Jinsi ya kuzuia figo zako kuwa na mawe

Status
Not open for further replies.
Lita tatu za maji ya Kilimanjaro ni 3000 x siku 30 jumla ni 90,000

Hapo bado king'amuzi, Kodi , Hela ya usafi , vicoba, Vocha , bado mizinga, saidia, ndugu, hujala asubuhi - usiku.


Kweli ni mitano Tena a.k.a Again
Kasema ni maji ya kununua??!
 
Nilisikia dawa ya mawe kwenye figo ni kunywa maji mengi.
Ukinywa maji mengi sana mawe yanayeyuka na kupona.
Je ni kwel?
Ni kweli mie niliumwa maumivu yake sio ya kitoto bila kuchomwa diclofenac utalia ujute
 
Una kazi pia ya kwenda toelet Kila wakati
 
Shida kwa sisi tusiokuwa na magari kidumu cha lita tano unaenda kwenye mishe mishe huku ukiwa kwenye mishe mishe ya kubeba kidumu cha 5litres
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…