Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bei ya figo milioni 25
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bei ya figo milioni 25
Yale mawe yakisha kuwa solid vile huwa hayarejei kuwa kawaida.Nilisikia dawa ya mawe kwenye figo ni kunywa maji mengi.
Ukinywa maji mengi sana mawe yanayeyuka na kupona.
Je ni kwel?
hapo nakupinga, ukichukua uhai lita 13 ni 3,500/= utatumia 4siku nne, kwa mwezi utaitaji madumu almost 8 ambayo ni elfu 24 tu..ila ukitaka ubishoo mbele ya afya tumia k'njaroLita tatu za maji ya Kilimanjaro ni 3000 x siku 30 jumla ni 90,000
Hapo bado king'amuzi, Kodi , Hela ya usafi , vicoba, Vocha , bado mizinga, saidia, ndugu, hujala asubuhi - usiku.
Kweli ni mitano Tena a.k.a Again
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maji wanakunywa wenye uhakika wa kula.....sasa mtu umetafuna mihogo mibichi vipande viwili hayo maji lita Tatu yatakaa wapi.....??
Kufa tutakufa tu. Inasemekana nyama ya kuku na samaki ndio salama. Hapa wanakwambia pia ni tatizo.Siku hizi ukifuatilia sana maelekezo ya hawa wanaojiita WATAALAMU unaweza ukafa kwa presha na mawazo.......maana lila mtu anasema la kwake......
Yaani ukifuatilia mno maelezo ya wanaojiita watalaamu utajikuta unashinda na njaa kutwa.....Kufa tutakufa tu. Inasemekana nyama ya kuku na samaki ndio salama. Hapa wanakwambia pia ni tatizo.
Uniti 1 ya maji ya DAWASA ni Tsh 1,679.6 sawa na lita 1000 ukinywa utatumia siku 333 hivi. Ni kuyachemsha tu na bei ya mkaa haiwezi kufika kote huko😁😁 usitafute sababu. Chemsha maji beba kwenye chupa. Zipo kibao mtaami. Ni fashion pia. Pia unaweza kupunguza matumizi ya pesa ya kununua bia au kvant, unaenda liquor shop unanunua mziho bei ya jumla unatupia kwenye chupa yako uliyonywea maji. Mdogo mdogo unanyonya taratibuLita tatu za maji ya Kilimanjaro ni 3000 x siku 30 jumla ni 90,000
Hapo bado king'amuzi, Kodi , Hela ya usafi , vicoba, Vocha , bado mizinga, saidia, ndugu, hujala asubuhi - usiku.
Kweli ni mitano Tena a.k.a Again
[emoji3][emoji3][emoji3]Uniti 1 ya maji ya DAWASA ni Tsh 1,679.6 sawa na lita 1000 ukinywa utatumia siku 333 hivi. Ni kuyachemsha tu na bei ya mkaa haiwezi kufika kote huko[emoji16][emoji16] usitafute sababu. Chemsha maji beba kwenye chupa. Zipo kibao mtaami. Ni fashion pia. Pia unaweza kupunguza matumizi ya pesa ya kununua bia au kvant, unaenda liquor shop unanunua mziho bei ya jumla unatupia kwenye chupa yako uliyonywea maji. Mdogo mdogo unanyonya taratibu
Ok ila moja ya njia ya kuzuia figo zisiwe na mawe ni kunywa maji mengi
Mfanyakazi wako umeisha mtimua au umesubiri akutie ngeu!!? Ha ha ha haaaa!Vipi huko ?
Hapo kwenye samaki bado SijaelewaView attachment 1722695
Kunywa maji mengi ni jambo muhimu sana katika kuzuia mawe kwenye figo. Kunywa kati ya glasi 12-14 (zaidi ya lita tatu) kila siku
Usile chumvi nyingi, chumvi nyingi katika chakula inaweza kufanya kalsiumu zaidi itoke mwilini kwa njia ya mkojo na hivyo kuongeza hatari ya mawe kutokea
Punguza vyakula kama nyama ya mbuzi, kuku, samaki, ng’ombe na hata mayai. Hivi huwa na asidi nyingi ya aina ya yurik ambayo huleta mawe
Kula mboga mboga na matunda mengi ambayo hupunguza asidi kwa ujumla na kwenye mkojo
Kwani ni lazima kunywa maji ya dukani/viwandani? Ni ubisho wetu tu, nchi zingine watu wanatoka na chakula na maji ya kunywa from home, is very ease, nunua tu kiji container cha walau lita 1 au 2 hivi unaweka maji yako yaliochemshwa funga vizuri then to your office, things done maisha yanaendelea.Lita tatu za maji ya Kilimanjaro ni 3000 x siku 30 jumla ni 90,000
Hapo bado king'amuzi, Kodi , Hela ya usafi , vicoba, Vocha , bado mizinga, saidia, ndugu, hujala asubuhi - usiku.
Kweli ni mitano Tena a.k.a Again
View attachment 1722695
afadhalii nguruwee hayupoo maan kuacha kula nguruwee ni sawa kuniambia niache kujigii jigiii.....bora nifee ila nguruwe na jigii jigiii siachiii😂😂😂😂😁
Kunywa maji mengi ni jambo muhimu sana katika kuzuia mawe kwenye figo. Kunywa kati ya glasi 12-14 (zaidi ya lita tatu) kila siku
Usile chumvi nyingi, chumvi nyingi katika chakula inaweza kufanya kalsiumu zaidi itoke mwilini kwa njia ya mkojo na hivyo kuongeza hatari ya mawe kutokea
Punguza vyakula kama nyama ya mbuzi, kuku, samaki, ng’ombe na hata mayai. Hivi huwa na asidi nyingi ya aina ya yurik ambayo huleta mawe
Kula mboga mboga na matunda mengi ambayo hupunguza asidi kwa ujumla na kwenye mkojo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] dahhh sikuwezi aiseeMaji wanakunywa wenye uhakika wa kula.....sasa mtu umetafuna mihogo mibichi vipande viwili hayo maji lita Tatu yatakaa wapi.....??
Hakuna ulazima wakunywa maji ya Kilimanjaro, zipo njia salama za kutreat maji ya bomba ba yakawa maji safi na salama kwa matumiziLita tatu za maji ya Kilimanjaro ni 3000 x siku 30 jumla ni 90,000
Hapo bado king'amuzi, Kodi , Hela ya usafi , vicoba, Vocha , bado mizinga, saidia, ndugu, hujala asubuhi - usiku.
Kweli ni mitano Tena a.k.a Again