Jinsi ya kuzuia figo zako kuwa na mawe

Status
Not open for further replies.
Lita tatu za maji ya Kilimanjaro ni 3000 x siku 30 jumla ni 90,000

Hapo bado king'amuzi, Kodi , Hela ya usafi , vicoba, Vocha , bado mizinga, saidia, ndugu, hujala asubuhi - usiku.

Kweli ni mitano Tena a.k.a Again
hapo nakupinga, ukichukua uhai lita 13 ni 3,500/= utatumia 4siku nne, kwa mwezi utaitaji madumu almost 8 ambayo ni elfu 24 tu..ila ukitaka ubishoo mbele ya afya tumia k'njaro
 
Lita tatu za maji ya Kilimanjaro ni 3000 x siku 30 jumla ni 90,000

Hapo bado king'amuzi, Kodi , Hela ya usafi , vicoba, Vocha , bado mizinga, saidia, ndugu, hujala asubuhi - usiku.

Kweli ni mitano Tena a.k.a Again
Uniti 1 ya maji ya DAWASA ni Tsh 1,679.6 sawa na lita 1000 ukinywa utatumia siku 333 hivi. Ni kuyachemsha tu na bei ya mkaa haiwezi kufika kote huko😁😁 usitafute sababu. Chemsha maji beba kwenye chupa. Zipo kibao mtaami. Ni fashion pia. Pia unaweza kupunguza matumizi ya pesa ya kununua bia au kvant, unaenda liquor shop unanunua mziho bei ya jumla unatupia kwenye chupa yako uliyonywea maji. Mdogo mdogo unanyonya taratibu
 
[emoji3][emoji3][emoji3]

Asante kwa ushauri wa maji mkuu nipe alternative na huko kwenye king'amuzi na vocha
 
Hapo kwenye samaki bado Sijaelewa
 
Lita tatu za maji ya Kilimanjaro ni 3000 x siku 30 jumla ni 90,000

Hapo bado king'amuzi, Kodi , Hela ya usafi , vicoba, Vocha , bado mizinga, saidia, ndugu, hujala asubuhi - usiku.

Kweli ni mitano Tena a.k.a Again
Kwani ni lazima kunywa maji ya dukani/viwandani? Ni ubisho wetu tu, nchi zingine watu wanatoka na chakula na maji ya kunywa from home, is very ease, nunua tu kiji container cha walau lita 1 au 2 hivi unaweka maji yako yaliochemshwa funga vizuri then to your office, things done maisha yanaendelea.
 
Kunywa maji ukihisi kiu na sio kuyafakamia kutwa nzima.

Huo ushauri wa kuepuka au kupunguza ulaji wa samaki, kuku na mayai mnatuletea mikanganyiko!

Nb: Ukijifanya unajua kuizingatia afya ndipo utaishia kuugua tu.

Kikubwa ukihisi njaa kula, ukishiba acha! Ukihisi kiu ya maji kunywa, ukitosheka acha!
 
Lita tatu za maji ya Kilimanjaro ni 3000 x siku 30 jumla ni 90,000

Hapo bado king'amuzi, Kodi , Hela ya usafi , vicoba, Vocha , bado mizinga, saidia, ndugu, hujala asubuhi - usiku.

Kweli ni mitano Tena a.k.a Again
Hakuna ulazima wakunywa maji ya Kilimanjaro, zipo njia salama za kutreat maji ya bomba ba yakawa maji safi na salama kwa matumizi
 
Mbona wanasemaga samaki ni nyama nyeupe hivyo haina madhara!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…