
Hapo bado king'amuzi, Kodi , Hela ya usafi , vicoba, Vocha , bado mizinga, saidia, ndugu, hujala asubuhi - usiku.
Kweli ni mitano Tena a.k.a Again